FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
Azitowe wapi? Mwenye akili atakaa bila kuoa miaka yote hiyo?Wewe kwa akili yako ya kiarabu huwezi kumuelewa mtu mwenye akili kama yule
Slaa yalimshinda, muulize kwanini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Azitowe wapi? Mwenye akili atakaa bila kuoa miaka yote hiyo?Wewe kwa akili yako ya kiarabu huwezi kumuelewa mtu mwenye akili kama yule
Ngoja tuone 😃😃😃😃Yule aaliyeitwa shetani na Yesu?
Ul
Ulikuwa huelewi kuwa mafia hao?
Padre kasema ukweli. Hilo bunge kwanza halina uhalali wa umma, hivyo wanachopitisha hakina uhalali wa umma. Tulikaa kimya wakati wanauza gas yetu. Kwa sasa hatuko tayari tena.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hii kauli ya Padre Kitima wakiisikia wale wabunge Waumini wa Kanisa Moja Takatifu la Mitume Sijui wanajisikiaje?
Nadhani mwishoni mwa wiki foleni ya Kitubio itakuwa ndefu hapo Katoliki Dodoma
Mlale unono!
Kazi gani?Kazi wanayo
Ndio maana akawa anatumia neno labda,acha kujifanya mjuzi kumbe na hila zako za kidini.Huyu padri nae anasema anao mkataba feki halafu anaunukuu.
Shule alienda kusomea ujinga.
Naamini ulimaanisha kanisa! Km ni hivyo naiunga hoja.Hapa kabisa limefanya haki
Unalijua kanisa la roma au una firika kichawa chawa tuu??Naona upotoshaji unaendelea, sasa ni zamu ya viongozi wa Kiroho.