Winga dalali
Senior Member
- Jul 20, 2021
- 196
- 265
Uhalifu,wa kimtandao unatafutwa kimtandao na expert wenzako ni vita kabisa yenye silaha na mashambuliziMtu ana maarifa ya IT anaogopa kudakwa vp sasa, hapo sanasana ni mweupe tu
Ntajie vyuo vyenye free WiFi
Nna ndugu wanasoma Mwl Nyerere wanasema hakuna free WiFi na vyuo vingine pia same
Inasikitisha sana, inatakiwa service providers wafanye hizo zones bure, siyo chuo.Wifi zipo vyuo kibao vya serikali.
ila kwa hivi vya private vingi hawaweki kupunguza gharama
🤣🤣Àcha uongo we kila siku unakula pisi Kali na kina @deepond na mwenzie mzabzab 🤣unikumbuke kwenye ufalme wako kijana wa IT hapa ndo naingia 3rd year😂
Nipo Mbeya huku vyuo kama Must, Mzumbe Mchas, Ucc kuna wifi bure kabisa ila inabidi uombe password.Ntajie vyuo vyenye free WiFi
Nna ndugu wanasoma Mwl Nyerere wanasema hakuna free WiFi na vyuo vingine pia same
hapana,Net ni bure vyuon,sema wengi mazuu wanakesha porn hub🤣🤣
nipo serious😬🤣🤣Àcha uongo we kila siku unakula pisi Kali na kina @deepond na mwenzie mzabzab 🤣
Vyuo vyote og vya serikali net ni bure🙏Nipo Mbeya huku vyuo kama Must, Mzumbe Mchas, Ucc kuna wifi bure kabisa ila inabidi uombe password kwa wanafunzi, rahisi tu.
Hicho cha mwalimu Nyerere naona hakitiliwagi umakini huenda kwa kuligundia hili uongozi wa chuo wanatafuna bili ya internet
Must mbona hapa hapa mtu anakataa kama kuna WiFi?Nipo Mbeya huku vyuo kama Must, Mzumbe Mchas, Ucc kuna wifi bure kabisa ila inabidi uombe password kwa wanafunzi, rahisi tu.
Hicho cha mwalimu Nyerere naona hakitiliwagi umakini huenda kwa kuligundia hili uongozi wa chuo wanatafuna bili ya internet
Upo sahihi mtaalam hawana free WiFi na ukiunga haifanyi lolote.Ntajie vyuo vyenye free WiFi
Nna ndugu wanasoma Mwl Nyerere wanasema hakuna free WiFi na vyuo vingine pia same
Hicho kina hoja Sasa🙏vyenyewe net bure,mie nikitimba dizim pale coet natumia free WiFi,nikiwa maeneo ya town huku jiran na ifm natumia net bure🙏hapana,
niko MUST chuo cha serikali hamna net
Hata Zimbabwe Tu Wana free WiFi Kwa community area wanaita...karibu kila eneo kuna eneo maalum unapata free WiFiInasikitisha sana, inatakiwa service providers wafanye hizo zones bure, siyo chuo.
Nasikia Kigali yote ni Free Wi-Fi zone.
Ni kwaajil ya masomo,unaweza Soma kozi unayotaka online nchi yoyote iliyoruhusiwa,Sasa wewe unatafuta malay.a wa buguruni au kina baa🤔hapo kwa bando la chuo,hapana🤣🤣wamechuja hizo content 🙏Upo sahihi mtaalam hawana free WiFi na ukiunga haifanyi lolote.
ni sawa na hakuna,Hicho kina hoja Sasa🙏vyenyewe net bure,mie nikitimba dizim pale coet natumia free WiFi,nikiwa maeneo ya town huku jiran na ifm natumia net bure🙏
Hiyo ni ya kazi🙏siyo kula kimasihara🤣🤣ni sawa na hakuna,
si tunataka net ya angalau 10Mb/s, sio hizi za hovyo watsapp tu inagoma goma, hufanyi cha maana
wakati tanapa kule makao makuu wanaunganishwa na fibre ya ttcl kitu 100Mb/s bila kikomo
Si,kweli labda vngne hvyi but for MUST hapanaNipo Mbeya huku vyuo kama Must, Mzumbe Mchas, Ucc kuna wifi bure kabisa ila inabidi uombe password kwa wanafunzi, rahisi tu.
Hicho cha mwalimu Nyerere naona hakipewagi attention, hii itakuwa inapelekea chuo kisipate msaada wa kusaidiwa kuweka internet ama ni viongozi wanatafuna pesa za bili ya internet maana wanajua hakuna wa kufatilia sana.
Wana roho mbaya tu. Kwa dunia ya sasa hakuna chuo kitapangiwa data kwenye budget yake.ni sawa na hakuna,
si tunataka net ya angalau 10Mb/s, sio hizi za hovyo watsapp tu inagoma goma, hufanyi cha maana
wakati tanapa kule makao makuu wanaunganishwa na fibre ya ttcl kitu 100Mb/s bila kikomo
Connected, no internetni sawa na hakuna,
si tunataka net ya angalau 10Mb/s, sio hizi za hovyo watsapp tu inagoma goma, hufanyi cha maana
wakati tanapa kule makao makuu wanaunganishwa na fibre ya ttcl kitu 100Mb/s bila kikomo
na mifumo ilivyo, maneno mengiWana roho mbaya tu. Kwa dunia ya sasa hakuna chuo kitapangiwa data kwenye budget yake.
Mijitu inayoongoza vyuo ni mijinga. Ndiyo mimi husema siku hizi Watanzania ni "uneducated fools from uneducated schools".