KateMiddleton
JF-Expert Member
- Mar 15, 2021
- 3,883
- 4,676
Mungu anakuonaWewe unatetea upuuzi.
Shukuru Mungu unabadilisha mboga na kuweza mshonea mtoto hizo nguo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mungu anakuonaWewe unatetea upuuzi.
Ya baba yakoOna huyu naye. Wewe umetembelea nchi gani ya Ulaya?
Mpuuzi kabisa wewe. Utudanganye halafu tukubali?Ya baba yako
Acha upumbavu. Umaskini sio kitu cha kujivunia. Acha kuona umaskini ni sehemu ya maisha.Mungu anakuona
Shukuru Mungu unabadilisha mboga na kuweza mshonea mtoto hizo nguo
Tatizo wananchi hatutaki kuwajibika kwa yanayotuhusu. Kumnunulia mwanao sare za shule ina tofauti gani na kumnunulia nguo zingine za kuvaa? Huu ujinga wa kujivunia umaskini unatumika sana na wanasiasa kutudanganya.Mkuu maisha ya kijijini ni magumu sana...watu wanategemea kilimo cha mvua...january mavuno bado..kufikia feb au march watoto watapata uniform baada ya kuuza mazao yao
IST, ISM, Agakhan,Academic, DIA, Feza Int, hizi zote huvaa uniformInternational school wanavaa uniform?
Unaijua baridi ya Njombe na vile vikaptula na sketi uingie darasani. Tuache kukariri, wacha watoto wakasome
Nani kajivunia?Acha upumbavu. Umaskini sio kitu cha kujivunia. Acha kuona umaskini ni sehemu ya maisha.
ulishwakuta wanafanya manunuzi ya nguo za kushindia ama za sikukuu?Tatizo wananchi hatutaki kuwajibika kwa yanayotuhusu. Kumnunulia mwanao sare za shule ina tofauti gani na kumnunulia nguo zingine za kuvaa? Huu ujinga wa kujivunia umaskini unatumika sana na wanasiasa kutudanganya.
Ulaya nchi gani hiyo. Kwani mnakuwa wazushi na waongo km walevi ktk klabu ya kienyeji. Unaandika tu km bata anaharishaUlaya hawana uniform kabisa na hairuhusiwi kabisa hata baadhi ya nchi graduation ni marufuku maana ni ujinga. Kichoangaliwa ni competency ya mhusika.
Hahahahaa[emoji1][emoji1][emoji1][emoji2936][emoji119]Nani kajivunia?
Ama umesahau mada ni kwamba watu hawamudu kununua uniform?
Ni sifa hiyo?
Uniform ukose na shule usiende?
Ng'ombe wewe
Sio mkoa wa njombeHawana sasa uniform
Hawana uwezo wa kununua uniform pia
Ova
Kwahiyo huwa wanatembea uchi au wanavaa magome ya miti?ulishwakuta wanafanya manunuzi ya nguo za kushindia ama za sikukuu?
Za kupewaKwahiyo huwa wanatembea uchi au wanavaa magome ya miti?
Naona umeamua kuupa likizo ubongo wako.Za kupewa
Huu muda unaochoma hapaNaona umeamua kuupa likizo ubongo wako.