Vijana wetu wa IT huko vyuoni wanafanya nini? Mbona kimya sana?

Mtu unamiliki gari alaf unavizia Wi-fi za bure vyuoni?Kweli amna mwana JF anaekosa gari nchi hii
 
Anza na manlaka kwanza, kwenye kuweka sela rafiki kwenye hii industry,
Mfano legalisation ya open payment getaway na kupuguza ugumu wa masharti ya local payment getaway,(mobile payments)

Watu wana mawazo makubwa na mazuri yanakwamishwa na sera za wanasiasa,
 
Hacker unaogopa! Basi huwezi mapambano
By the way I'm not a hacker, na sina ujuzi wowote ule kuhusu masuala ya kimtandao,
But najua hacking is getting unauthorized access ya system bila ruhusa ya muhusika and inakua for beneficial purpose,though wapo wanaofanya for funny.
Kwa sheria za kimtandao hilo ni kosa kama makosa mengine sawa na mwizi kuingia ndani kwako kwa kuvunja mlango maan hana ufunguo.
And by the way outside hua mnawaza ubora wa IT ni kua hacker ,
Mavyuoni humo hufundishwa just basic principles for ethical hacking.
 
Mkuu nilijibu kutkna na context uliyotoa and im not thinking kwamba It ni just hacker kuna vitu vingi vya kufanya IT kama kuwa progaramer,Software engeneer ,Database na zaidi hata cybersecurity....

Mkuu cybersecurity inafundisha hacking white one na kuna "Grey hat" ambayo mtu anapenetrate kwenye mfumo ili kujua Weekness yke...
So not every hacking is illegal nadhai unafahamu kwa sababu nimeona umezungumzia ethical hacking...
 
I got you
 
Asante mzungu kwa net ya bure nilishachoka kununua 1gb kwa 2100
 
Wifi zipo vyuo kibao vya serikali.

ila kwa hivi vya private vingi hawaweki kupunguza gharama
Yes ipo wana wireless controllers and they distribute across campus and few classes.
I think shida wengi wanawaza games muda mwingi and not developing themselves
 
Mwenyewe nilikuwa na mtizamo kama wako ila nilipoanza kujihusisha na make money online nikagundua nchi ya Tanzania ni ngumu sana kuishi kama IT.
Ma IT wapo wengi kuna jamaa ametengeneza tool ya kuunlock simu zinazotumia mtandao mmoja ila linakuja suala la malipo ndiyo maana wanaishi kufanya mambo mengine.
Tanzania ni shimo la kuzimu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…