Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
Khaaaah kwahiyo unakataa hakuna watu walio zaliwa na hormonal imbalances? Mbna unashangaza wee, sasa km huko ulikokaa hawapo bas sehemu zingine wapooo.
Na hata huko ulikokaa bado piaa kuna sehemu wapoo wee hujakaa kila eneo ktk hizo sehemu, so hoja yako haina mashiko..
Hili suala la kuhisi watu na kuwatuhumu ni hatari litakuja kupita na wasio husika, watu watatumia km kisasi na chukiii.
Haikubaliki hii.
Kama upo Dar naomba tuonane unionyeshe ambaye amezaliwa na homoni imbalance