PostGE2025 Viongozi 10 wa Afrika waliowahi kufikishwa ICC

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
😂😂 endelea kuwait ivo ivo
Pini zimeanza kupigwa, kuanzia October 29, EU sanctions, CNN documentary, uchaguzi umelaaniwa hata na nchi za Africa, kesi imefunguliwa ICC, ushahidi wa mauaji unaongezeka kila siku, December 9 etc pressure inaongezeka kila siku🤧
 
ICC watafanya nn? Pia EU wakilaani inasaidia nn? Kuhusu dec 9 mnakaribishwa tena field tupate stock mpya ya mwananyamala
 
Btw mkitaka tunaweza kuwapa camera kabisa saahv mrekodi kwa hd kwa sababu mnataka wazungu wenu waone vizuri kabisa saaahv
 
ICC watafanya nn? Pia EU wakilaani inasaidia nn? Kuhusu dec 9 mnakaribishwa tena field tupate stock mpya ya mwananyamala
Of course chawa hamna akili ya kuelewa kinachomkabili huyo dikteta uchwara, ila alipo anajiharishia tuu, hana muda atakimbia tuu
 
Back
Top Bottom