๐๐ endelea kuwait ivo ivoIs coming very soon
Pini zimeanza kupigwa, kuanzia October 29, EU sanctions, CNN documentary, uchaguzi umelaaniwa hata na nchi za Africa, kesi imefunguliwa ICC, ushahidi wa mauaji unaongezeka kila siku, December 9 etc pressure inaongezeka kila siku๐คง๐๐ endelea kuwait ivo ivo
Ila hawajamkamata Yuko zake anainjoi fedha alizoibaInategemea na uhusika juzi waziri Mkuu wa Bangladesh kahukumiwa kunyongwa.
ICC watafanya nn? Pia EU wakilaani inasaidia nn? Kuhusu dec 9 mnakaribishwa tena field tupate stock mpya ya mwananyamalaPini zimeanza kupigwa, kuanzia October 29, EU sanctions, CNN documentary, uchaguzi umelaaniwa hata na nchi za Africa, kesi imefunguliwa ICC, ushahidi wa mauaji unaongezeka kila siku, December 9 etc pressure inaongezeka kila siku๐คง
Btw mkitaka tunaweza kuwapa camera kabisa saahv mrekodi kwa hd kwa sababu mnataka wazungu wenu waone vizuri kabisa saaahvPini zimeanza kupigwa, kuanzia October 29, EU sanctions, CNN documentary, uchaguzi umelaaniwa hata na nchi za Africa, kesi imefunguliwa ICC, ushahidi wa mauaji unaongezeka kila siku, December 9 etc pressure inaongezeka kila siku๐คง
Ana enjoy huku Kajificha kama panya with death penalty on her head, chawa hamna akili mpaka mnatia hurumaIla hawajamkamata Yuko zake anainjoi fedha alizoiba
Tatizo lako kujibu hoja huwezi. Ulichobakiza kila anayekuchallenge ni chawa!Ana enjoy huku Kajificha kama panya with death penalty on her head, chawa hamna akili mpaka mnatia huruma
Of course chawa hamna akili ya kuelewa kinachomkabili huyo dikteta uchwara, ila alipo anajiharishia tuu, hana muda atakimbia tuuICC watafanya nn? Pia EU wakilaani inasaidia nn? Kuhusu dec 9 mnakaribishwa tena field tupate stock mpya ya mwananyamala
Unapenda kujipa furahaOf course chawa hamna akili ya kuelewa kinachomkabili huyo dikteta uchwara, ila alipo anajiharishia tuu, hana muda atakimbia tuu