Vita sasa inaanza rasmi: Kiongozi Mkuu wa Iran ameamuru jeshi kuiadhibu Israel

Wamechezewa akili hadi wanajiingiza motoni.Ngoja tuone ni nani atakayetoka anavuta kamasi kwa uchovu wa kipigo/the real beatings of a lifetime!
 
Reactions: 511
Iran hata miaka 1000 ijayo Iran haezi mpiga Israel.
 
Reactions: 511
😅😅
 
Unajua maana ya Savings wewe?? Savings inatumika zaidi kwenye hali ngumu zaidi, Sasa hawawezi kutumia sasa hivi wakati mafuta yako bwelelee duniani huko. Nachokwambia makafir wamehifadhi mafuta ya kutosha sana zaidi ya miaka hata 100. Na Iran akiijiingiza tu atachezea kichapo ambacho hawatakisahau milele. Huyo Iran ndio alikua kibaraka wa US na Israel enzi za Shah wa Iran Mohamed Raza Pahlavi, na walipigana na Saddam Hussein wa Iraq kwa msaada wa US, kwahio wanamjua ndani nje.
 
Iran anasubiriwa sana, ingekuwa kapigwa na USA tayari angeshakinukisha Iraq pale
 
Hakuna kitu kinaitwa Israel bila USA..Unajua hilo lakini mnasingizia God of Israel.Mnajua kabisa kwamba matajiri na Viongozi wengi USA mizizi yao ni uyahudi. NO WONDER vita kati ya Iran na Israel ni Kati ya USA ,NATO na Israel vs Iran. IRAN hawezi kusimama peke yake dhidi ya hao watu. Labda Mchina na Mrusi waingie ambao nao wana mambo yanawasumbua hasa Russia wanamsumbua sana kule kwa kutumia Ukraine sasa akija huku watamlabua kule waseme ni Ukraine inasonga mbele.

So Iran anapaswa kuacha tu apige mkwara atulie aendelee na harakati zake za kuimarisha Bomu lake la Nuclear siku akilipata hamna kenge atamsogelea.

Sasa kama aliuwawa Qassim Soleyman wakatulia leo hii kwanini waanze vita ambayo wanajua wao ndio target kwa ajili ya Mohamed Reza?? Mtu akikuzidi nguvu muangalie tu...
 
UTAKIENI AMANI YERUSALEMU WAFANIKIWE WAKUPENDAO YERUSALEMU
 
Reactions: 511
Tusione mnakuja na Hashtags za FreeIran
 
"siombi vita ipiganwe kwasababu watu wengi wanakufa bila kuokoka, na wanaenda motoni, wote waisrael na wairan. "

🤔🤔🤔
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…