General Mangi
JF-Expert Member
- Dec 21, 2013
- 15,303
- 23,064
Tatizo liko kwenye "upimaji na uhakika wa hivyo vipimo mkuu" bado lockdown ya mkoa kwa mkoa au kanda kwa kanda inahitajika.Mimi napendekeza kusiwe lockdown ila unapotoka mkoa mmoja kwenda mwingine vipimo vitumike vya kubaini ugonjwa tunapo panda na kushuka kwenye vyombo vya usafiri 'Corona ni hatari inauwa na kuharibu uchumi'
Leo nilibahatika kupanda daladala jirani yangu alikuwa anakula, nikamwambia kwa ugonjwa huu wa corona siyo vizuri kula kwenye daladala 'tulikuwa kwenye kiti cha nyuma cha coaster' akasema sawa lakini bado aliendelea kula bagia zake hapa tunajifunza kwamba watu wengi hawana elimu ama nikuishi kwa mazoeaTatizo liko kwenye "upimaji na uhakika wa hivyo vipimo mkuu" bado lockdown ya mkoa kwa mkoa au kanda kwa kanda inahitajika...
Tusijihadae kwa kukwepa kisichokwepeka bali kila mmoja wetu atimize wajibu wake ili sote tuwe salama.
🤣🤣🤣
Comrade tulia sindano ikuingie.Wananchi au mwananchi bwashee?!!