PostGE2025 Viongozi 10 wa Afrika waliowahi kufikishwa ICC

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Majira ya wakati ule siyo ya leo. Technology itasaidia ushahidi madhubuti!
 
Kitendo cha kuchunguzwa na kushtakiwa na kusimamishwa kizimbani kwa Samia itakuwa ushindi mkubwa kwa wapigania haki, ila mabadiliko ya kweli ni sisi wenyewe hakuna wa kutusaidia, migomo na maandamano ni silaha kubwa sana
Umsmamishe samia mahakamani? Mahakama gan hio ina uwezo huo
 
Kitendo cha kuchunguzwa na kushtakiwa na kusimamishwa kizimbani kwa Samia itakuwa ushindi mkubwa kwa wapigania haki, ila mabadiliko ya kweli ni sisi wenyewe hakuna wa kutusaidia, migomo na maandamano ni silaha kubwa sana
Kazeni stock inahitajika pale.mwanayamala
 
Back
Top Bottom