Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 14,421
- 40,936
Inabidi tukubaliane na ukweli kwamba jamii ya vijana wa kiume(20s-30's) ipo kwenye transition phase, kumtathmini huyu mwanamke wa kisasa ambae amepewa nae fursa sawa kwenye kila kitu kama bado anastahili efforts, sacrifices na provision kutoka kwa mwanaume. Hilo ni vuguvugu ambalo haliwezi kuzimwa na vijembe au dhiaka za kuwaita vivulana"Asiyejua maana haambiwi maana", mtajichosha bure na hivi vivulana vya mtandaoni!
Wanawake wengi hamjui tofauti ya kutotaka kitu na kutokua na uwezo wa kukipata. Ni ngumu kidogo kwenu kukubaliana na uhalisia wa rejections au disqualification.Mtu anajua nini anataka. Hata kukataa mahusiano/ndoa ipo ndani ya uwezo wake.
Wanaume wa daraja unalolitaka wao hawakutaki, infact hawajui hata kama upo hapa duniani.Sasa kwanini una ni attack ?
Shida nini mkuu?
Nikusema tu sitaki kuolewa au kuna lingine?
Mimi kusema sitaki ndoa ni jinai
Nyie wenye ndoa mmetuzidi nini?
Ooh aki ku approach vunja bei huwezi kukataa
Mbali na hizo pesa za huyo mtukufu wako vunja bei ana mb**** ya dhahabu ?
Hujui unaweza kuolewa na tajiri na asi kutreat vizuri na hata usiwe na furaha?
Mwisho kabisa Ndoa sio ya kila mtu🙏🙏
mwenye shida zaidi na ndoa ndiye atakayelipa bills.Duhh mkubwa, hivi waga unaandika kutoka moyoni au unaandika tu mawazo yako kama kujifurahisha na kufarahisha wenye mtazamo kama wako?🤔
Nichangie bills? Utamaduni wa ulaya unauleta huku? Nimeoa mimi
Nichangie bills?
Hizi ni wishful thinking,fantasy and unreaslistic ideas u name it!
Mkuu malengo yake hayataki no matter the gap, no matter the nini! Hizo sababu zingine ni za kwakoWanawake wengi hamjui tofauti ya kutotaka kitu na kutokua na uwezo wa kukipata. Ni ngumu kidogo kwenu kukubaliana na uhalisia wa rejections au disqualification.
Huyo mwenzako uko juu kuna sehemu kasema yupo single lakini kuna muda usiku unakua mrefu. Kwahiyo anaona kuna gap ya mwanaume kwenye maisha yake lakini kinachomzuia ni unreaslistic expectations.
Vigezo vya mwanaume alimchora kwenye mawazo yake ni wanaume wachache sana wanavyo, na wanaume hao wana unlimited options kwahiyo wapo very strictly kwenye chaguzi zao.
Bahati mbaya dogo hapo juu hajaingia kwenye standards za hao high valued men. Ndio anaishi kwenye illusion ya kufikiri haitaji mahusiano. Lakini sio kwamba haitaji mahusiano isipokua kafanya gamble ya kuwafungia vioo wanaume wa daraja lake kwa matumaini kwamba si punde kuna high valued man mmoja atajitokeza.
Bahati mbaya au nzuri muda ni katili sana kwa mwanamke, kwahiyo miaka michache tu ijayo atakubaliana na uhalisia na atafanya maamuzi based on facts and reality
mwenye shida zaidi na ndoa ndiye atakayelipa bills.
Ikiwa mwanamke ndiye mwenye shida zaidi na ndoa, atalipa tu bills.
Pia, ikiwa mwanaume ndiye mwenye shida zaidi na ndoa, atalipa bills.
Zipo familia ambazo, mama ndo starring wa familia (mbeba maono na mlipa bills mkubwa)
Pia, zipo familia ambazo Baba ndiye mlipaji mkubwa wa bills.
Na zipo familia ambazo mke na mume wako so friendly, strong bond na attachment, na wote wanashare taarifa zao za kifedha wazi kabisa (na inapokuja bills, wanagawana majukumu na upendo ukikolea na ukafeel ile mutual love, unatoa tu, sharing is caring)
Shida inakuja pale ambapo watu wawili (mke na mume) wanaishi kwa kuviziana na kutokuaminiana, kila mmoja yupo selfish, na yupo on standby mode anajiwazia yeye kwanza. Hapo ndo migogoro ya nani alipe bills inapoanzia.
Ndoa ni mkataba kama mikataba mingine, na bila kudiscuss na kukubaliana vipengele vya finance na investment, na mgawa utakuwaje just incase mkishindwana.
Hapo itakuwa ngumu kwa huu utaendawazi (mambo ya kisasa) ambapo wanawake wanataka usawa, ila when it comes to bills payments wanakimbia wana-revert into traditional kinda marriages.
Actually, watu wanaopendana kweli, strong commitment na wenye strong attachment huwa hawana time ya kuzozana kulipa bills, ikiwa kama wote wawili wako na stable income.
TRADITIONAL MARRIAGES vs MODERN MARRIAGES.
Traditionally, kwenye Patrilineal family mwanaume ndiye anaanzisha familia, na anaihudumia, it's like kama anamiliki, anakuwa na final say, na hata akimwambie mkewe kitu, mke anafata na kutii bila kuhoji. (kijeshi jeshi)
Kwenye Matrilineal family, the same, mke ndo an ahold power, na ndo mwenye mali na provider. (kama nimekosea mtani rekebisha)
Shida inakuja hapana, some women wapo na kipato stable, ila wanataka Traditional kinda marriage, ambapo hawaiwezi coz traditional marriage zinafanya wawe ni watu wa kutii amri (submissive) hata ukiambiwa usiende shopping ni kweli hauendi.
Anyway, ndoa ni mkataba, kaa discuss ishu za finance kabla ya marriage, before escalating any further. Ikishindikana basiiiiiii sio lazma. Switch to another person mtakayeshare vision, msigandaneeeee mkaja kerana kisa bills tu ikiwa kama wote mpo na kipato stable.
Sukari yako ipo juu sana siwezi kuishushaWanaume wa daraja unalolitaka wao hawakutaki, infact hawajui hata kama upo hapa duniani.
Get rid of that illusion of "i don't need a man", choose one from the pool of your levels
Aww 🥰 well said baba! Hapo umenaliza kila kitu!🤗mwenye shida zaidi na ndoa ndiye atakayelipa bills.
Ikiwa mwanamke ndiye mwenye shida zaidi na ndoa, atalipa tu bills.
Pia, ikiwa mwanaume ndiye mwenye shida zaidi na ndoa, atalipa bills.
Zipo familia ambazo, mama ndo starring wa familia (mbeba maono na mlipa bills mkubwa)
Pia, zipo familia ambazo Baba ndiye mlipaji mkubwa wa bills.
Na zipo familia ambazo mke na mume wako so friendly, strong bond na attachment, na wote wanashare taarifa zao za kifedha wazi kabisa (na inapokuja bills, wanagawana majukumu na upendo ukikolea na ukafeel ile mutual love, unatoa tu, sharing is caring)
Shida inakuja pale ambapo watu wawili (mke na mume) wanaishi kwa kuviziana na kutokuaminiana, kila mmoja yupo selfish, na yupo on standby mode anajiwazia yeye kwanza. Hapo ndo migogoro ya nani alipe bills inapoanzia.
Ndoa ni mkataba kama mikataba mingine, na bila kudiscuss na kukubaliana vipengele vya finance na investment, na mgawa utakuwaje just incase mkishindwana.
Hapo itakuwa ngumu kwa huu utaendawazi (mambo ya kisasa) ambapo wanawake wanataka usawa, ila when it comes to bills payments wanakimbia wana-revert into traditional kinda marriages.
Actually, watu wanaopendana kweli, strong commitment na wenye strong attachment huwa hawana time ya kuzozana kulipa bills, ikiwa kama wote wawili wako na stable income.
TRADITIONAL MARRIAGES vs MODERN MARRIAGES.
Traditionally, kwenye Patrilineal family mwanaume ndiye anaanzisha familia, na anaihudumia, it's like kama anamiliki, anakuwa na final say, na hata akimwambie mkewe kitu, mke anafata na kutii bila kuhoji. (kijeshi jeshi)
Kwenye Matrilineal family, the same, mke ndo an ahold power, na ndo mwenye mali na provider. (kama nimekosea mtani rekebisha)
Shida inakuja hapana, some women wapo na kipato stable, ila wanataka Traditional kinda marriage, ambapo hawaiwezi coz traditional marriage zinafanya wawe ni watu wa kutii amri (submissive) hata ukiambiwa usiende shopping ni kweli hauendi.
Anyway, ndoa ni mkataba, kaa discuss ishu za finance kabla ya marriage, before escalating any further. Ikishindikana basiiiiiii sio lazma. Switch to another person mtakayeshare vision, msigandaneeeee mkaja kerana kisa bills tu ikiwa kama wote mpo na kipato stable.
Mkuu malengo yake hayataki no matter the gap, no matter the nini! Hizo sababu zingine ni za kwako
Amini kwamba hakuna single woman by choice. Kuna class ya wanaume ikirusha ndoano huo msimamo unatenguliwa.Mkuu malengo yake hayataki no matter the gap, no matter the nini! Hizo sababu zingine ni za kwako
Punguza makombora mkuu 😅Wanawake wengi hamjui tofauti ya kutotaka kitu na kutokua na uwezo wa kukipata. Ni ngumu kidogo kwenu kukubaliana na uhalisia wa rejections au disqualification.
Huyo mwenzako uko juu kuna sehemu kasema yupo single lakini kuna muda usiku unakua mrefu. Kwahiyo anaona kuna gap ya mwanaume kwenye maisha yake lakini kinachomzuia ni unreaslistic expectations.
Vigezo vya mwanaume alimchora kwenye mawazo yake ni wanaume wachache sana wanavyo, na wanaume hao wana unlimited options kwahiyo wapo very strictly kwenye chaguzi zao.
Bahati mbaya dogo hapo juu hajaingia kwenye standards za hao high valued men. Ndio anaishi kwenye illusion ya kufikiri haitaji mahusiano. Lakini sio kwamba haitaji mahusiano isipokua kafanya gamble ya kuwafungia vioo wanaume wa daraja lake kwa matumaini kwamba si punde kuna high valued man mmoja atajitokeza.
Bahati mbaya au nzuri muda ni katili sana kwa mwanamke, kwahiyo miaka michache tu ijayo atakubaliana na uhalisia na atafanya maamuzi based on facts and reality
Kuanzia hapa ni jambo ambalo nalielezea kila siku. Hata ukipitia comments zangu uko juu utaona nimebase hapa. Inavyoonekana wanawake wa jf washachagua kwamba fulani akiandika chocbote huyo ni wa kumpinga regardless ya alichoandikaWanawake wanataka usawa, ila when it comes to bills payments wanakimbia wana-revert into traditional kinda marriages.
Actually, watu wanaopendana kweli, strong commitment na wenye strong attachment huwa hawana time ya kuzozana kulipa bills, ikiwa kama wote wawili wako na stable income.
TRADITIONAL MARRIAGES vs MODERN MARRIAGES.
Traditionally, kwenye Patrilineal family mwanaume ndiye anaanzisha familia, na anaihudumia, it's like kama anamiliki, anakuwa na final say, na hata akimwambie mkewe kitu, mke anafata na kutii bila kuhoji. (kijeshi jeshi)
Kwenye Matrilineal family, the same, mke ndo an ahold power, na ndo mwenye mali na provider. (kama nimekosea mtani rekebisha)
Shida inakuja hapana, some women wapo na kipato stable, ila wanataka Traditional kinda marriage, ambapo hawaiwezi coz traditional marriage zinafanya wawe ni watu wa kutii amri (submissive) hata ukiambiwa usiende shopping ni kweli hauendi.
Anyway, ndoa ni mkataba, kaa discuss ishu za finance kabla ya marriage, before escalating any further. Ikishindikana basiiiiiii sio lazma. Switch to another person mtakayeshare vision, msigandaneeeee mkaja kerana kisa bills tu ikiwa kama wote mpo na kipato stable.
Tumia hekima MTU mzima mama, ni MADA TU, jibu Kwa hojaSukari yako ipo juu sana siwezi kuishusha
Hao wanaume unaodai sio level yangu wapeleke wewe kinyeo chako 🖕
And stop kuni quote sina dildo la kuku *** mpelekee vunja bei🫰
Clock it!!! 😉Nitachangia domestic labour nyumbani, unless unataka kufanya wewe Kipenzi Changu
View attachment 3557260
Hata sielewi inakuaje wanaume ndiyo wanalalamika 😬 You can't have your cake and eat it 🤦♀️ 🤦♀️
View attachment 3557253
Yeye anatumia hekima?Tumia hekima MTU mzima mama, ni MADA TU, jibu Kwa hoja
Usifunge ndoa, ila kama umeifunga you will never fukuza her na aondoke.nafikiri nimeeleweka vyema....mwanamke na pesa zake....mimi na majukumu yangu....unataka nikuchekee wakati unaleta usumbufu? ama mimi ndo niondoke nyumbani kwangu ambapo wewe upo kama sehemu ya majukumu yangu?
Ukisumbua unaondoka nafikiri unajiweza hivyo hilo la mifugo halina nguvu...ukiona huwezi kukaa chini ya uongozi wa MWANAUME BORA KABISA WA KIAFRIKA basi jioe mwenyewe...
Mwisho wanaume wenzangu huu upumbavu wa kuwasikiliza wanawake mnautoa wapi?
mkuu embu rekebisha kauli zako bana.....Bora hata wewe umeharisha umekumbuka kujifuta na majani..!!
Haya maisha kama unategemea mwanamke akusaidie majukumu yako ni bora usioe au oa binamu zako huenda wao mkaelewana maana mnatoka koo moja..!!
Utapigwa na mimi sina nguvu za kukusaidia 🤣🤣🤣Bado unabishanaga na huyo kopo?
Hamuwezi kuelewana mpaka apate ajira kwanza, akiwa na pesa kilomo lomo kitamuisha, otherwise utajichosha mate..!!
Am relaxed, hakuna sukari yoyote inayohitajika kushushwa. Kwa sasa natoka kidogo, nipo kwenye gari yangu, wokswagen toureg(sina uhakika kama kuna kaka ako mwenye uwezo wa kuinunua na kumudu maintanance cost zake). Don't hate, motivate your brothers to reach my levels.Sukari yako ipo juu sana siwezi kuishusha
Hao wanaume unaodai sio level yangu wapeleke wewe kinyeo chako 🖕
And stop kuni quote sina dildo la kuku *** mpelekee vunja bei🫰
kwamba ndoa haivunjiki? ama unadhani nahofiamgawanyo wa mali baada ya talaka?Usifunge ndoa, ila kama umeifunga you will never fukuza her na aondoke.
Sio tu mwanamke ni sehemu ya majukumu yako, hata wewe ni sehemu ya jukumu la mwanamke wako. Acha kudogosha majukumu ya mkeo ili baadae ujustfy vitendo vyako.
Mifumo ilijua kuna wanaume kama wewe…They made the rules!