Vitu/vifaa gani ulivinunua kwa mihemko na umejikuta huvitumii kabisa?

PC 😂
Nikishatumia ya kazini naiacha huko huko. Working from home mimi kwangu marufuku sina huo moyo. Sasa Pc iko tu imechill home
Nipe mimi basi mdogo wangu ☺️
 
Bastola tangu ninunue sijawhi hata inyooshea mtu
 
Vitu vingi nilivyonunua vya mtoto vimekaa tu ndani havitumii
Kiufupi havina umuhimu
Vitu vyake ulivyomnunulia hataki ila anataka achezee chaja, simu, rimoti, pasi 😁😁 ila hawa viumbe
 
Wazungu ndomana mda mwingine wanapata zaid kwajili yakutoa, mi naamin kama sie wabongo tungekua ndo tunamaisha hata mitumba isingekwepo mana mbongo kutoa nguo yake ningumu nibora aichome moto
Tatizo sio kutoa, hata wa kumpa pia ni shida. Mbongo anataka avae mtumba aliovaa mzungu huko ambae hata hamjui ila mbongo mwenzie akimpa nguo iliyovaliwa ataambiwa ameona sisi ndio maskini wa wa kutuvulia malonya.
 
Kuna gari la mafuta lilidondoka lenye mafuta yameandikwa JET A1 yakawa yanatiririka, nikaufuata nikazoa kama lita 80 hivi,mpaka wa leo miaka 3 imepita sijui niyafanyie nini na nimuuzie nani.
Jet A1 ni similar na kerosene.
 


Nilinunua L/C 300 sasa hivi silitumii,nasubiri mjapani atoe toleo jipya.
 
Kuna gari la mafuta lilidondoka lenye mafuta yameandikwa JET A1 yakawa yanatiririka, nikaufuata nikazoa kama lita 80 hivi,mpaka wa leo miaka 3 imepita sijui niyafanyie nini na nimuuzie nani.
Jet A1 ni mafuta ya ndege, hayana tofauti kubwa na mafuta ya taa, ila haya ni mepesi zaidi, tafuta kitua cha mafuta wanachoouza mafuta ya taa uwauzie.
 
Wewe sikuamini hebu jiselfishe niamini😁
Labda live ila sio hapa
Kama ukitafuta kuna uzi niliweka picha yangu kama utaupata naona aliuanzisha Mshana
Ila ni mda sasa hata title siikumbuki
 
Labda live ila sio hapa
Kama ukitafuta kuna uzi niliweka picha yangu kama utaupata naona aliuanzisha Mshana
Ila ni mda sasa hata title siikumbuki
Unaitwa selfika, mpaka nikaipate pic yako si week ijayo! Acha hizo mzee🙄
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…