Siongelei kwa sababu nani anaondolewa hila ethics of the removal ndio shida.
Halafu mie sio mtaalamu wa kodi nimesoma accounting tu kumaliza taxation ni sehemu ya course.
Mtaalamu wa kodi ni accountant, ana professional qualification (ACCA or whatever), amefanya kazi kwenye eneo la kodi kwa miaka zaidi ya tano.
Baada ya hapo kaenda tena kusoma masters ya sheria za kodi, kuna mitihani mingine ya kufanya baada ya masters; ndio unakuwa qualified tax accountant nchi za wenzetu.
Haya majadiliano yetu ya kodi JF ni basic tu. Hila kuitwa mtaalamu kwa viwango vya huku kijijini kwetu bado sana.