Viongozi wa Dini wanazungumza na Serikali kuhusu Mkataba wa Bandari kati ya Tanzania na Dubai
Padre kasema ukweli. Hilo bunge kwanza halina uhalali wa umma, hivyo wanachopitisha hakina uhalali wa umma. Tulikaa kimya wakati wanauza gas yetu. Kwa sasa hatuko tayari tena.
 
Ul

Ulikuwa huelewi kuwa mafia hao?

Nilikuwa nasikia tu hizi stori zao huku mwembe togwa kwenye gahawa. Baadaye nikamuona padre commandoo lakini leo nimejisibitishia mwenyewe. Na wametolea tahadhari hicho kipengele cha kuwahamisha watu kwenye ardhi/eneo analopewa Dp. Maana hata Cathedral ya St Joseph alikokuwa Mwl JKN anasali ni jirani na bandari ya mitumbwi/mashua.
 
Mkataba ulivyo, DP World wakitaka kupanua shughuli za bandari wakaitaka ardhi ilipo St Joseph Cathedral, basi mkataba unasema serikali lazima iwafurushe.

Naona tutaelewana, by Maria Sarungi
 
Tanganyika, tusi kubali huu Ujinga: Waziri na Makatibu wote wa Wizara ni kutoka Zanzibar. Hawana Uchungu na Bara. Wanauza kila kitu.
 
Mimi sioni haja ya kuwa na Bunge. Maana Bunge ndio limekua likitunga sharia kandamizi za kutunyonya wananchi.
Padre kasema ukweli. Hilo bunge kwanza halina uhalali wa umma, hivyo wanachopitisha hakina uhalali wa umma. Tulikaa kimya wakati wanauza gas yetu. Kwa sasa hatuko tayari tena.
 
Huyu padri nae anasema anao mkataba feki halafu anaunukuu.

Shule alienda kusomea ujinga.
Ndio maana akawa anatumia neno labda,acha kujifanya mjuzi kumbe na hila zako za kidini.
We mwanamke una matatizo sana,yani MTU yoyote akiwa na imani tofauti nawe judgment yako kwake huwa ipo tofauti.

Sasa kam Waziri alikwenda kuongea nao kwa nini hakuwagawia imekataba orijino ili waweze kuichambua.ni upuuzi kwenda Ku convince MTU huku unajua fika hana taarifa ya kutosha kuhusu hicho kitu huku wewe ukiwa well informed.
Bora huyo padri aliyetumia Mkataba usio rasmi kutolea ufafanuzi.

Ila unatakiwa ubadilike una matatizo sana,hiyo imani waachie wenyewe waarabu wenye imani yao wewe inakuondolea utu wako kabisa.
 
Back
Top Bottom