Mayor Quimby
JF-Expert Member
- Mar 13, 2021
- 4,950
- 10,977
- Thread starter
- #61
Toka lini manispaa ikakupa eneo la biashara au kilimo kwa kukodi; masharti yake huwa ni kulitumia kwa madhumuni waliyokupa.Wampe hela ya nini kwani alipangishwa au alikuwa namkataba na manispaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni rahisi kuwatoa watanzania tu katikati ya shughuli zao bila ya fidia; ila wazungu wa Mtwara ambao eneo la shamba walibadili matumizi kinyume na sheria, shamba lenyewe wakitelekeza kwa miaka mpaka kuwa pori.
Watu hao hao kwa kushirikiana na majizi ya serikalini wameambiana kuna ndege ya ATCL Holland, wameikamata na kuvuta millions of dollars.
Hawa watoto wa maskini wanatafuta maisha, mtu anasomesha watoto wake, bills za nyumbani yeye, familia yake huko kijijini ukute ye ndio inamtegemea, kaajiri watu 40 wanaosaidia familia zao na analipa kodi zake.
Halafu unaenda mtoa tu bila ya fidia za loss of business ni uonevu.