johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Ni kiki tu za Chadema!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
CHADEMA imarisheni chama chenu kijikite kwa wananchi kisha the rest tuachieni wapigakura.RAIS SAMIA: SERIKALI YAKO KUNYAMAZIA TUHUMA KAMA HIZI DHIDI YA WATENDAJI WA SERIKALI NI KULIPASUA TAIFA!
Hizi ni tuhuma nzito kutolewa na Mwenyekiti wa BAVICHA. Katika nchi za kidemokrasia, tuhuma hizi zingelipelekea kuundwa kwa Tume Huru ya Ki-Bunge ili kuchunguza madai hayo. Tuhuma hizi zinaibua mambo mazito ambayo ni ubaguzi wa kiitikadi na suala la kiuchumi! Kivuko kilichonunuliwa kwa Fedha ya Kodi zetu kitafanyaje ubaguzi huo? Wasimamizi wa Kivuko hicho watalikoseshaje Taifa mapato kwa mambo kama haya ya ubaguzi wa itikadi?
Sisi Askofu tunamshauri Waziri mwenye dhamana achunguze madai hayo, vinginevyo, akikaa kimya tutamuomba Rais Samia auambie umma kilichojiri (Ezekieli 33:1-20). Tunawasihi watu wote kusambaza ujumbe huu hadi ufike Ikulu ya Chamwino na Ikulu ya Magogoni.
Mwana Kondoo Ameshinda! Tumfuate!
Askofu Emmaus Bandekile Mwamakula
View attachment 1970694
Yule ni shujaa sababu mapambano yake hayakuegemea upande......ye alideal na kila penye kasoro; black akimess up alikuwa anamchana, kaburu akimess up alikuwa anamchana. Black akionewa alipiga kelele, kaburu akionewa alikuwa anapiga kelele.Mbona Askofu Tutu wa Afrika Kusini Tanzania ilimuona shujaa!
Kwa akili yako anayefanya siasa za kibabe hapo ni nani kati ya serikali na Chadema?CHADEMA imarisheni chama chenu kijikite kwa wananchi kisha the rest tuachieni wapigakura.
Kuna wakati tujiulize kwa nini hizi hujuma kwa wapinzani hasa CHADEMA?
Kama chama hiko kinavunja sheria kwa nini bado kipo kwa msajili?
Tuachane na siasa za kibabe sasa
Hapana, siimbi pambio la mtu mimi. Ni mvuvi mdogo, hapa nipo njiani kuelekea mwaroni kuwatafutia watoto ugaliWewe kazi unayo au hii ya kuimba mapambio ndiyo kazi?
Ah wapi!!! Hii yake ipo biased sana, haitakiwi kuwa hivyo!Hii ndiyo kazi ya kiaskofu
Hivi hawa wanaotendewa haya maovu siku nao wakianza kulipiza nchi itakuaje?? Akitokea Kiongozi wa Kiroho akakemea uovu huo wewe unakuja na ngonjera zako za kipuuzi.Hivi huyu askofu hana kazi ya kufanya ee?!!! Nina mashaka kanisani kwake hakuna waumini ndo maana
Namaanisha nilichokisema.Kwa akili yako anayefanya siasa za kibabe hapo ni nani kati ya serikali na Chadema?
Chadema kijikite kwa wananchi?! kwamba wapiga kura bado hawakijui? if yes, why kura za kwenye mabegi meusi kuwabeba CCM? nani anayewafanya CCM waibe kura wakisaidiwa na polisi na tume ya uchaguzi?
Nyie viumbe akili zenu sijui mmezikodisha kwa nani.
Hivi huyu askofu hana kazi ya kufanya ee?!!! Nina mashaka kanisani kwake hakuna waumini ndo maana
[/QUOTEUnataka akiona dhuluma asiseme? Anawasemea wasio na sauti na hiyo ni jukumu lake ni kazi takatifu na jukumu la kitume kutetea wanaoonewa.
Badilisheni mbinuViongozi wa Bavicha waliokuwa wanaelekea Ukerewe wameshindwa kupata huduma ya kivuko kwa sababu za uongo kwamba kivuko ni kibovu .
Jambo hili la kishamba ni marudio ya ukakasi uliofanyika wakati wa kampeni za urais wa mwaka 2020 , ambapo Mgombea aliyependwa kuliko wote Tundu Lissu alifanyiwa upuuzi kama huu waliofanyiwa Bavicha .
Huku ndio kuupiga mwingi kunakodaiwa na wanaccm ?
View attachment 1970305
Kataa lakin huwo ndio ukweli.Mbona wewe mpumbavu unapenda kuhusisha kila kitu na awamu ya tanò hata ukishindwa maisha awamu ya tano! Kichwa lako umelibeba tu linachosha mishipa ya shingo mpuuzi wewe!
Kwani hicho ni chá ccm? Aí ni chá umma?Mtakoma nunueni kivuko chenu kila wakati kulalamika tu kama watoto yatima.
Yaani si walisema nikibovu ningekuwa na majini kama matano ningeyatuma wakafanya uharibifu kweli ili hizo huduma za usafiri zikosekane kabisa kwenye hicho kivuko.Kama kivuko kingekuwa kinafanya kazi tungeona magari mengine hapo, kwanza hamshindwi kuleta hata picha ilopigwa nje ya muda wa operations ili mtafute public sympathy kama kawaida yenu.
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
10m ndiyo wanawakosesha usingizi polisi!Yaani kuzuia upuuzi wa chadema walio km elfu 10 hv kwa sasa nchi nzima, ndiyo kuligawa taifa la watu milioni 52?!!
Hapana, siimbi pambio la mtu mimi. Ni mvuvi mdogo, hapa nipo njiani kuelekea mwaroni kuwatafutia watoto ugali
Amini, kiongozi. Hawanijui, siwajuiHajawahi kuikubali mtu hiyo kazi pendwa kwa maneno. Kwani maneno yaliwahi kuvunja mfupa?