Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizo picha ni za zamani, Sababu mtu alietoka jela jana hawezi fuga NDEVU kwa siku moja na zikastawi hivyo!Taarifa ambazo hazijathibitishwa ni kuwa Sheikh Farid na Sheikh Msellem wameachiwa.
Picha mbali mbali zinazosambaa katika mitandao ya kijamii zinamuonesha Farid akiwa na familia yake.
Inasemekana wameachiwa jana usiku.
View attachment 1820098
Ahaaa, kamanda acha porojo.Mimi nimeshawahi kukaa mahabusu baada ya kumpiga Trafiki nikaacha kunyolewa baada ya kutoa fedha ya Maji nikawekwa kwenye kundi la Shehe wa Kisingasinga.
Tumia akili we boya.Mbona kimya kimya, wameachiwa huru au kwa dhamana, kama mashtaka yao yaliyobaki yalikuwa yanadhaminika now wawe makini uraiani, wakileta tena zile habari zao watarudishwa walikotoka, hii nchi ina sheria zake wawe makini na yale mahubiri yao.
Vipi we mchovu, nakuona bado unaropoka ropoka tu.Tumia akili we boya.
Mkuu una utimamu wa akili? Jielekeze kwenye hoja acha kuattack watu, hata sifahamu ulichonituhumu.Unajifanya mtu mwingine et[emoji1732][emoji1732][emoji1732]
Hapana, hawa walikamatwa enzi za JK na SheinMwenye maelekezo ya kidhalimu kutokea juu yuko busy na malaika.
Hapa sasa mdogo mdogo mwendo wa haki bin haki.
Waliswekwa ndani kwa makosa gani? Ni rais gani aliyewaweka ndani? Magufuli au Kikwete au Shein au Karume?Baada ya miaka karibu ya Kumi ya dhulma unyanyasaji usio wa haki uliokuwa unafanywa na wakoloni wanaotutawala dhidi ya ndugu zetu wasio na hatia Leo kwa mara ya kwanza baada miaka Kumi wameweza kuungana na familia zao na kunusa harufu ya Hewa Safi
Jee wakoloni watawapa fidia ya DHULMA waliowafanyis?
Tusubiri
Walikamatwa na kushikiliwa mwaka gani?Mwenye maelekezo ya kidhalimu kutokea juu yuko busy na malaika.
Hapa sasa mdogo mdogo mwendo wa haki bin haki.
Hapana, hawa walikamatwa enzi za JK na Shein
Sawasawa 🙏Tuombe Mungu iwe kweli maana kukaa mahabusu kwa miaka 9 sio haki kabisa.
Kwahiyo kosa limehamia kwa alierithi madaraka?Lakini wakashikiliwa kipindi chore cha mwendazake.
Au nasema uongo ndugu yangu?