Viongozi wa Uamsho wapo huru?

Status
Not open for further replies.
Roho ya kishetani na chuki za kipumbavu hazitakufikisha popote,au umesahau ni lini walikamatwa na kwa kosa gani na wapi? Acho domo zege na chuki za kishetani.

Sent from my Infinix X656 using JamiiForums mobile app
Huyo jamaa mpuuzi sana kila kitu kibaya anamhusisha Magufuli kwa yeye hajui kuwa walikamatwa wakati wa Kikwete.
 
Kunywa maji utulize kuhemkwa maana unachojibu hakina hata uhusiano ili mradi umehemkwa

Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
 
Wewe ndo mpumbavu sana unafikiri serkali inafanya mambo kwa mihemko, umejaa udini tu kisa cha kumlaumu Magufuli kipi hapo? Kama ni magaidi serkali itatenda haki, nyie miaka yote ni kulialia tu.
 
Watolewe wengine wengi waliko huko jela

Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app

Mwanzo wa Safari ndefu ni hatua ya kwanza. Vivyo hivyo mwanzo wa ngoma ni lele.

Kote tutafika tokea kwa kina Ruge hadi kwa kina Mdude.

Bahati mbaya kwa waliotolewa roho. Wote tungependa wapate haki zao.

Viva mama Samia Suluhu kwa kuyatamka na kuyaishi: "haki huinua taifa."
 
Siku zako zinahesabika wewe ,nina uhakika unapoteza maisha kabla ya mwezi huu kumaliza maradhi ni yaleyale ya tatizo la kupumuwa.,wanaokujua wataleta taarifa hapa.
Sasa kwanini hamjawatoa uhai waliowakamata miaka yote hiyo?
Halafu kifo Ni lazima kwa kila mmoja usisahau hilo.
Mtu anapotoa maoni yake yaheshimiwe tu hata pumba, tunachojadili hapa kwa hao masheikh ni walitoa maoni yao ambayo hayakuwapendeza wakina Kikwete na Shein, halafu nawe unamtumia vitisho Alie kinyume nawe, unatafuta haki kweli?

Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
 
DPP anasemaje kuhusu mashtaka yao, na jaji anasemaje! au wamepata msamaha wa rais kabla hukumu haijapita.....ngoja tuendelee kutega sikio na kukazia macho.
 
Vipi Sheikh mkuu nasikia ndio Mtetezi wao au
Shekhe mkuu ni pandikizi la watawala. Kwake yeye maulidi ni muhimu kuliko haki za waislamu. Ndo maana system inataka shekhe mkuu/ mufti awe amesoma Quran tu asijue lolote la hapa duniani.
 
Muulize babu sea aliachiwa na nani.
 

Mkuu dega habari.
Naomba kama hutojali unikumbushe majina ya hao wakoloni (Watu, nchi au taasisi) waliowatesa hao masheik wa uamsho kwa kipindi ulichokitaja.

Ahsante
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…