Viongozi wa Uamsho wapo huru?

Status
Not open for further replies.
Kama serikali inajua kuna mabaya walifanya kwanini wasihukumiwe kama Kweli wanahatia
 
Wengine waliokaa ndani miaka 9 bila kesi zao kutajwa ni akina nani, wataje wasaidiwe
 
Ila watahadharishee..wakianza yale mahubir yao ya alshababii, hizbollah na Hamas wanarudi ndani asubuh kweupeee..hatutaki upuuz puuz kwenye nchi yenye kila aina ya dini..huku wengine wakijipambanua kuwa dini yao ndio ina haki na kutaka sharia itawale hata wale ambao haiwahusu..
kwa nini ulazimishe mungu wako aabudiwe na wengine, tena kwa bakora au kwa kulipuliwa mabomu?
Kama mnataka hivyoo nendeni sayar ya mars anzisheni taifa lenu mkajitawalee mtakavyoo..
Fullstop
 
Wakirudi mtaani wajirekebishe waachane na fikira zao za zamani. Saivi Znz tuna amani waheshimu serijali iliyopo
 
Ebu tusaidie kutujilisha ili tupate kufaham
 
Hakuna watanzania wenye sura kama zilee..wale ni walowezi tuu wa oman, yemeni na kwinginekoo..
 
Labda sheghee pondaa ndo mtanzania..
 
Taarifa za kiintelijensia ambazo wameshindwa kuwafikisha nazo mahakamani kwa miaka tisa?
 
Miaka 9 bila kuhukumiwa ni muda mrefu.

Hopefully hawa sio wale waliokuwa wakichinja/wakihamashisha baadhi ya watu kuchinja wenzao na kuchoma makanisa na huu upuuzi hautajirudia tena
Kwani kuna wengine zaidi ya hawa!?
 
Hawa ndo wanaleta ugaidi....wakitoka na amani inatoweka...wanaroho za kishetani.....hawakutakiwa kuwa hai Hawa mashekh wa uamsho....ni mawakala wa shetani....nashauri wanyongwe
 
hao wamefungwa kisiasa ,Ni wafungwa wa kisisiasa na fuatilia mikutano yao yote ,waliwazidi kete vyama vyote vya siasa
 
Siasa zinasababisha mambo yaende hovyo
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…