Viongozi wa Dini wanazungumza na Serikali kuhusu Mkataba wa Bandari kati ya Tanzania na Dubai
Kwa hiyo hiyo inayotembea mtandaoni ni agreement fake, Mkuu? Niweke sawa hapa ili Twende pamoja.
Fake. NA Kama siyo fake, imechotwa kwenye visehemu sehemu AMBAVYO vitakupelekea wewe uione agreement kuwa siyo nzuri au ambiguous. Msikilize WAZIRI na wabunge
 
Leo ndio nimegundua hawa ni kanisa dola kwa kificho. Kwamba wamechunguza kuhusu Dp na wanayo nyaraka ya maandishi wataikabidhi serikali. Kasema wanayo nyaraka fake ya huu mkataba ambayo mwanasheria Hamza alipokuwa akitoa ufafanuzi akitumia ile nyaraka quinine ni kama mambo yote ya feki na junioni yana fanana.

Kasema kwa akili kubwa hapa, maana yake ni hicho kinachoitwa feki sio feki bali kinakuwa feki kwa vile tu kimevujishwa hakikuwafikia watu kwa utaratibu unaokubalika.
 
Kama serikali imeweza kujenga madaraja makubwa.reli ya kisasa na nyerere haidro power ya megawat 2015 inashindwa nini kuwekeza kwenye bandari yake hadi impe mtu mwingine? Utawala uliopita ukiwekeza bandari ya Tanga na mtwara hadi mwanza kwa nini hii serikali isijikite kuyaondoa hayo mapungufu yaliyopo hapo bandari hadi impe mwekezaji? Viwanda vingapi vilikufa baada ya kuwapa wawekezaji? Mwekezaji anaweza kuiharibu bandari ili kuinufaisha nchi jirani shindani lkn serikali haiwezi kujiumiza.pia kwa nini kuna uharaka ktk hili?
 
Ul
Leo ndio nimegundua hawa ni kanisa dola kwa kificho. Kwamba wamechunguza kuhusu Dp na wanayo nyaraka ya maandishi wataikabidhi serikali. Kasema wanayo nyaraka fake ambayo mwanasheria Hamza alipokuwa akitoa ufafanuzi akitumia ile quinine ni kama mambo yote ya feki na junioni yana fafana.

Kasema kwa akili kubwa hapa, maana yake ni hicho kinachoitwa feki sio feki bali kinakuwa feki kwa vile kimevujishwa hakikuwafikia watu kwa utaratibu.
Ulikuwa huelewi kuwa mafia hao?
 
Iwe ni kanisa au msikiti au siasa, mtu akishasema "mkataba feki" halafu anaendelea kuunukuu kujenga hoja zake, huyo ni punguani wahed.

Kwa kuwa unesema huyo ni wa kanisani basi simshangai, wamezowea kuwalisha watu maandiko feki.
😂😂😂😂 Ngoja tuone

Wewe ndiwe Petro na Juu ya Mwamba Huu nitalijenga Kanisa Langu!
 
Leo ndio nimegundua hawa ni kanisa dola kwa kificho. Kwamba wamechunguza kuhusu Dp na wanayo nyaraka ya maandishi wataikabidhi serikali. Kasema wanayo nyaraka fake ambayo mwanasheria Hamza alipokuwa akitoa ufafanuzi akitumia ile quinine ni kama mambo yote ya feki na junioni yana fafana.

Kasema kwa akili kubwa hapa, maana yake ni hicho kinachoitwa feki sio feki bali kinakuwa feki kwa vile kimevujishwa hakikuwafikia watu kwa utaratibu.
Kanisa Moja Takatifu la Mitume
 
Leo katika kikao cha pamoja waziri wa ujenzi na uchukuzi prof Makame Mbarawa ameambiwa na padre charles kitime kwamba bunhe pekee haliwezi kufanya maamuzi mambo ambayo yamekataliwa na wananchi kuhusiana na mkataba wa bandari zetu ,

Ametoa mifano mbalimbali nchi ambazo zilipuuza maoni ya wananchi katika mikataba iliyokuwa inapitishwa na serikali ya mafta na gesi mfano somalia ethiopia na sudani n.k. amesema nchi hizo hadi sasa amani haipo kwani wananchi walichoka kuburuzwa na serikali itakavyo katika rasili mali zao! ametoa rai kwa waziri mwenye dhamana asipuuze maoni ya wananchi kwa kuwa waliowengi wanafahamu na wanajuwa kuwa mkataba huo unavifingu ambavyo vinaleta taharuki katika ukodishaji wa bandari hizo .

Aidha ameenda mbali zaidi kwa kusema kwamba bunge pekee haliwezi kuamua hatima ya wananchi kwa mambo ambayo bado yanapigiwa kelele.[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
 
Back
Top Bottom