Mtumaini Mungu
JF-Expert Member
- Aug 3, 2021
- 877
- 1,128
Mbona HAKUNA hata kisa cha kusisimua?Kigoma Visa vya Uchawi na Ushirikina.
Kigoma ni moja ya Mikoa ambayo inasifika kwa Uchawi nchini Tanzania. Huu mkoa kiasili una watu wachapa kazi sana. Si wazembe ukilinganisha na mikoa mingine yenye ushirikina kama Tanga,Pwani au Zanzibar.
Kigoma maeneo ambayo yanasifika sana kwa Uchawi ni Mwandiga, Ujiji,Mwamgongo n.k
Hapo Mwamgongo ni hatari sana karibu na Mbuga ya Gombe. Kunasifika na moja ya visa vya uchawi ni kimoja ambacho kilitokea mwaka 2020 ni kifo cha Diwani mmoja ambaye inasemekana alichukua Mke wa mtu.
Huyu Diwani ambaye allhamdulilah alikuwa na vijicent ilitokea akawa anatembea na mke wa raia mmoja kijijini hapo.
Yule bwana Raia alipata taarifa. Akanyamaza. Diwani akafikia hatua akaona aoe kabisa mke wa jamaa. Na mke akadai talaka ili akaolewe na Diwani.
Jamaa alimfuata Diwani na kumwambia kwa upole tu kuwa "Mheshimiwa najua unatembea na mke wangu, tafadhali usimwoe maana mimi ntapata shida kulea watoto hawa 6 nlio nao na nina mke mwingine. Uwe na uhusiano naye lakini usimuoe"
Diwani alijibu kwa jeuri tu kuwa "mkeo ndiye anayenilazimisha mzuie yeye siyo mimi"
Jamaa akamenda mpaka kwa viongozi wengine wa kijijini pale akitaka wakamsihi Diwani asimwoe mkewe. Diwani akakaza.
Mpaka jamaa akaenda kwa Rafiki mkubwa wa Diwani kumwomba amsihi rafiki yake asimwoe mkewe yeye atapata shida na watoto. Diwani akamtolea nje jamaa.
Basi jamaa akanyamaza. Siku moja Diwani akakutana na Jamaa Mitaa flani kuna Soko. Diwani akaanza mshambulia jamaa kwa maneno kuwa "nasikia unataka niroga..
Huniwezi,mimi mpaka kufika kuwa Diwani nmetoka mbali sana..." Akaendelea mbele na kumwambia haya nakupa mate na nyayo hii chukua." Akatema mate... Jamaa alimwambia tu Diwani "huo uchawi wa kuchukua mate na nyayo ni mdogo sana,wa watu ambao ni underdog/amateur"
Akaondoka zake. Baada ya siku chache tu Diwani akaanza kuumwa sukari ikapanda mara akaanguka ndo basi tena. Akafa.
Akazikwa. Baada ya siku chache wanafamilia yake wakawa wanamwona Diwani anakuja anagonga pale kwao kuwa afunguliwe mlango anateswa sana.
Diwani alikuwa amevaa pensi chafu.anagonga dirishani akisema anachapwa sana viboko. Afunguliwe.
Mke na watoto wakawa nao wanajawa woga.
Hili tukio lilitokea Mkoani Kigoma mwisho wa Reli.
Na watu wa Kigoma tofauti na Mikoa ya Pwani. Pwani mchawi wako mnaweza mkawa mnacheka naye na kula naye huku anakuroga.
Kigoma ukikorofishana na mtu anakwambia kabisa bila kuuma uma maneno "nitakuroga" hata hatumii sauti ya vitisho. Anakuambia kwa upole tu akikuahidi kuwa kweli atakuroga mbele za watu wengine.na anaenda kukuroga kweli.
Hiki ni moja ya kisa cha mambo ya Uchawi Kigoma.nitaleta Visa vingine vya Uchawi na Ushirikina Kigoma.
Kisa Cha Pili.
Kuna jamaa mmoja alikuwa ana tatizo dogo tu na jirani yake shambani. Akawa anasema migomba flani ni ya kwake.yule mzee akamwambia hapana hili shina la Mgomba lipo shambani kwangu. Jamaa mbabe akasema ni lake na atakata.
Kweli ule mgomba mmoja ukazaa. Siku hiyo jamaa akaenda shambani akachonga chonga majani ili akate ndizi. Kunyanyua panga. Mkono ulipigwa ganzi haukushuka. Ukabaki juu na panga.
Akapiga kelele sana maana mkono ukawa kama unanyongwa hivi.watu wakamchukua kumpeleka kwake. Mkono ulipooza.
Hayupo New York.... Hizi ni mbinu za kitapeli sisi wa mjini tunazijua.hii pimbi inaleta ujuaji kisa ipo NYU York pambaf kabisa aje huku Nyumbanitu ajifunze mavitu!
Hili nalo linategemeana na maumbile. Wewe ukishikwa chuchu au sehemu gani unasisimuka?unaloana?Mbona HAKUNA hata kisa cha kusisimua?
Usiogope uchawi wala nguvu za giza, mwisho wa hivyo vitimbi ni DAMU NA JINA TAKATIFU LA YESU KRISTO WA NAZARETH.
Hakuna cha uchawi, ulozi, pepo, wala jini mwenye kiburi mbele ya jina la Mwana wa Mungu.
"Kwa jina la YESU KRISTO WA NAZARETH, Ewe pepo wa hofu juu ya uchawi unayeishi ndani ya watu wa JF NINAKUFUNGA na NAKUAMURU TOKA, kwa Jina la Yesu Kristo Toka ndani yao, Tokaaaaaa.. Amen"
Kwa imani, ukitumia Damu na Jina La Yesu HAKUNA uchawi WALA nguvu za giza ZITAINUKA na KUSIMAMA DHIDI YAKO.
Mbarikiwe.
Wakukutishia tena uanze kulalamika kama kipindi kileeeKigoma Visa vya Uchawi na Ushirikina.
Kigoma ni moja ya Mikoa ambayo inasifika kwa Uchawi nchini Tanzania. Huu mkoa kiasili una watu wachapa kazi sana. Si wazembe ukilinganisha na mikoa mingine yenye ushirikina kama Tanga,Pwani au Zanzibar.
Kigoma maeneo ambayo yanasifika sana kwa Uchawi ni Mwandiga, Ujiji,Mwamgongo n.k
Hapo Mwamgongo ni hatari sana karibu na Mbuga ya Gombe. Kunasifika na moja ya visa vya uchawi ni kimoja ambacho kilitokea mwaka 2020 ni kifo cha Diwani mmoja ambaye inasemekana alichukua Mke wa mtu.
Huyu Diwani ambaye allhamdulilah alikuwa na vijicent ilitokea akawa anatembea na mke wa raia mmoja kijijini hapo.
Yule bwana Raia alipata taarifa. Akanyamaza. Diwani akafikia hatua akaona aoe kabisa mke wa jamaa. Na mke akadai talaka ili akaolewe na Diwani.
Jamaa alimfuata Diwani na kumwambia kwa upole tu kuwa "Mheshimiwa najua unatembea na mke wangu, tafadhali usimwoe maana mimi ntapata shida kulea watoto hawa 6 nlio nao na nina mke mwingine. Uwe na uhusiano naye lakini usimuoe"
Diwani alijibu kwa jeuri tu kuwa "mkeo ndiye anayenilazimisha mzuie yeye siyo mimi"
Jamaa akamenda mpaka kwa viongozi wengine wa kijijini pale akitaka wakamsihi Diwani asimwoe mkewe. Diwani akakaza.
Mpaka jamaa akaenda kwa Rafiki mkubwa wa Diwani kumwomba amsihi rafiki yake asimwoe mkewe yeye atapata shida na watoto. Diwani akamtolea nje jamaa.
Basi jamaa akanyamaza. Siku moja Diwani akakutana na Jamaa Mitaa flani kuna Soko. Diwani akaanza mshambulia jamaa kwa maneno kuwa "nasikia unataka niroga..
Huniwezi,mimi mpaka kufika kuwa Diwani nmetoka mbali sana..." Akaendelea mbele na kumwambia haya nakupa mate na nyayo hii chukua." Akatema mate. Jamaa alimwambia tu Diwani "huo uchawi wa kuchukua mate na nyayo ni mdogo sana,wa watu ambao ni underdog/amateur"
Akaondoka zake. Baada ya siku chache tu Diwani akaanza kuumwa sukari ikapanda mara akaanguka ndo basi tena. Akafa.
Akazikwa. Baada ya siku chache wanafamilia yake wakawa wanamwona Diwani anakuja anagonga pale kwao kuwa afunguliwe mlango anateswa sana.
Diwani alikuwa amevaa pensi chafu.anagonga dirishani akisema anachapwa sana viboko. Afunguliwe.
Mke na watoto wakawa nao wanajawa woga.
Hili tukio lilitokea Mkoani Kigoma mwisho wa Reli.
Na watu wa Kigoma tofauti na Mikoa ya Pwani. Pwani mchawi wako mnaweza mkawa mnacheka naye na kula naye huku anakuroga.
Kigoma ukikorofishana na mtu anakwambia kabisa bila kuuma uma maneno "nitakuroga" hata hatumii sauti ya vitisho. Anakuambia kwa upole tu akikuahidi kuwa kweli atakuroga mbele za watu wengine.na anaenda kukuroga kweli.
Hiki ni moja ya kisa cha mambo ya Uchawi Kigoma.nitaleta Visa vingine vya Uchawi na Ushirikina Kigoma.
Kisa Cha Pili.
Kuna jamaa mmoja alikuwa ana tatizo dogo tu na jirani yake shambani. Akawa anasema migomba flani ni ya kwake.yule mzee akamwambia hapana hili shina la Mgomba lipo shambani kwangu. Jamaa mbabe akasema ni lake na atakata.
Kweli ule mgomba mmoja ukazaa. Siku hiyo jamaa akaenda shambani akachonga chonga majani ili akate ndizi. Kunyanyua panga. Mkono ulipigwa ganzi haukushuka. Ukabaki juu na panga.
Akapiga kelele sana maana mkono ukawa kama unanyongwa hivi.watu wakamchukua kumpeleka kwake. Mkono ulipooza.
hii pimbi inaleta ujuaji kisa ipo NYU York pambaf kabisa aje huku Nyumbanitu ajifunze mavitu!
Na Mie naruhusiwa kutaja Jina? Nina shida na Ada ya mtoto 🙄🙄🙄Extrovert Lover boi nawasaidia mwambieni Chizi Maarifa atoe jina la huyo diwani mimi nitawapa kila mmoja wenu laki tano (500,000/=) TSH.
Moderator simamia hili. Wakitoa jina la huyo diwani na nisipowalipa futa kabisa account yangu.
Elisha Ndadaye.Karibu sana mama kubwa
Labda ulipiga vyombo sana ukajikojoleaKuna siku nilikiwa kibondo pale wilaya ya kgm sasa kuna guest nifikia (jina lina anza na miku...) sasa umefika ucku mda wa kulala nikavyua ngua zangu nikazitupa chini tu, asubu kuamka nikakuta nguo zimeloanishwa maji yani ukizikamua zinatoa maji na hakuna mvua iliyonyesha wala maji waliyoingia ndan chumba kizima likuwa kikavu na chumba kilikukuwa sio self labda kusema maji yametoka chooni kuingia ndani na chumba nilifunga na funguo kwa ndani!
Sitisahau lile tukio
Ndo maana yake hiyo [emoji2][emoji2]Inamaana Fake ID inamata?
Nimetunga Tu ili kustawisha mjadala. Ni kweli Nina shida lakini siwezi kuchukua Kwa namna hii nilikuwa nastawisha Uzi Tu hata Jina nimetunga SASA hivi.
Nashukuru Sana huo moyo unanifariji. Nitafikiria lakini hata niwe na shida vipi situmii udanganyifu kupata kipato. Sijaikataa ,hata elfu 10 kwangu ni kubwa.Thanks.I love your honesty. Ubarikiwe
I was willing to pay you some for giving it a shot and keeping my word and still am.
Asante for being honest.
Ndugu ulikusudia kuni-quote mimi?Hili nalo linategemeana na maumbile. Wewe ukishikwa chuchu au sehemu gani unasisimuka?unaloana?
Hayati Jpm aliwai kusimulia tukio walipo kua wanatengeneza barabara alisema bulldoza lilikua linang'oa mti....mti ukagoma....mpaka wanafanya mambo ya kimilaAgain, story zote za ushirikina ni hearsay stories, wewe umesimuliwa na aliyekusimulia naye alisimuliwa ukitrace mzizi wake ni mjinga mmoja tu alijitungia na nyie mnaamini kama ilivyo.
Kwa ujinga huu kwenye hayo mafuvu yenu bora serikali iendelee kuongeza kodi tu. Hakuna uchawi
Hayati Jpm aliwai kusimulia tukio walipo kua wanatengeneza barabara alisema bulldoza lilikua linang'oa mti....mti ukagoma....mpaka wanafanya mambo ya kimila
Mkuu kwa imani yako uchawi upo au haupo?Mbona HAKUNA hata kisa cha kusisimua?
Usiogope uchawi wala nguvu za giza, mwisho wa hivyo vitimbi ni DAMU NA JINA TAKATIFU LA YESU KRISTO WA NAZARETH.
Hakuna cha uchawi, ulozi, pepo, wala jini mwenye kiburi mbele ya jina la Mwana wa Mungu.
"Kwa jina la YESU KRISTO WA NAZARETH, Ewe pepo wa hofu juu ya uchawi unayeishi ndani ya watu wa JF NINAKUFUNGA na NAKUAMURU TOKA, kwa Jina la Yesu Kristo Toka ndani yao, Tokaaaaaa.. Amen"
Kwa imani, ukitumia Damu na Jina La Yesu HAKUNA uchawi WALA nguvu za giza ZITAINUKA na KUSIMAMA DHIDI YAKO.
Mbarikiwe.
Hayati Jpm aliwai kusimulia tukio walipo kua wanatengeneza barabara alisema bulldoza lilikua linang'oa mti....mti ukagoma....mpaka wanafanya mambo ya kimila
Waulize tanesko walipo kua wanapitisha umeme kweny kaburi la martin njia ya Iringa....
Ishu zinginee kama hauna Cha kuchangia unanyamaza unasoma comment za watu...
2 Wafalme 17:17Mkuu kwa imani yako uchawi upo au haupo?