Viwango vya mishahara kwa walimu: Ualimu ni mateso

Bora walimu muendelee kuteseka hivyo hivyo yani nyie na mapolisi ni watu wakuombewa mabaya muda wote ili mjue kwamba hayo 'masisiemu' mnayoyapachika hayana msaada kwenu.
 
Tuko hapa kueleweshana, sasa kama wewe unaona nimekosea unasahihisha.
Unaposema nitafute, kwani mimi nina shida ya kutaka kutafuta.

Vitu vingine ni vya kawaida lakini unataka kujifanya sijui ni siri au mpaka ubembelezwe ndio useme.
Ooooh ok. Kumbe huna uhakika na ulichokiandika. Lakini nimeshakuwekea happy kuwa kuna watu Salary scale yao ni TJS na wanaanza na Tsh.961000/= na wapo kati ya hao uliosema hawaoni ndani kwa mwalimu
 
Bora walimu muendelee kuteseka hivyo hivyo yani nyie na mapolisi ni watu wakuombewa mabaya muda wote ili mjue kwamba hayo 'masisiemu' mnayoyapachika hayana msaada kwenu.

Tatizo la watu waliokosa mamlaka
 
Ni kweli mkuu ndio maana kuna mkubwa wao kule Wizarani aliwahi kusema salary za walimu ni kubwa kuliko kada nyingi za serikali..

Hao engineering unaowasema hakuna kitu labda awe kwenye Wakala ila sio serikali kuu..

Sema tofauti yao na kada zingine ni ishu za posho.
 
Hiyo si haki ni previlage ya mwajiri kulingana na bajeti kama anayo.Pengine haki ni ile annual increament
 
Ooooh ok. Kumbe huna uhakika na ulichokiandika. Lakini nimeshakuwekea happy kuwa kuna watu Salary scale yao ni TJS na wanaanza na Tsh.961000/= na wapo kati ya hao uliosema hawaoni ndani kwa mwalimu
TJS ni scale za serikali ??

Mimi ninachojua TJS ni scale za Mahakama na wengi ni njaa tu.
 
Ualimu = dekio la ccm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…