Viongozi wa CHADEMA kikaoni na IGP kwa R.P.C Iringa


:thumbdown::thumbdown::thumbdown::thumbdown:
mandingo.
 
Uongo una mwisho tena mbaya tu.Zamani USSR ilikuwa inawavalisha watu nguo nzuri kwa lazima, inakusanya matreka mengi, inakusanya chakula kingi, halafu inapiga picha eti uzalishaji umekua na workers wanafurahia matunda yao...it was a lie. They thought they were fooling the west and the world. But infact they were fooling themselves.
hakuna kitu kibaya kama kuilisha nafsi yako mwenyewe uongo maana uongo unaangusha chini dola yoyote ile iwayo kwa kishindo kikubwa.
we see it even now...Mtu kama Mubarak, Mobutu na wengine wengi waliokuwa wanadhani wanayo formula ya kuamua kesho kitokee nini.
 
Elungata hilo silikubali maana jamaa alikua ameshatiwa nguvuni na hakuwa na madhara kwa hao wachache. Kumbuka polisi aliyejeruhiwa vibaya alikua anasema huyu ni mwandishi wa habari wakati alipokua anapewa kichapo kabla ya mauti kumkuta. Nasema jamani siasa ziwekwe pembeni katika uhalisia.
 
Hii mijaa ni ya ajabu, baada ya kuua ndio anataka suluhu. Very rubbish!!
 



The guy he was begging for his life, even the enemy when he surrender and ask the solders to spare his life they always do that this is strange he was just a reporter not a protester were is human right? Until when? Think wisely and play your party. Kama slaa na timu yake wataongea faragha na silete public makubaliano Yao tutakuwa na kila sababu ya kumchukia na kutomuamini mtu au cha
Ma chochote mahakama wala Jeshi maana dr slaa yeye kidogo Ana huruma kiroho Kulinganisha na wengine, na Kama slaa atakubaliana na mwema basi sharti la slaa kwa mwema na polisi yake ni yeye mwema ajiuzulu au aombe radhi public na tuchangie au tupige kura ya maoni Kama tunaweza kumsamehe au lahh. Watu wengi mnaongelea iringa, Moro na Arusha why? Kuna sehemu nyingi sana tz roho za watu zinatolewa na hao polisi sio kwenye harakati za CDM tuu na matatizo hayo tuna yafumbia macho tuu, mahita mwenyewe alitakiwa awe jela au amesha nyongwa ila tz ni zaidi ya uijuavyo..


My question is:
CDM wanaogopa nini kusema liwalo na liwe Kama ccm? Inaonekana Kama CDM ndio wanaotuongezea muda wa kuwa utumwani na sio ccm? Ni damu zipi CDM inazoogopa zisimwagike zaidi ya hizi zinazo mwagika kila Siku??? Padri slaa Hata mungu alisema jikomboe nami ntakukomboa jisaidie nami nitakusaidia?



By jmushi1
Alikuwa akiwaomba wamnusuru maisha yake,kweli kuna wanyama humu!halafu mods issue kama hii ya kuuwawa kinyama hivi kwa mtanzania mwenzetu asiye na hatia,ambaye ni dhahiri he was begging for his life! mnaachia watu wanao mdispise marehemu kiasi hiki?uungwana uko wapi?ina maana wewe ulitaka marehemu aikumbatie ile bunduki iliyomwua?
 
CHADEMA wanaongozwa na Dkt. Slaa upande wa Jeshi la Polisi wanaongozwa na IGP Said Mwema, almost 4 agendas on table, polisi wameomba kufanyike roundtable meeting for now...tume yao haijaanza kufanya kazi yet.

Asante mkuu Makene, vp nini kimejiri ndani ya kikao hicho?
 
Kama vipi ianze operesheni lipiza kisasi tu! Hawa Polisisiemu wamejitwalia kazi ya Israeli mtoa roho sasa
 

watu tunareact kutokana na jinsi taarifa tunavyozipata.ni bora kama kuna mwandishi alichukua video aweke tuone bila chenga.
 
mi sijaelewa kwanini mwandishi wa habari ateswe vile? kama mwandishi kapigwa vile hivi mtu wa kawaida itakuaje?

Mwandishi wa habari ambae anakwenda kwenye sehemu iliyovunjika amani ni lazima ajuwe mbinu za kujisalimisha, tuseme ukweli. Hakuna duniani anaejisalimisha yanakotokea mashambulizi na akaenda kumkumbatia kiongozi wa mashambulizi. Inabidi mjifunze namna ya kujisalimisha kwa askari yanapotokea machafuko. Njia rahisi ni kunyanyua kitambaa cheupe huku umejilaza chini, kama hauna kitambaa hata shati lako kama huwezi unalala kifudifudi. Hata siku moja usijaribu kukimbilia wanakotokea askari wanaoshambulia, wanajuwa umesha panic na uko tayari kwa lolote na umejioa Mhanga.

Huo ndio ukweli. Fikiri! tusipelekee jazba kupelekea kuwacha kufikiri ukweli na kilichomfikisha marehemu kwenye umauti wake. Tuwe makini.
 

Kwa bahati mbaya (kwa upande mwingine ni nzuri) jeshi lenyewe lilivyo na wapumbavu wameshatoa speech ambayo tayari inakinzana na hicho unachofikiria wewe; na hiyo ndio sifa kuu ya UONGO - you always keep on contradicting yourself!

Lau wangekubali kwamba wamemuua wao kwa hizo sababu "unazopendekeza" wewe wananchi tunge-argue tofauti. Lakini ndio hivyo tena wameshakana na kama ilivyo kawaida yao, wanachofanya sasa ni kumtafuta mchawi.
 
naomba mwenye mada atuandikie upya ikiwa na usahidi ikibidi agenda na picha
atueleze kwa upande wa ndugu wa nani kahudhuria
pili aanze kuleta maazimio ya kila agenda
 
Your brain is rotten kama wa nguruwe
 
Ni aibu eti mpaka sasa waziri mwenye dhamana na usalama wa raia hajasema chochote kuhusiana na mauaji hayo,kazi kujipendekeza kwa mafisadi na dhaifu aendelee kuwepo serikalini hii na ijayo. Jitokeze utoe tamko kulaani policcm usione aibu
mkuu, waziri mwenyewe huyo ana uchu na uroho wa madaraka isitoshe anatumika vibaya na CCM, aidha ana ndoto za kuwa rais 2015 waulize waliosoma naye idm mzumbe enzi hizo
 
CHADEMA wanaongozwa na Dkt. Slaa upande wa Jeshi la Polisi wanaongozwa na IGP Said Mwema, almost 4 agendas on table, polisi wameomba kufanyike roundtable meeting for now...tume yao haijaanza kufanya kazi yet.

Asante makene kati ya hizo agenda iwepo ya kujiuzulu kwa wafuatao
1. Mwema
2. Chagonja
3. Kamuhanda
4. And the like
 
Your brain is rotten kama wa nguruwe

Wewe tukana upendavyo, leo mimi situkani wala kukujibu, ila kaa ufikiri niliyoyaandika hapo juu. Nakuwekea tena hapa uyasome vizuri, labda utanielewa:

 
Acha uongo polisi hawaezi kukutana na hao walevi wataongea nini hao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…