Viongozi wangu wa Simba, ondoeni kirusi Chasambi ndani ya timu yetu, msikilizeni akimsifia Max Nzengeli na kudai Simba hakuna role model wake

Mashabiki wa yanga baada ya kushindwa kupata furaha kutoka kwa mabasha wenu singida black stars mmehamia kwa wachezaji wetu sio? Toa mwiko nyuma huo shubahamiti zako.

Mayele alishawahi kuhojiwa akiwa yanga na akamtaja shabalala kama beki wake bora anayemkubali na kwenye kikosi chake bora akampanga.
 
Chasambi kati ya Simba SC na Yanga SC ni shabiki wa timu gani? Unaweza kuwa na mchezaji shabiki wa timu pinzani hayo ndio matokeo yake
 
Kwaiyo kosa Gani amefanya hapo? Kusema ukweli ni kosa? Ulitaka aongeze kitachokufurahisha wewe na wenzako na sio ukweli wake? Mashabiki wa kitanzania ni ovyo kweli kweli!
 
Kama ungekuwa unajua maana ya role model usingemlaumu Chasambi!
 
Wachawi wa yanga mmeanza.
Wachezaji wengi wa Simba huwa wanarogwa na vizee vya yanga ila mara nyingi huwa wanajitakia.

Nawashauri muwe mnakuwa makini sana mnapoongea maana watanzania wengi ni wapumbavu hawawezi kuelewa mtu.

Pia mjue wachawi wanasubiri kauli zenu ili wawangie.Mnaweza kufikiri ni kitu cha kawaida ila kwa hii nchi unaweza kuharibu career yako

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
 
Kosa la huyo dogo ni lipi?
 
Vipi kama Nzengeli akihamia Simba, hapo Chasambi atakuwa sahihi?
 
Rage ajengewe sanamu
 
Akili mgando hizo,bila shaka wewe ni nyumamwiko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…