johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Waarabu wako Iran na AfghanistanKama wasomi wanapewa elimu sahihi na haiwasaidii labda kuna tatizo lingine ..
Binafsi naona kama wawekezaji wangekuwa wazungu..labda ingekuwa tofauti..
Nafikiri chuki Kwa waraabu na religious biased zimechangia zaid
😢Masikini Bandari zetu zimeenda na maji huko uarabuni. Ni maumivu makubwa
Hii nchi imelaaniwaHapo ndio wasiosoma huzidi kudharau wasomi[emoji1787]
Nimekutana na hizi kejeli mara kadhaa, na inapotokea ishu km za bandari, ndio tunazidi kudharauliwa mpaka[emoji24]
Bunge lenyewe lina Std 7 and below kama akina" Wabunge wetu wamekuwa watu wa kuunga mkono kila kitu wakati mwingine hata kwa mkumbo ama wao huona ni kama mtindo huku wakiwaumiza Wananchi hii si sawa hata kidogo!"
" Bunge lijikite kwenye misingi chanya ya kuwatetea Wananchi na siyo kuwaumiza."
Katibu TEC.
Utafiti wao wameshamkabidhi Waziri wa Uchukuzi!Bado nasubiri tamko la TEC kuhusu kutolewa sadaka sehemu ya bandari yetu, hilo la wabunge ni sahihi, na ninajua wametuma salamu mahali, lakini kwangu salamu pekee hazitoshi, nataka wakabishe hodi pale mlangoni kwenye chimbuko la uharibifu.
Tunaitaji strong parliament in which we have at least 40% patriotic opposition representatives.Nimeanza kuona udhaifu wa kuwa na wabunge wachache wa upinzani ndani ya bunge la JMT!! Ni hasara sana aisee" Wabunge wetu wamekuwa watu wa kuunga mkono kila kitu wakati mwingine hata kwa mkumbo ama wao huona ni kama mtindo huku wakiwaumiza Wananchi hii si sawa hata kidogo!"
" Bunge lijikite kwenye misingi chanya ya kuwatetea Wananchi na siyo kuwaumiza."
Katibu TEC.
" Wabunge wetu wamekuwa watu wa kuunga mkono kila kitu wakati mwingine hata kwa mkumbo ama wao huona ni kama mtindo huku wakiwaumiza Wananchi hii si sawa hata kidogo!"
" Bunge lijikite kwenye misingi chanya ya kuwatetea Wananchi na siyo kuwaumiza."
Katibu TEC.
Kumbuka waliokuwepo viongozi wa dini zote na sii WAKRISTU au wakatoliki tuu, hata waislam waliokuwepo hivyo hilo tamko ni la wote" Wabunge wetu wamekuwa watu wa kuunga mkono kila kitu wakati mwingine hata kwa mkumbo ama wao huona ni kama mtindo huku wakiwaumiza Wananchi hii si sawa hata kidogo!"
" Bunge lijikite kwenye misingi chanya ya kuwatetea Wananchi na siyo kuwaumiza."
Katibu TEC.
HatariUtafiti wao wameshamkabidhi Waziri wa Uchukuzi!
Ulipitia kwenye Law of Contract, hukusoma.All Contracts are Agreements, but All Agreements are not Contracts.