Viongozi wangu wa Simba, ondoeni kirusi Chasambi ndani ya timu yetu, msikilizeni akimsifia Max Nzengeli na kudai Simba hakuna role model wake

Tatizo sio kusifia, tatizo ni namna alivyowadisvalue wenzake

Alionesha dharau ya waziwazi kwa wenzie, wala shida sio kumsifia max.
 
Reactions: K11
Angeongea mzinze kumsifia ateba ungeona poa
 
Angeongea mzinze kumsifia ateba ungeona poa
Poa kabisa, siwez mpangia mzinze nini cha kufanya, au nani ampende. Yule ni mtu mzima tena binadamu na professional football player.
Why nimapangir mtu mzima? Ni ushamba. Ulaya hawafanyi ujinga huu
 
.
 
Makosa ya kibinadam, baasi hata Camara ni kirusi
 
Huyo keshalewa sifa.
Halafu Simba wanamtoa Kabaraka kwa mkopo.
Balua anawekwa benchi.
 
Reactions: K11
Dogo sijui timu ya rolomodo wake imemlipa sh ngapi atufanyie vile
 
Poa kabisa, siwez mpangia mzinze nini cha kufanya, au nani ampende. Yule ni mtu mzima tena binadamu na professional football player.
Why nimapangir mtu mzima? Ni ushamba. Ulaya hawafanyi ujinga huu
Umeona kijana wenu kawabeba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…