Viongozi wa mkoa wenye roho mbaya sana

Sheria ipi ?
 
Because you think land usage contract terms for business purposes are different in Tanzania; yet they derive from the same law.
Hizi ni domestic and local governed by LGA

ACHA KUCHANGANYA KUUZA NDONDO KWENYE OPEN SPACE NA TRADE KUBWA

WATAKAMATA NDEGE KWASABABU OPEN SPACE ALIYOPEWA SHISHI IMERUDI KWA WENYEWE?
 
Nimeguswa!, so emotional chozi melenga lenga Shishi alivyo break!, it's human!.

Sasa na iwe ni zahanati kweli inakuja kujengwa!, yasije kuwa kama yale mambo ya Coco Beach, masikini hatuna tena Magufuli wa kuwatetea watu kama hawa!.
Angalieni wenzao wa Coco Beach, waliisha tolewa wakapewa matajiri, Magufuli akaingilia kati akawakingia kifua!. Kiasi kwamba ilipofika ile October 2020, wote waliotetewa na Magufuli, walitoa testimonials hizi
Hicho kilicho mkuta Shishi food hapo Kino ni utangulizi, hawa jamaa wa Coco watafuatia!, ule mpango wa kuiboresha Coco kuwa kama Acapulco Bay or Miami Beach.
P
 
Kituo cha afya wameona kinafaa shishifood tu katika hilo eneo.

Kwanini wasingempa eneo aanze biashara ndio wamuondoe.

Unampa mtu notice ya siku tatu na eneo, hiyo miezi ambayo biashara aifanyi kazi wafanyakazi wake wanakula wapi na familia zao.
Lile ni eneo la serikali
 
Mbona mwanzo alipokuwa block41 alihama baada ya eneo alilokuwa anafanya biashara kuuzwa
Hebu mshauri atafute sehemu ya uhakika,asipende maeneo ya mterezo

Ova
Watanzania ni watu wa kudandia sana. Mtu kaweka biashara eneo la serikali.
Serikali imeamua lichukua anakimbilia mitandaoni kutaka huruma za watu
 
Mbona ni kitu Cha kawaida tu hiki? Mnapenda kukuza mambo sana Yale Yale ya Dr Kimario na KKKT
Ndio watanzania walivyo.

Yaani wanapenda huruma sana wakati mtu alipewa taarifa Mwaka Mzima, leo anakuja tafuta huruma
 
Mkuu sio lazima umjibu kila mtu, angalia uzito wa swali kisha jibu.Utaumiza ubongo.
 
Kuna wakati Hawa wakina shilole tuwaache tu japo inauma ila ndio Hawa watu walio kuwa Wana bomolewawa walikuwa wanasema Hapa kazi tu. Sisemi hivyo kulipiza kisasi nakumbushia tu kuwa ukisifia mabaya yatakujuta nawe .
Hivyo lazima tunapoona ubaya Kwa mtu mwingine tupige kelele.
 
Huna msikilize vizuri kasema kunajengwa kituo cha afya na yeye akikuwa open space ya manispaa temporary hilo eneo kinapanuliwa kituo cha afya
Hao unaowalaumu ndiyo kwa utu wamemtafutia eneo mbadala
Unajua eneo ni la manispaa
Kwa nini walimruhusu kujenga open space? Huo ni udhaifu wa Watendaji wa Serikali.
 
Gondwe sio Mlokole kweli mbona anafanya ushetani huu?
 
kama karidhika shida yako ni nini?yeye kaangalia maslahi mapana ya wananchi wenzake,pia huenda umekurupuka tu kuandika hayo.je unajua mazungumzo yao yakoje na kama kaahidiwa kujengewa kwingine je?kama hatuna cha kuandika tusome yaliyoandikwa na wengine.
 
Watanzania ni watu wa kudandia sana. Mtu kaweka biashara eneo la serikali.
Serikali imeamua lichukua anakimbilia mitandaoni kutaka huruma za watu
Je BIASHARA hiyo aliweka mwenyewe baada ya kuona eneo lipo wazi au alipewa?

Swala ni kwamba, kwa nini wampe wenyewe halafu wamnyang'anye kwa kushtukiza hivyo?

Huoni kama watakuwa wamemfelisha kwa asilimia kubwa?

Serikali ya Tanzania haitumii busara kabisa pale ana leseni lazima iendelee kusoma ile na mambo mengine mengi ya serikali anadaiwa lakini wao hawayaoni hayo yote.

Yaani anapewa siku tatu awe amehama hivi ni uungwana kweli? ni bora wangempa hata miezi mitatu akakuta anajenga huko kwenye eneo alilo pewa ili akitoka hapo moja kwa moja anaenda kuendelea na kazi.

Binafsi nimelipokea kwa masikitiko makubwa sana hakustahili kufanyiwa hivyo hata kama eneo nilakwao serikali.

Ikiwa wewe ni miongoni mwa hiyo serikali wapelekee taarifa, waambie yakuwa wao wanamamlaka ya kufanya chochote kile wakitakacho, lakini watumie akili na busara katika maamuzi yao na sio kufanya maamuzi bila kutumia akili wanauwa uchumi wa watu na wao serikali hawana msaada wa kuwahudumia watu hao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…