Akabi kemanya
JF-Expert Member
- Oct 26, 2021
- 226
- 346
Kuna watu hawapendi kusikia hayo maneno" Wabunge wetu wamekuwa watu wa kuunga mkono kila kitu wakati mwingine hata kwa mkumbo ama wao huona ni kama mtindo huku wakiwaumiza Wananchi hii si sawa hata kidogo!"
" Bunge lijikite kwenye misingi chanya ya kuwatetea Wananchi na siyo kuwaumiza."
Katibu TEC.
Sisi ndiyo wenye Simba halafu wao ndiye wenye Mbuzi, si ndiyo!!!! l.o.l.Bora ungelinganisha mfugaji wa mbuzi na mfugaji wa simba
Waliosaini mkataba wengine ni maprofesor haya mambo yanahitaji uzalendo kwanzaBunge lenyewe lina Std 7 and below kama akina
Lusinde
Msukuma
Jah People
Halafu unawapelekea mkataba ulioandikwa kiingereza cha kiwanasheria unategemea wajiridhisheje na kwa muujiza gani?
Mkuu najaribu kuelewa aliyetuma "salamu mahali" ila nimeshindwa kuunganisha dots...ninajua wametuma salamu mahal
Abarikiwe Padri Kitima, amewakilisha vizuri hii hoja ya nguvu.Bunge lijikite kwenye misingi chanya ya kuwatetea Wananchi na siyo kuwaumiza."
Hao maprof uprof wao hauna tofauti na uphd wa Musukuma na No 1 wetuWaliosaini mkataba wengine ni maprofesor haya mambo yanahitaji uzalendo kwanza
Lazima tuamke tuwadhibiti hawa wazanzibari vinginevyo nchi inaenda hii" Wabunge wetu wamekuwa watu wa kuunga mkono kila kitu wakati mwingine hata kwa mkumbo ama wao huona ni kama mtindo huku wakiwaumiza Wananchi hii si sawa hata kidogo!"
" Bunge lijikite kwenye misingi chanya ya kuwatetea Wananchi na siyo kuwaumiza."
Katibu TEC.
Hakuna cha kufikiri, au awe mkweli au asiunukuu.msikilize vizuri na muelewe kwa akili kidogo ,anamaanisha ni wenyewe sema yy hajaupata kwa njia rasmi na kunakazihaki kidogo kakachombeza hapo ,maana huu mkataba upo hata ktk tovoti ya bunge waliweka.Usitoe hukumu kabla hujatumia uwezo wa kutafakari jambo
TEC wametuma salamu pale juu!.Mkuu najaribu kuelewa aliyetuma "salamu mahali" ila nimeshindwa kuunganisha dots...
Ndugu zangu katika bwana na kanisa lote, kuhusu wabunge hamtaweza kuwafanya wabadili tabia ya kupiga makofi meza na neno ndio kwa kila muswada!! Huo ndio utaratib wanaotakiwa kuufanya." Wabunge wetu wamekuwa watu wa kuunga mkono kila kitu wakati mwingine hata kwa mkumbo ama wao huona ni kama mtindo huku wakiwaumiza Wananchi hii si sawa hata kidogo!"
" Bunge lijikite kwenye misingi chanya ya kuwatetea Wananchi na siyo kuwaumiza."
Katibu TEC.
Wewe kwa uelewa wako unafikiri viongozi wa dini ni maamuma?, unaijua elimu ya dk kitima,unaijua elimu ya nyaisonga?, humu kuna madokta na maprofesa.usiwe boya wewe.Badala azungumze na wataalam wa sheria wamhoji maswali anazungumza na wazee wa dini wao na mikataba wapi na wapi. Hii nchi ina vituko kweli
Hapa angekuwepo Tulia angetaka viongozi wa dini wathibishe wananchi wameumizwa kwa kiwango gani." Wabunge wetu wamekuwa watu wa kuunga mkono kila kitu wakati mwingine hata kwa mkumbo ama wao huona ni kama mtindo huku wakiwaumiza Wananchi hii si sawa hata kidogo!"
" Bunge lijikite kwenye misingi chanya ya kuwatetea Wananchi na siyo kuwaumiza."
Katibu TEC.
Elimu ina maana gn kama wewe sio mzalendo?,.Nani alikudanganya kuwa walio saini huo mkataba hawana elimu?, elimu ina maana tu kama mwenye hiyo elimu ni mzalendo.Hapo ndio wasiosoma huzidi kudharau wasomi[emoji1787]
Nimekutana na hizi kejeli mara kadhaa, na inapotokea ishu km za bandari, ndio tunazidi kudharauliwa mpaka[emoji24]
Hajipendi?!Hapa angekuwepo Tulia angetaka viongozi wa dini wathibishe wananchi wameumizwa kwa kiwango gani.
Swala hatutaki kuonyeshwa matunda bali tunataka kabla ya kusign mkataba kieleweke. Kama mwakilishi wa kanisa katoliki alivyosema, nchi isiwe ndo inasign mkataba bali iwepo kampuni inayowakilisha Dubai. Hiyo kampuni ndo itaendesha bandari na itakuwa responsible kwa kila kitu siyo nchi.Kama wanajua una tija wasitumie nguvu kubwa kutuaminisha badala yake wasubiri waje watuoneshe matunda yake
Kuwa PhD holder wa theolojia au kuwa PhD holder wa udaktari wa binadamu hakukufanyi uwe expert wa sheria na mikataba. Acha upopoma. Ndiyo maana hata hayo makanisa yanatumia wana sheria katika mambo yake sio kisa daktaro ana PhD basi atajua kila kitum usiwe bwege bwege weweWewe kwa uelewa wako unafikiri viongozi wa dini ni maamuma?, unaijua elimu ya dk kitima,unaijua elimu ya nyaisonga?, humu kuna madokta na maprofesa.usiwe boya wewe.
Watakuwa wanashangaa aina ya watu wanaoishi TanzaniaHuko Kenya akina Mwiguna Mwiguna wameusambaza Mkataba Wetu mitaani!
Dubai ni wapemba ?!!! [emoji1787][emoji15][emoji15]Waarabu wako Iran na Afghanistan
Dubai ni Wapemba tu wale ni ndugu zetu
[emoji106]Kuwa PhD holder wa theolojia au kuwa PhD holder wa udaktari wa binadamu hakukufanyi uwe expert wa sheria na mikataba. Acha upopoma. Ndiyo maana hata hayo makanisa yanatumia wana sheria katika mambo yake sio kisa daktaro ana PhD basi atajua kila kitum usiwe bwege bwege wewe