rodrick alexander
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 16,784
- 23,312
Afadhali huyu kuliko yule anayezungumzia wanaomkosoa rais
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
PADRE KITIMA AKUMBUSHA MAMBO MUHIMU KUHUSU MIKATABA YA UWEKEZAJI NCHINI,WAZIRI MBARAWA AMSIKILIZA.
Kanisa Moja Takatifu la Mitume 😀Huyu padri nae anasema anao mkataba feki halafu anaunukuu.
Shule alienda kusomea ujinga.
Fake. NA Kama siyo fake, imechotwa kwenye visehemu sehemu AMBAVYO vitakupelekea wewe uione agreement kuwa siyo nzuri au ambiguous. Msikilize WAZIRI na wabungeKwa hiyo hiyo inayotembea mtandaoni ni agreement fake, Mkuu? Niweke sawa hapa ili Twende pamoja.
Iwe ni kanisa au msikiti au siasa, mtu akishasema "mkataba feki" halafu anaendelea kuunukuu kujenga hoja zake, huyo ni punguani wahed.Kanisa Moja Takatifu la Mitume 😀
Kumekucha!
PADRE KITIMA AKUMBUSHA MAMBO MUHIMU KUHUSU MIKATABA YA UWEKEZAJI NCHINI,WAZIRI MBARAWA AMSIKILIZA.
Na wewe punguza udini, siku zote unachangiaga ukikosoa wanaokosea kiswahili tu,lakini tangu ishu ya bandari ianze unakomaa sana kutetea mkataba wa bandari, wewe ndo Zuhura Yunusu mwenyewe nini!???Huyu padri nae anasema anao mkataba feki halafu anaunukuu.
Shule alienda kusomea ujinga.
Ni vigumu sana kwa akili ndogo kuelewa kitokacho kwa akili kubwa!Huyu padri nae anasema anao mkataba feki halafu anaunukuu.
Shule alienda kusomea ujinga.
Ulikuwa huelewi kuwa mafia hao?Leo ndio nimegundua hawa ni kanisa dola kwa kificho. Kwamba wamechunguza kuhusu Dp na wanayo nyaraka ya maandishi wataikabidhi serikali. Kasema wanayo nyaraka fake ambayo mwanasheria Hamza alipokuwa akitoa ufafanuzi akitumia ile quinine ni kama mambo yote ya feki na junioni yana fafana.
Kasema kwa akili kubwa hapa, maana yake ni hicho kinachoitwa feki sio feki bali kinakuwa feki kwa vile kimevujishwa hakikuwafikia watu kwa utaratibu.
😂😂😂😂 Ngoja tuoneIwe ni kanisa au msikiti au siasa, mtu akishasema "mkataba feki" halafu anaendelea kuunukuu kujenga hoja zake, huyo ni punguani wahed.
Kwa kuwa unesema huyo ni wa kanisani basi simshangai, wamezowea kuwalisha watu maandiko feki.
Wewe kwa akili yako ya kiarabu huwezi kumuelewa mtu mwenye akili kama yuleHuyu padri nae anasema anao mkataba feki halafu anaunukuu.
Shule alienda kusomea ujinga.
Yule aliyeitwa shetani na Yesu?😂😂😂😂 Ngoja tuone
Wewe ndiwe Petro na Juu ya Mwamba Huu nitalijenga Kanisa Langu!
Kanisa Moja Takatifu la MitumeLeo ndio nimegundua hawa ni kanisa dola kwa kificho. Kwamba wamechunguza kuhusu Dp na wanayo nyaraka ya maandishi wataikabidhi serikali. Kasema wanayo nyaraka fake ambayo mwanasheria Hamza alipokuwa akitoa ufafanuzi akitumia ile quinine ni kama mambo yote ya feki na junioni yana fafana.
Kasema kwa akili kubwa hapa, maana yake ni hicho kinachoitwa feki sio feki bali kinakuwa feki kwa vile kimevujishwa hakikuwafikia watu kwa utaratibu.
😂😂😂😀😀😄🔥Wewe kwa akili yako ya kiarabu huwezi kumuelewa mtu mwenye akili kama yule