Viongozi wa dini waeleza wazi ubaya wa mkataba wa Bandari.

 
Washasema hawauzi nchi na wao ni Watanzania
 
Mkataba uliosaniwa ndiyo mkataba mama ila ajabu umekaa vibaya! Sijui hiyo mingine midogo midogo itakuwaje maskini! Na hatutokuwa na uwezo wa kuiona pia.
 
Tumekodi waendeshaji, maana sisi tumeshindwa kuiendesha
 
Achana naye huyu anafikiria mabinti hewa atakaopewa huko kaburini
 
Nadhani huu mkataba au makubalino au jiji ishu nzima ilihitaji mjadala mapana na wa uma wote kabla ya huo wa bunge ambao umejadiliwa na kuhitimishwa kwa muda mfupi sana.
 
Wajinga hawawezii kuelewa hiyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…