Viongozi wa Dini wanazungumza na Serikali kuhusu Mkataba wa Bandari kati ya Tanzania na Dubai
Viongozi wa dini waeleza wazi ubaya wa mkataba wa Bandari.

 
Washasema hawauzi nchi na wao ni Watanzania
 
Mkataba uliosaniwa ndiyo mkataba mama ila ajabu umekaa vibaya! Sijui hiyo mingine midogo midogo itakuwaje maskini! Na hatutokuwa na uwezo wa kuiona pia.
 
Ndio maana akawa anatumia neno labda,acha kujifanya mjuzi kumbe na hila zako za kidini.
We mwanamke una matatizo sana,yani MTU yoyote akiwa na imani tofauti nawe judgment yako kwake huwa ipo tofauti.

Sasa kam Waziri alikwenda kuongea nao kwa nini hakuwagawia imekataba orijino ili waweze kuichambua.ni upuuzi kwenda Ku convince MTU huku unajua fika hana taarifa ya kutosha kuhusu hicho kitu huku wewe ukiwa well informed.
Bora huyo padri aliyetumia Mkataba usio rasmi kutolea ufafanuzi.

Ila unatakiwa ubadilike una matatizo sana,hiyo imani waachie wenyewe waarabu wenye imani yao wewe inakuondolea utu wako kabisa.
Achana naye huyu anafikiria mabinti hewa atakaopewa huko kaburini
 
Nadhani huu mkataba au makubalino au jiji ishu nzima ilihitaji mjadala mapana na wa uma wote kabla ya huo wa bunge ambao umejadiliwa na kuhitimishwa kwa muda mfupi sana.
 
Leo ndio nimegundua hawa ni kanisa dola kwa kificho. Kwamba wamechunguza kuhusu Dp na wanayo nyaraka ya maandishi wataikabidhi serikali. Kasema wanayo nyaraka fake ya huu mkataba ambayo mwanasheria Hamza alipokuwa akitoa ufafanuzi akitumia ile nyaraka quinine ni kama mambo yote ya feki na junioni yana fanana.

Kasema kwa akili kubwa hapa, maana yake ni hicho kinachoitwa feki sio feki bali kinakuwa feki kwa vile tu kimevujishwa hakikuwafikia watu kwa utaratibu unaokubalika.
Wajinga hawawezii kuelewa hiyo
 
Back
Top Bottom