Viongozi wa Serikali mnaopenda kufanya maamuzi ya kujijenga binafsi kisiasa muache. Sikubaliani na hili tamko la RC Mtaka

Viongozi wa Serikali mnaopenda kufanya maamuzi ya kujijenga binafsi kisiasa muache. Sikubaliani na hili tamko la RC Mtaka

Mkuu maisha ya kijijini ni magumu sana...watu wanategemea kilimo cha mvua...january mavuno bado..kufikia feb au march watoto watapata uniform baada ya kuuza mazao yao
Tatizo wananchi hatutaki kuwajibika kwa yanayotuhusu. Kumnunulia mwanao sare za shule ina tofauti gani na kumnunulia nguo zingine za kuvaa? Huu ujinga wa kujivunia umaskini unatumika sana na wanasiasa kutudanganya.
 
Wananchi type hii nyuma ya keyboard ndio wanataka viongozi wawe mbwiga.
Tunataka viongozi waoga waoga ili waonekane hawataki uongozi.

Kuna kiongozi alishawahi kuhoji kwa nini watoto wavae shati nyeupe ilihali wanakaa kwenye vumbi jekundu.

Wacha watoto wasome.
 
Tatizo wananchi hatutaki kuwajibika kwa yanayotuhusu. Kumnunulia mwanao sare za shule ina tofauti gani na kumnunulia nguo zingine za kuvaa? Huu ujinga wa kujivunia umaskini unatumika sana na wanasiasa kutudanganya.
ulishwakuta wanafanya manunuzi ya nguo za kushindia ama za sikukuu?
 
Ulaya hawana uniform kabisa na hairuhusiwi kabisa hata baadhi ya nchi graduation ni marufuku maana ni ujinga. Kichoangaliwa ni competency ya mhusika.
Ulaya nchi gani hiyo. Kwani mnakuwa wazushi na waongo km walevi ktk klabu ya kienyeji. Unaandika tu km bata anaharisha
 
KWANZA MAMBO YA UNIFORM YANATAKIWA YAFE NI MAGHARAMA YASIYO NA LAZIMA.

WENYE ELIMU YAO HAWANA MAMBO YA UNIFORM.

Leta kichwa chako kipate elimu
 
Serikali ilishatoa agizo zamani sana kuwa watoto wote pindi shule zitakapofunguliwa wajiunge hata kama hawana uniform.

Msimshambulie RC Mtaka.

Mtaka ni moja ya viongozi wanaojiamini sana. [emoji106]
 
uamuzi wa Mtaka ni sahihi. Masomo hayamsubiri mtoto. Uniform inaweza kusubiri hata miezi mitatu huku wanafunzi wakisoma
 
Back
Top Bottom