Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio hali sasa wengine wanashindwa kuona anachoongea.Mwenye biashara hajaridhika ila imembidi tu akubaliane na matokeo kwakuwa makala na Gondwe ndio serikali ilio mpa eneo na sasa inamnyang'a baada ya kuona ameipendezesha [emoji848][emoji853] eti zahanati inajengwa... Dah huu uonevu kabisa bora wangempa kwa mkataba kuliko hivyo.
Ndio maana at time it pays to be famous, kingine Shishifood ni brand kubwa kwa sasa.Ungekuwa mgahawa wa mtu asie julikana unge leta hii habari ?
Yaani mwenyewe nikirudia post naona.Major malizia kutype......
Huna msikilize vizuri kasema kunajengwa kituo cha afya na yeye akikuwa open space ya manispaa temporary hilo eneo kinapanuliwa kituo cha afya
Hao unaowalaumu ndiyo kwa utu wamemtafutia eneo mbadala
Unajua eneo ni la manispaa
Watu kama Makala na Gondwe ambao hawajajiajiri maishani mwao miaka yote wanaishi kwa jasho la walipa kodi hawawezi kujua ugumu wa kusimamisha biashara kutoka mchangani.
Dada wa watu katega eneo zuri ambalo mmempa wenyewe, ameweka hela yake, ameitumia nguvu ku-brand biashara leo imekuwa imara mnamwambia avunje muweke zahanati.
Na sidhani hata kama wamempa fidia ya investment zake wala compensation on loss of business.
Mbona msiende maeneo mliyowapa wamanga na magacholi; mnabaki kuonea watoto wa maskini tu.
Japo mwenye biashara karidhika ila sio sawa kabisa nchi yetu wote hii.
Anaelewa ugumu wa kuisimamisha biashara mpaka wateja wakuzoee, hasa biashara ya chakula na bar ambapo jiji la Dar kila baada ya mitaa michache kuna dining bar.Unaishukuru serikali huku unalia machozi
Watu kama Makala na Gondwe ambao hawajajiajiri maishani mwao miaka yote wanaishi kwa jasho la walipa kodi hawawezi kujua ugumu wa kusimamisha biashara kutoka mchangani.
Dada wa watu katega eneo zuri ambalo mmempa wenyewe, ameweka hela yake, ameitumia nguvu ku-brand biashara leo imekuwa imara mnamwambia avunje muweke zahanati.
Na sidhani hata kama wamempa fidia ya investment zake wala compensation on loss of business.
Mbona msiende kwa vigogo wacheni kuonea watoto wa maskini tu.
Japo mwenye biashara karidhika ila sio sawa kabisa nchi yetu wote hii.
Mahela aliyopata akakodi au akanunue sehemu nzuri, aachane na maeneo ya ummaAnaelewa ugumu wa kuisimamisha biashara mpaka wateja wakuzoee, hasa biashara ya chakula na bar ambapo jiji la Dar kila baada ya mitaa michache kuna dining bar.
Humu watu wanaona shughuli rahisi tu kutengeneza biashara imara.
Jina lake litamsaidia hila uhalisia ni kwamba amepiga hatua kumi mbele, wamemrudisha tano nyuma; lazima alie.
Uzuri wa Shilole ni attitude yake ya ‘can do it’ atasimama tena.
Mbona yeye halalamiki na amewashukuru?Kapewa kiwanja tu sehemu nyingine hiyo sio fidia.
Kuna investment (wanatakiwa wampe hela yake).
Loss of business income mishahara ya wafanyakazi wake wakati wanasubiri sehemu mpya, pamoja ni income atakayopeteza.
Goodwill/Brand cost ambazo anatakiwa kutumia kulitangaza eneo jipya.
Ni hivi sio sawa kabisa, watanzania wengine treatment zao ni less favourable kushinda wengine.
Iyoe kiteJamani kuuliza sio ujinga.
Hivi shishi food ni wale wahindi wanouza shisha au?
Wampe hela ya nini kwani alipangishwa au alikuwa namkataba na manispaaKapewa kiwanja tu sehemu nyingine hiyo sio fidia.
Kuna investment (wanatakiwa wampe hela yake).
Loss of business income mishahara ya wafanyakazi wake wakati wanasubiri sehemu mpya, pamoja ni income atakayopeteza.
Goodwill/Brand cost ambazo anatakiwa kutumia kulitangaza eneo jipya.
Ni hivi sio sawa kabisa, watanzania wengine treatment zao ni less favourable kushinda wengine.
Alikuwa na mkataba wa pango wa muda gani?Siongelei kwa sababu nani anaondolewa hila ethics of the removal ndio shida.
Halafu mie sio mtaalamu wa kodi nimesoma accounting tu kumaliza taxation ni sehemu ya course.
Mtaalamu wa kodi ni accountant, ana professional qualification (ACCA or whatever), amefanya kazi kwenye eneo la kodi kwa miaka zaidi ya tano.
Baada ya hapo kaenda tena kusoma masters ya sheria za kodi, kuna mitihani mingine ya kufanya baada ya masters; ndio unakuwa qualified tax accountant nchi za wenzetu.
Haya majadiliano yetu ya kodi JF ni basic tu. Hila kuitwa mtaalamu kwa viwango vya huku kijijini kwetu bado sana.
We umejuaje mbona mwenyewe hajalia kama wewe!Kapewa kiwanja tu sehemu nyingine hiyo sio fidia.
Kuna investment (wanatakiwa wampe hela yake).
Loss of business income mishahara ya wafanyakazi wake wakati wanasubiri sehemu mpya, pamoja ni income atakayopeteza.
Goodwill/Brand cost ambazo anatakiwa kutumia kulitangaza eneo jipya.
Ni hivi sio sawa kabisa, watanzania wengine treatment zao ni less favourable kushinda wengine.
Acha upopoma...Ni Kunguni na si Chawa na MTETEAShishi kafidiwa
Mkuu usibishane na Chawa wa bombey wasamehe...Kapewa kiwanja tu sehemu nyingine hiyo sio fidia.
Kuna investment (wanatakiwa wampe hela yake).
Loss of business income mishahara ya wafanyakazi wake wakati wanasubiri sehemu mpya, pamoja ni income atakayopeteza.
Goodwill/Brand cost ambazo anatakiwa kutumia kulitangaza eneo jipya.
Ni hivi sio sawa kabisa, watanzania wengine treatment zao ni less favourable kushinda wengine.
Kilimo ndio biashara wanayoweza hao watu. Halafu wakishavuna wanaficha; wanasubiri chakula kipungue sokoni waanze kuwalangua wananchi wanaowaongoza hawana huruma kabisa.Hata yeye anajua ni eneo la umma, Makala ni mfanyabiashara mkubwa wa nafaka, ana mill kubwa pia inakoboa mpunga, na bila shaka ni mkulima mkubwa.
Ni moja kati ya watu ambao Jiwe alijiapiza kuwamaliza kimaisha na kisiasa. Lakini Mungu akanyoosha mkono