Viongozi wa BAVICHA waliokuwa wanaelekea Ukerewe, washindwa kupata huduma ya kivuko

Viongozi wa BAVICHA waliokuwa wanaelekea Ukerewe, washindwa kupata huduma ya kivuko

RAIS SAMIA: SERIKALI YAKO KUNYAMAZIA TUHUMA KAMA HIZI DHIDI YA WATENDAJI WA SERIKALI NI KULIPASUA TAIFA!

Hizi ni tuhuma nzito kutolewa na Mwenyekiti wa BAVICHA. Katika nchi za kidemokrasia, tuhuma hizi zingelipelekea kuundwa kwa Tume Huru ya Ki-Bunge ili kuchunguza madai hayo. Tuhuma hizi zinaibua mambo mazito ambayo ni ubaguzi wa kiitikadi na suala la kiuchumi! Kivuko kilichonunuliwa kwa Fedha ya Kodi zetu kitafanyaje ubaguzi huo? Wasimamizi wa Kivuko hicho watalikoseshaje Taifa mapato kwa mambo kama haya ya ubaguzi wa itikadi?

Sisi Askofu tunamshauri Waziri mwenye dhamana achunguze madai hayo, vinginevyo, akikaa kimya tutamuomba Rais Samia auambie umma kilichojiri (Ezekieli 33:1-20). Tunawasihi watu wote kusambaza ujumbe huu hadi ufike Ikulu ya Chamwino na Ikulu ya Magogoni.

Mwana Kondoo Ameshinda! Tumfuate!
Askofu Emmaus Bandekile Mwamakula

View attachment 1970694
CHADEMA imarisheni chama chenu kijikite kwa wananchi kisha the rest tuachieni wapigakura.

Kuna wakati tujiulize kwa nini hizi hujuma kwa wapinzani hasa CHADEMA?

Kama chama hiko kinavunja sheria kwa nini bado kipo kwa msajili?

Tuachane na siasa za kibabe sasa
 
Mbona Askofu Tutu wa Afrika Kusini Tanzania ilimuona shujaa!
Yule ni shujaa sababu mapambano yake hayakuegemea upande......ye alideal na kila penye kasoro; black akimess up alikuwa anamchana, kaburu akimess up alikuwa anamchana. Black akionewa alipiga kelele, kaburu akionewa alikuwa anapiga kelele.

Huyu ye masaa 24 kuizungumzia chadema kwa mtazamo wa kuonewa wao tu, anapoonea au kukosea chadema askofu huyu haoni kabisaaaa! Itakuwa ni utani mkubwa sana kuwahi kutokea duniani kumfananisha huyu na tutu
 
CHADEMA imarisheni chama chenu kijikite kwa wananchi kisha the rest tuachieni wapigakura.

Kuna wakati tujiulize kwa nini hizi hujuma kwa wapinzani hasa CHADEMA?

Kama chama hiko kinavunja sheria kwa nini bado kipo kwa msajili?

Tuachane na siasa za kibabe sasa
Kwa akili yako anayefanya siasa za kibabe hapo ni nani kati ya serikali na Chadema?

Chadema kijikite kwa wananchi?! kwamba wapiga kura bado hawakijui? if yes, why kura za kwenye mabegi meusi kuwabeba CCM? nani anayewafanya CCM waibe kura wakisaidiwa na polisi na tume ya uchaguzi?

Nyie viumbe akili zenu sijui mmezikodisha kwa nani.
 
Hivi huyu askofu hana kazi ya kufanya ee?!!! Nina mashaka kanisani kwake hakuna waumini ndo maana
Hivi hawa wanaotendewa haya maovu siku nao wakianza kulipiza nchi itakuaje?? Akitokea Kiongozi wa Kiroho akakemea uovu huo wewe unakuja na ngonjera zako za kipuuzi.
 
Kwa akili yako anayefanya siasa za kibabe hapo ni nani kati ya serikali na Chadema?

Chadema kijikite kwa wananchi?! kwamba wapiga kura bado hawakijui? if yes, why kura za kwenye mabegi meusi kuwabeba CCM? nani anayewafanya CCM waibe kura wakisaidiwa na polisi na tume ya uchaguzi?

Nyie viumbe akili zenu sijui mmezikodisha kwa nani.
Namaanisha nilichokisema.

Kwa taarifa yako, hizi petty moves za watendaji wa serikali lengo lake ni kuwatoa kwenye mstari ili mfanye rogue politics.

Sticky to the status quo kwani wapigakura wakiongezeka zaidi upande wa CDM inaweza kuleta haueni kwenye siasa za Bongo.

Nawaza kiCCM kama hutaki unaacha
 
Una
Hivi huyu askofu hana kazi ya kufanya ee?!!! Nina mashaka kanisani kwake hakuna waumini ndo maana
[/QUOTEUnataka akiona dhuluma asiseme? Anawasemea wasio na sauti na hiyo ni jukumu lake ni kazi takatifu na jukumu la kitume kutetea wanaoonewa.
 
/QUOTEUnataka akiona dhuluma asiseme? Anawasemea wasio na sauti na hiyo ni jukumu lake ni kazi takatifu na jukumu la kitume kutetea wanaoonewa.

Superbug
 
Kuna haja gani ya kujaza kanisa huku unafumbia macho dhulma?
 
Viongozi wa Bavicha waliokuwa wanaelekea Ukerewe wameshindwa kupata huduma ya kivuko kwa sababu za uongo kwamba kivuko ni kibovu .

Jambo hili la kishamba ni marudio ya ukakasi uliofanyika wakati wa kampeni za urais wa mwaka 2020 , ambapo Mgombea aliyependwa kuliko wote Tundu Lissu alifanyiwa upuuzi kama huu waliofanyiwa Bavicha .

Huku ndio kuupiga mwingi kunakodaiwa na wanaccm ?

View attachment 1970305
Badilisheni mbinu

Mna perepete sana
 
Vivuko vinanunuliwa kwa kodi na tozo ambazo CDM wamezigomea na wanawashawishi wananchi wengine wagomee pia (Sijui siku wakikamata nchi watapata wapi hela ya kuiongoza, hilo tuwaachie wanaCDM ambao wao ndiyo AKILI KUBWA wa nchi hii), so hao waliowazuia wana haki kabisa! Ikiwezekana hata watoto wa wanaCDM wasiruhusiwe kusomea haya madarasa yanayojengwa kwa tozo!!
 
Kama kivuko kingekuwa kinafanya kazi tungeona magari mengine hapo, kwanza hamshindwi kuleta hata picha ilopigwa nje ya muda wa operations ili mtafute public sympathy kama kawaida yenu.

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Yaani si walisema nikibovu ningekuwa na majini kama matano ningeyatuma wakafanya uharibifu kweli ili hizo huduma za usafiri zikosekane kabisa kwenye hicho kivuko.

Halafu waje waseme kilikuwa kizima lákn tukakataa na kimekuwa kibovu kweli.



Sent from my SM-N9150 using JamiiForums mobile app
 
TRA nao wakiwaona Chadema wanakwenda kwenye ofisi zao kulipa kodi wawakimbie au wajifiche.
 
Hapana, siimbi pambio la mtu mimi. Ni mvuvi mdogo, hapa nipo njiani kuelekea mwaroni kuwatafutia watoto ugali

Hajawahi kuikubali mtu hiyo kazi pendwa kwa maneno. Kwani maneno yaliwahi kuvunja mfupa?
 
Back
Top Bottom