πΉπΉπΉ Kauli zangu ziko zimenyooka na hazibadilishwi..!!mkuu embu rekebisha kauli zako bana.....
lakini tukirejelea swala la maisha kwa ujumla sitegemei lolote kwa yeyote ikiwa nitashindwa kujiokoa popote basi na lolote linipate...msaada wowowte uwe wa mke rafiki ndugu wazazi yeyooote hauna mwisho mzuri haswa katika uhuru wako wa kujiamulia utakavyo kama mwanadamu
hivyo basi kama ningekuwa mwanamke nisingetaka pia kuhudumiwa tu kisa mimi mwanamke ningejihudumia na vya mwanaume vingekuwa ziada tu...kwa msingi wa kuitunza heshima yangu nayojiheshimu pamoja na kuulinda uhuru wangu kwa wivu mkubwa.
πΉπΉπΉ Wastaarabu wa kilakala na kihonda, huku kwingine watuache wenyewe..!!Watoto wa mafisa π€£
Tafuta mwaya uwe wifi yangu π₯°Sina experience nao nitatafuta mmoja nimuonje nioneπ
Wewee unampa maksi za bure huyo tushamburuza siku nyingi sanaππ½ββοΈ
Yes, ni vizuri kujipanga na unforeseen circumstances, maana upendo unaweza kuisha au zika-rise interest zingine zikawatenganisha couple, ni vizuri kufikiria what would happen if things go wrong?On pointβ¦.
But have you ever thought it this way� Kuna kugombania nafasi na kufungana speed governer, inasemekana wanawake tukiachiwa vipato vyetu tuvitumie tuwezavyo then tuna tabia ya kujiendeleza binafsi na mwisho wa siku tunavunja ndoa na kutaka mgao, kama mchango wa tulivyokuwa kwenye ndoa.
Sasa hapo ndipo kwenye kasheshe, najaribu sana kuelewa point yao kwenye hili⦠na ndio maana tuna/wanaomba sheria za mgawanyo wa mali zibadilike (i am still young kuzijua hizo sheria) ila kama zinakandamiza mtafutaji pia nina support zibadilishwe.
Whatβs your take?
Pacha wako kaambiwa hana kaka anayeweza kumudu kuinunua gari yake VW TOUareg au hata kufanya maintenance hajarudi tena πWewee unampa maksi za bure huyo tushamburuza siku nyingi sanaππ½ββοΈ
Aiseeew!! Sasa kajuaje haya jamn?ππ½ββοΈ Kwahiyo Tanzania hii anayo yeye tu tajiriπ€£Pacha wako kaambiwa hana kaka anayeweza kumudu kuinunua gari yake VW TOUareg au hata kufanya maintenance hajarudi tena π
Dah kweli maisha sio mabaya, binadamu ndio wabaya.Ni vizuri kujipanga na unfor
Yes, ni vizuri kujipanga na unforeseen circumstances, maana upendo unaweza kuisha au zika-rise interest zingine zikawatenganisha couple, ni vizuri kufikiria what would happen if things go wrong?
Sipo kwenye ndoa, ila nadhani ndoa nyingi zinaharibiwa na ushauri wa marafiki wenye negative mind kuhusu ndoa. (utasikia, "shoga'angu jiongeze, unadhani upo peke yako?)
(au utasikia,"msela jiongeze")
in life, kila kitu ni kugamble tu, ukiweka savings, kustart business, marriage na kustart family, kusoma formal education, etc. zote ni gambling, things can go right or wrong kote huko.
Kama ikitokea gamble ya marriage haijawork out for good as expected. Basi unatulia unajisemea, "sio mbaya, at least i tried"
Kuhusu hoja ya kwamba, "women wakiwa free na wasipopangiwa namna ya kutumia income zao, mwisho wa siku wanabomoa ndoa na kutaka mgawo pasu kwa pasu"
ππΎ
Hii kila mtu atakuwa na mtizamo wake, ila for me nataka wife awe na pesa zake na awe huru. Sidhani kama nitaweza kumchunga mtu, NI NGUMU MNO. Nikimpenda nahakikisha anajua nampenda, na afeel, afu the rest juu ya decisions zake hilo ni juu yake (wife). Tutadiscuss direction ya familia kwa short na long terms, tutadiscuss pesa na bills ila i won't force her.
so kama kesho kila mmoja ana interest sehm nyingine, basi it is what it is. KUFORCE KUPENDWA NI HATARI SANA.
Ikifika tumeshindwana, basi ntamwomba tuwe waelewa, tuache hisia, tu settle kwenye sense, "tugawane according to our respective inputs"
Mahakamani tutaenda tu kuwapa taarifa basi ili isilete shida baadae kisheria, ili kila mtu awe huru without any legal burden.
Hapo kama tunao kids, ntamwomba tukubaliane vitu muhimu vya mahitaji na better future ya kids. Na sote tuwajibike coz makosa yetu yasiwe mzigo kwa kids (coz it's no fault of theirs)
Although life is full of uncertaintues, lakini sasa je ndo tusifurahie maisha? π€
So, binafsi nadhani tufurahie maisha, tuishi..
Analyse risk-benefit afu gamble or bet on what you can afford to lose.
"penye upendo ambao ni mutual, huwa hapahitaji kutumia nguvu sana, vitu huwa vina flow effortlessly hata kama mke na mume wote wapo na kipato stable, ila ukiona nguvu ni kubwa mno, hauenjoy na hata haummiss, hisia zipo butu, then hapo sio penyewe, hapo lazma muanze kuzozana kwenye ulipaji bills"
Bhana mi sitaki πkwahiyo tumegaragazwa kifo cha mendeππ
Umetumwa au ππPacha wako kaambiwa hana kaka anayeweza kumudu kuinunua gari yake VW TOUareg au hata kufanya maintenance hajarudi tena π
Kufukuzwa anafukuzwa hili halina mjadalaπΉπΉπΉ Kauli zangu ziko zimenyooka na hazibadilishwi..!!
Suala la mwanaume kuhudumia familia pamoja na mke wake liko pale pale halipingiki..!! Nikiamua kuchangia iwe kwa kupenda sio kulazimishwa..!!
Kwahiyo wewe unataka umuhudumie mkeo ili mkipishana upate mwanya wa kumfukuza? Ulimpenda kweli au ubongo wako haujakomaa kubeba jukumu la familia??
Kama hamuwezi kuishi na wanawake si muache msioe muwe mnaenda kimboka kununua..!!
Ahsanteeee, yaani umeilezea vizuri mno katika simple language ambayo imebeba ujumbe wote ππΎDah kweli maisha sio mabaya, binadamu ndio wabaya.
Principally ulichokieleza wala si kigumu mtu kukielewa basi tu nadhani ego za watu huwa ziko juu sana.
I know watu wenye mtazamo kama wako, nadhani mimi ni mmoja wapo. We are not βcontrolling freaksβ na we donβt want to be controlled, tunathamini zaidi partnership kuliko βmabavuβ na kwahivyo tunafurahiaga maisha yetu. Shida ni ngumu kupata a match.
Anyways all the best champ, aliye mwema akasogezwe on your way.
Hii comment bana π€£ ππΎHuu upumbaf wa kumsikiliza mwanamke unatokea wapi?
Lipa Bill simamia watoto wakue...Tafuta Mchepuko kula hela yako ya ziada ...wekeza pata pesa zaidi kula maisha
Kama mshahara wake ataamua kuutumia hapo nyumbani mkataze....siku akikuzingua mfukuze aende akaishi kwenye hiyo nyumba anajenga kwa siri.....
Narudia tena Mzalishe mpe mahitaji ...kula maisha Viwanja baada ya viwanja...
Usisahau kuwekeza maana wana visasi sana uzeeni.
Forest Hill, Boma Road (rock garden), Mazimbu (mitaa ya SUA Mazimbu campus), Bigwa, Kola Hill.πΉπΉπΉ Wastaarabu wa kilakala na kihonda, huku kwingine watuache wenyewe..!!
natafuta ajira π Natafuta AjiraKama tuliweza kuwatuliza watoto wa chamwino na wa sabasaba ndo atushinde huyo mbwiga??
Tutamkanyagia mpaka apate ajira..!! πΉπΉπΉ
Hajui kama sisi wadogo zake ngoma nzito?
πAnaleta mambo ya ulaya hapa
Nikichangia bills atakubari tuishi kama wanawake wa ulaya huko ?
Au baado atataka apelekewe maji kwa kupigiwa magoti na kupelekewa maji bafuni?
Unataka nilipe bills utakubari zamu ya kupika ?
aisee, not fair π₯²Yaan hata kama nikijijini unakuta mama abebe jembe mzigo wa kuni mtoto mgongoni mwanaume yeye anatembeza kende na baado huyo mama akifika apike afanye kazi zote bado anaonekana hana mchango wowote woiii
π€£Mi mwenyewe sitaki I'm single and happy π₯
Utasikia mwanamke ku cheat ni jinai
Mwanaume ku cheat ni rijali
Wanatamani hata ukimfumania
Umwangukie miguuni mume wangu nisamehe kwa kukufatilia π
π€£Baado kidogo nifike 30 π kwisha mimi
Unasema ndoa ? niolewe ? hayo mahusiano tu bila ndoa siyawezi yananigaragaza kifo cha mende
Je ndoa mahiπ
Shida nina ugonjwa wa kupenda napenda vibayaaa naweza kumla mtu shaba ya kicwa π so sijihusishi na mahusiano nafanya issue zingine
π€£ "death sentence"Acha ukorofi, olewa isitirike, subiri ufike 30 uone π€£ As if 30 ni death sentence.
Mimi kiukweli mambo mengi sana siyaelewi kuhusu binadamu, nipo nimekaa paleee!