Viongozi wa Uamsho wapo huru?

Viongozi wa Uamsho wapo huru?

Status
Not open for further replies.
Taarifa ambazo hazijathibitishwa ni kuwa Sheikh Farid na Sheikh Msellem wameachiwa.

Picha mbali mbali zinazosambaa katika mitandao ya kijamii zinamuonesha Farid akiwa na familia yake.

Inasemekana wameachiwa jana usiku.

View attachment 1820098
Hizo picha ni za zamani, Sababu mtu alietoka jela jana hawezi fuga NDEVU kwa siku moja na zikastawi hivyo!
 
Wametolewa kwa utaratibu gani? Au ndiyo utaratibu kama wa Hanje? Kama ni hivyo DPP na aliyemteua watakuwa hawana tofauti na mwendazake
 
Mbona kimya kimya, wameachiwa huru au kwa dhamana, kama mashtaka yao yaliyobaki yalikuwa yanadhaminika now wawe makini uraiani, wakileta tena zile habari zao watarudishwa walikotoka, hii nchi ina sheria zake wawe makini na yale mahubiri yao.
 
Tumia akili we boya.
 
Baada ya miaka karibu ya Kumi ya dhulma unyanyasaji usio wa haki uliokuwa unafanywa na wakoloni wanaotutawala dhidi ya ndugu zetu wasio na hatia Leo kwa mara ya kwanza baada miaka Kumi wameweza kuungana na familia zao na kunusa harufu ya Hewa Safi

Jee wakoloni watawapa fidia ya DHULMA waliowafanyis?
Tusubiri
Waliswekwa ndani kwa makosa gani? Ni rais gani aliyewaweka ndani? Magufuli au Kikwete au Shein au Karume?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom