Viongozi wa Dini wanazungumza na Serikali kuhusu Mkataba wa Bandari kati ya Tanzania na Dubai
Kama wasomi wanapewa elimu sahihi na haiwasaidii labda kuna tatizo lingine ..
Binafsi naona kama wawekezaji wangekuwa wazungu..labda ingekuwa tofauti..
Nafikiri chuki Kwa waraabu na religious biased zimechangia zaid
Waarabu wako Iran na Afghanistan

Dubai ni Wapemba tu wale ni ndugu zetu
 
Bado nasubiri tamko la TEC kuhusu kutolewa sadaka sehemu ya bandari yetu, hilo la wabunge ni sahihi, na ninajua wametuma salamu mahali, lakini kwangu salamu pekee hazitoshi, nataka wakabishe hodi kabisa pale mlangoni kwenye chimbuko la uharibifu.
 
" Wabunge wetu wamekuwa watu wa kuunga mkono kila kitu wakati mwingine hata kwa mkumbo ama wao huona ni kama mtindo huku wakiwaumiza Wananchi hii si sawa hata kidogo!"

" Bunge lijikite kwenye misingi chanya ya kuwatetea Wananchi na siyo kuwaumiza."

Katibu TEC.
Bunge lenyewe lina Std 7 and below kama akina
Lusinde
Msukuma
Jah People
Halafu unawapelekea mkataba ulioandikwa kiingereza cha kiwanasheria unategemea wajiridhisheje na kwa muujiza gani?
 
Bado nasubiri tamko la TEC kuhusu kutolewa sadaka sehemu ya bandari yetu, hilo la wabunge ni sahihi, na ninajua wametuma salamu mahali, lakini kwangu salamu pekee hazitoshi, nataka wakabishe hodi pale mlangoni kwenye chimbuko la uharibifu.
Utafiti wao wameshamkabidhi Waziri wa Uchukuzi!
 
" Wabunge wetu wamekuwa watu wa kuunga mkono kila kitu wakati mwingine hata kwa mkumbo ama wao huona ni kama mtindo huku wakiwaumiza Wananchi hii si sawa hata kidogo!"

" Bunge lijikite kwenye misingi chanya ya kuwatetea Wananchi na siyo kuwaumiza."

Katibu TEC.
Tunaitaji strong parliament in which we have at least 40% patriotic opposition representatives.Nimeanza kuona udhaifu wa kuwa na wabunge wachache wa upinzani ndani ya bunge la JMT!! Ni hasara sana aisee
 
Halafu tukiitwa nyani tunakasirika.

Wakati mambo kama haya tunayoyafanya yanatutofautisha kidogo sana na wanyama.

Mtu kwa akili zako timamu unaweza vipi kumkabidhi mgeni kila kitu chako??
 
" Wabunge wetu wamekuwa watu wa kuunga mkono kila kitu wakati mwingine hata kwa mkumbo ama wao huona ni kama mtindo huku wakiwaumiza Wananchi hii si sawa hata kidogo!"

" Bunge lijikite kwenye misingi chanya ya kuwatetea Wananchi na siyo kuwaumiza."

Katibu TEC.

Haya kwenye video hii yanauma:

" Wabunge wetu wamekuwa watu wa kuunga mkono kila kitu wakati mwingine hata kwa mkumbo ama wao huona ni kama mtindo huku wakiwaumiza Wananchi hii si sawa hata kidogo!"

" Bunge lijikite kwenye misingi chanya ya kuwatetea Wananchi na siyo kuwaumiza."

Katibu TEC.
Kumbuka waliokuwepo viongozi wa dini zote na sii WAKRISTU au wakatoliki tuu, hata waislam waliokuwepo hivyo hilo tamko ni la wote
 
Kwa wabunge wa ccm sidhani kama wanaweza kubadilika! Kuna "kitu" wakiona, akili na ubinadamu unawatoka kabisa!

Tukumbuke wametisha mikataba mingi sana kutokana na nguvu ya 'hiki kitu' ambacho Mwenyezi Mungu alikilaani!
 
All Contracts are Agreements, but All Agreements are not Contracts.
Ulipitia kwenye Law of Contract, hukusoma.
Ulitakiwa usiiseme hiyo statement kwenye maelezo yako, kama unapingana na mimi, japo umeisema kwa makosa pia

If ALL AGREEMENTS are not contacts, then obvious a contract is not an agreement, according to your perceptions. Hujui unachoongea na wala hujui hata kiingereza
 
Back
Top Bottom