Viongozi wa Afrika watakiwa kutoa ushahidi wa pesa za misaada

Jidanganye hivyo hivyo mwenzio anaingia White House km bafuni kwake, wewe umekalia uchawa tu.!! 😹😹
hata sisi tunazama hapo magogoni na chamwino bila mbambamba yoyote na wala haturingi,

huyo mmatumbi hawezi kubabaisha Tz na Africa kwa lolote my lady πŸ’
 
Kipi kinakuoa jeuri, au ni wale makomandoo wanaoapasuliana matofali kichwani.
gentleman,
matofali yataendelea kupasuliwa vibaya sana na makomando wetu, Lakini pia kamwa hatuwezi kubaaishwa na mmatumbi wa hapo kwa madiba kwa namna yoyote ile πŸ’
 
hata sisi tunazama hapo magogoni na chamwino bila mbambamba yoyote na wala haturingi,

huyo mmatumbi hawezi kubabaisha Tz na Africa kwa lolote my lady πŸ’
😹😹😹 Kwahiyo magogoni unaifananisha na White House??

Nakukumbusha wamesitisha ARV we jichetue 🀣
 
😹😹😹 Kwahiyo magogoni unaifananisha na White House??

Nakukumbusha wamesitisha ARV we jichetue 🀣
My lady,
huna haja ya kubabaika sana na mambo hayo,
utofauti ni majina tu ya hizo nyumba, wao wanaita white house na sie tunaita ikulu ya magogoni na chamwino, but hadhi ni ile ile moja kwamba hayo ni makazi na ofisi ya kiongozi mkuu wa nchi.

hata hivyo,
niwaondoe hofu kuhusu ARVs,
na kwamba zipo za kutosha na wahusika wote mtazipata bila mbambamba yoyote πŸ’
 
Pili na wao waache kusgunikiza nchi za kiafrica kuchukua madini kwa vei ya bwereree kutikana na influence za uasid
Watu kama wewe wanadhihirisha uafrika ulivyo laaana walikuja wakapora madini si wanachimba kwa mikataba ambayo viongozi wanasaini bila kufikiri acheni lawama kwa ujinga wetu sisi
 
Uliona white house wanakuja kuomba misaada magogoni??

Hizo ARV km mmezificha kwa matumizi yenu ya baadae sawa… uzuri ulipo ndo jikoni kwa ngwengwe 😹😹
 
Ngoja suruali ianze kukupwaya wadudu wakipanda kichwani ndo utaelewa..!! 😹
suruali zitaendelea kuvaliwa vizuri tu my lady, tena zile zenye marinda kabisa, na kuulamba mkanda wa nje kama kawaida,

hayupo wa kutupanda kichwani kama waafrica Lakini pia kama Tanzania πŸ’
 
Uliona white house wanakuja kuomba misaada magogoni??

Hizo ARV km mmezificha kwa matumizi yenu ya baadae sawa… uzuri ulipo ndo jikoni kwa ngwengwe 😹😹
kwahivyo akina Obama walikuja kunywa chai ikulu ya magogoni right? all the way from US.

My lady relax,
hakuna atakae teseka kwa kukosa ARVs nchini eti kwasabb mmatumbi moja sijui anasema nini huko ng'ambo.

na kama yeye anaweza kusababisha upungufu wa ARVs, basi nadhani kaka, dada, baba, mama, ndugu, jamaa na marafiki zake wa huko umatumbini kwa madiba watapata tabu zaid πŸ’
 
Waendelee kubana kende hadi kieleweke.
 
Mluu usijifanye Msigwa wa JF kwakutetea kila kitu kuihusu serikali. Kwanza Elon kazngumzia Serikali za Africa, pia ukiona % kubwa ya wadau kupongeza kauli ya Eloni wewe sijui unapata picha gani?.
 
Sasa hawa viongozi wanamueleza nani, na sioni sababu ya kueleza, bali waonyeshe nini kiimafanyika. Hawa watu huwa wanazikusanya zote kapu mojakisha wansema TRA imekusanya Trilioni 21. Baada ya hapo wanaanza kuziponda sasa, utasikia Goli la Mama, utasikia kafuturisha, utasikia Kizimkazi festival, na bado wale wa mama kaleta maendeleo.
Hilo fuko unaingiza mkona unachotoka nacho ni chako, kama unamkono mdogo shauri yako. Wanakula kwa urefu wa kamba zao.
 
Mluu usijifanye Msigwa wa JF kwakutetea kila kitu kuihusu serikali. Kwanza Elon kazngumzia Serikali za Africa, pia ukiona % kubwa ya wadau kupongeza kauli ya Eloni wewe sijui unapata picha gani?.
Gentleman,
mie sio linyumbu,
nina fikra na mtazamo huru muhimu mno kwa mustakabali wa Taifa langu.

Mmatumbi kama huyo uliemtaja hastahili kumkikimisha yeyote Africa kwasabb nae ni muafrica.

wahenga walisema, "maskini akipata matako hulia mbwata"

anakubabaishaje mtu wa aina hiyo?πŸ’
 
uzuri hapa kwetu kila mtu anajionea ujenzi wa madarasa kila kona ya nchi wala haitaji ufafanuzi kwa macho tuh hata chadema wenyewe hawana cha kuzungumza
 
Hii imekaa vizuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…