Viongozi wa mkoa wenye roho mbaya sana

Ndio hali sasa wengine wanashindwa kuona anachoongea.
 
Unaishukuru serikali huku unalia machozi
 
Unaishukuru serikali huku unalia machozi
Anaelewa ugumu wa kuisimamisha biashara mpaka wateja wakuzoee, hasa biashara ya chakula na bar ambapo jiji la Dar kila baada ya mitaa michache kuna dining bar.

Humu watu wanaona shughuli rahisi tu kutengeneza biashara imara.

Jina lake litamsaidia hila uhalisia ni kwamba amepiga hatua kumi mbele, wamemrudisha tano nyuma; lazima alie.

Uzuri wa Shilole ni attitude yake ya ‘can do it’ atasimama tena.
 
Hata yeye anajua ni eneo la umma, Makala ni mfanyabiashara mkubwa wa nafaka, ana mill kubwa pia inakoboa mpunga, na bila shaka ni mkulima mkubwa.

Ni moja kati ya watu ambao Jiwe alijiapiza kuwamaliza kimaisha na kisiasa. Lakini Mungu akanyoosha mkono
 
Mahela aliyopata akakodi au akanunue sehemu nzuri, aachane na maeneo ya umma
 
Mbona yeye halalamiki na amewashukuru?
 
Wampe hela ya nini kwani alipangishwa au alikuwa namkataba na manispaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Alikuwa na mkataba wa pango wa muda gani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tukubaliane tu kuwa hatuna details shillole ni chawa wa ccm (shameless) kwa hiyo hapo kapapata kimjini mjini kaondoka kimjin mjini sawa na wale wenye bar na kuuza nguo pembezoni mwa kigambon huwa nawambiabwahiandae kisaikolojia serikali pale itakuja mpa mwekezaji wa maana kama kidimbwi ili asafishe na machines ile pwani
 
We umejuaje mbona mwenyewe hajalia kama wewe!
 
Mkuu usibishane na Chawa wa bombey wasamehe...
 
Kilimo ndio biashara wanayoweza hao watu. Halafu wakishavuna wanaficha; wanasubiri chakula kipungue sokoni waanze kuwalangua wananchi wanaowaongoza hawana huruma kabisa.

Ila ukiwakuta watu wenye biashara za ushindani kama kina Kasheku, Shabiby na wengine bungeni; watakueleza ni shughuli pevu kuwa na sustainable business, huo ugumu wengi serikalini awaujui.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…