Mayor Quimby
JF-Expert Member
- Mar 13, 2021
- 4,950
- 10,977
Watu kama Makala na Gondwe ambao hawajajiajiri maishani mwao miaka yote wanaishi kwa jasho la walipa kodi hawawezi kujua ugumu wa kusimamisha biashara kutoka mchangani.
Dada wa watu katega eneo zuri ambalo mmempa wenyewe, ameweka hela yake, ameitumia nguvu ku-brand biashara leo imekuwa imara mnamwambia avunje muweke zahanati.
Na sidhani hata kama wamempa fidia ya investment zake wala compensation on loss of business.
Mbona msiende kwa vigogo wacheni kuonea watoto wa maskini tu.
Japo mwenye biashara karidhika ila sio sawa kabisa nchi yetu wote hii.