Ukoloni mambo leo
Watu kama Makala na Gwonde ambao hawajai jiajiri maishani mwao miaka yote wanaishi kwa jasho la walipa kodi awawezi jua ugumu wa kusimamisha
Dada watu katega eneo zuri ambalo mmepa wenyewe, ameweka hela yake, ameitumia nguvu ku-brand biashara leo imekuwa imara mnamwambia avunje muweke zahanati.
Na sidhani ata kama wamempa fidia ya investment zake wala compensation on loss of business.
Mbona msiende maeneo mliyowapa wamanga na magacholi; mnabaki kuonea watoto wa maskini tu.
Japo mwenye biashara karidhika Hila sio sawa kabisa nchi yetu wote hii.
Watanzania asilimia hawana ufahamu huo,ye akishaona kodi mseleleko basiSasa angefahamu ina maana kila mtu basi akipewa eneo inabidi mipango miji kuuliza wajameni hapa mnamipango baadae.
Manispaa kama walijua hilo neno ni reserve awatakiwi kumpa mtu kabisa.
Plan ya siku nyingi sana hiyo hapoHaki itendeke wampe fidia sahihi za kuondoa biashara sio kiwanja tu. Yaani maeneo yote ya Kinondoni Zahanati wameona itafaa kuwekwa shishifood tu.
Hapo sasa, si unaona shida ni Halmashauri sio raia.Watanzania asilimia hawana ufahamu huo,ye akishaona kodi mseleleko basi
Watu wengi mbona wameuziwa viwanja maeneo ya makaburi nk
Ova
[emoji1] shyshy nani bana kwani yeye ndy wa kuondolewa kwenye maeneoHapo sasa, si unaona shida ni Halmashauri sio raia.
Wamtendee haki Shishi on loss of business income kama hilo eneo wanashida nalo sana.
Sio rahisi kusimamisha biashara mpaka watu waizoee hasa kwa mtu ambae kaanzia kuuza uwani kwake.
Ndugu biashara ya services (chakula, kinyozi, fundi garage, etc) sio brand tu na eneo lenyewe, wateja wa kila siku pia muhimu.Plan ya siku nyingi sana hiyo hapo
Aache ubahiri kama kadhamiria kufanya biashara na brand anayo statute sehemu ya uhakika sasa
Ova
Sijaona wakilalamika kwenye media au kushukuru. Besides it helps kwenye jamii if your somebody watu kujua masaiba yako kushinda ya wengine.[emoji1] shyshy nani bana kwani yeye ndy wa kuondolewa kwenye maeneo
Any way hyo lazima watampoza maana ni mwanaccm mwenzao
Ova
Akaze buti huko huko atapata eneo lingine la waziNdugu biashara ya services (chakula, kinyozi, fundi garage, etc) sio brand tu na eneo lenyewe, wateja wa kila siku pia muhimu.
Nchi zingine ukiwa na mgahawa ukauza, jamaa anaenunua sehemu ya makubaliano atakwambia usifungue biashara ya aina hiyo eneo lenye radius ya mile mbili kwa sababu anaelewa wateja pia wanamzoea mwenye biashara.
So ukiwa karibu chances yeye kanunua eneo tu sio biashara na ndio msingi wa goodwill kwenye biashara ni thamani ya wateja biashara inayokuachia.
Sasa kumpa mtu eneo jipya anaenda anza upya huko nako kutakuwa na migahawa mingine afanye kazi ya kuiba wateja wao kwa kujitenga a upya.
That’s lifeAkaze buti huko huko atapata eneo lingine la wazi
Ova
We nawe ulivyoshikiria " wafanyakazi wake watakula wapi"?!Kitu cha afya wameona kinafaa shishifood tu katika hilo eneo.
Kwanini wasingempa eneo aanze biashara ndio wamuondoe.
Unampa mtu notice ya siku tatu na eneo hiyo miezi ambayo biashara aifanyi kazi wafanyakazi wake wanakula wapi na familia zao.
Sikiza nini mtu anacho kusudia kusema sio lazima maneno yanayomtoka.We nawe ulivyoshikiria " wafanyakazi wake watakula wapi"?!
Au ww ni miongoni mwa wafanyakazi wa shishi food, Jambo dogo tu unataka kulikuza wkt mwenyewe kalidhika.
Kama hamna kwa kula nendeni kwa makala au gondwe mkale makwao[emoji3061]
Ila shishi mwenyewe hajasema kuwa hajaridhishwa na fidia.Haki itendeke wampe fidia sahihi za kuondoa biashara sio kiwanja tu. Yaani maeneo yote ya Kinondoni Zahanati wameona itafaa kuwekwa shishifood tu.
Wengine awataki migogoro na viongozi, Tanzania mtu unaweza onewa na ukasema tunashukuru serikali kwa kazi nzuri.Ila shishi mwenyewe hajasema kuwa hajaridhishwa na fidia.
atoe maneno ajenge hoja asitafutize machozi na story ya huyo mteja wa wake wa muhimbili.Sikiza nini mtu anacho kusudia kusema sio lazima maneno yanayomtoka.
Sana sana Shishi alichosema ‘hewala si utumwa’ anachonifurahisha ni attitude yake ya vita mbele ili nalo litapita.
Mwenye biashara hajaridhika ila imembidi tu akubaliane na matokeo kwakuwa makala na Gondwe ndio serikali ilio mpa eneo na sasa inamnyang'a baada ya kuona ameipendezesha [emoji848][emoji853] eti zahanati inajengwa... Dah huu uonevu kabisa bora wangempa kwa mkataba kuliko hivyo.
Watu kama Makala na Gondwe ambao hawajajiajiri maishani mwao miaka yote wanaishi kwa jasho la walipa kodi hawawezi kujua ugumu wa kusimamisha biashara kutoka mchangani.
Dada wa watu katega eneo zuri ambalo mmempa wenyewe, ameweka hela yake, ameitumia nguvu ku-brand biashara leo imekuwa imara mnamwambia avunje muweke zahanati.
Na sidhani hata kama wamempa fidia ya investment zake wala compensation on loss of business.
Mbona msiende maeneo mliyowapa wamanga na magacholi; mnabaki kuonea watoto wa maskini tu.
Japo mwenye biashara karidhika ila sio sawa kabisa nchi yetu wote hii.
Aisee umejuaje?Ccm hana ndugu then huyu demu anafuga mashoga hapo mgahawani kuna shoga namjua.
Umewasahau wengine,,,,
Watu kama Makala na Gondwe ambao hawajajiajiri maishani mwao miaka yote wanaishi kwa jasho la walipa kodi hawawezi kujua ugumu wa kusimamisha biashara kutoka mchangani.
Dada wa watu katega eneo zuri ambalo mmempa wenyewe, ameweka hela yake, ameitumia nguvu ku-brand biashara leo imekuwa imara mnamwambia avunje muweke zahanati.
Na sidhani hata kama wamempa fidia ya investment zake wala compensation on loss of business.
Mbona msiende maeneo mliyowapa wamanga na magacholi; mnabaki kuonea watoto wa maskini tu.
Japo mwenye biashara karidhika ila sio sawa kabisa nchi yetu wote hii.
Umewasahau wengine,,,,,,,mbon wengi?????

Achape kazi ccm ni ile ile oh ni ile ileeWengine awataki migogoro na viongozi, Tanzania mtu unaweza onewa na ukasema tunashukuru serikali kwa kazi nzuri.
Unakubali tu yaishe hadharani, ya moyoni unayajua mwenyewe