DR SANTOS
JF-Expert Member
- Mar 11, 2019
- 12,846
- 28,106
Watu kama Makala na Gwonde ambao hawajai jiajiri maishani mwao miaka yote wanaishi kwa jasho la walipa kodi awawezi jua ugumu wa kusimamisha
Dada watu katega eneo zuri ambalo mmepa wenyewe, ameweka hela yake, ameitumia nguvu ku-brand biashara leo imekuwa imara mnamwambia avunje muweke zahanati.
Na sidhani ata kama wamempa fidia ya investment zake wala compensation on loss of business.
Mbona msiende maeneo mliyowapa wamanga na magacholi; mnabaki kuonea watoto wa maskini tu.
Japo mwenye biashara karidhika Hila sio sawa kabisa nchi yetu wote hii.
Ukoloni mambo leo