Vizinga vinawapotezea wanawake potential husbands. Hela uliyoitafuta kwa jasho inauma sana

Vizinga vinawapotezea wanawake potential husbands. Hela uliyoitafuta kwa jasho inauma sana

Hiyo hoja ya "watakosa wanaume wazuri" kwa kiasi kikubwa hapa ni passive aggressive reverse psychology tu ya wanaume wanaojifanya wana huruma sana.

Wanawake wajinga wakikosa wanaume wazuri wewe mwanamme inakuuma nini? Si wamekosa kwa ujinga wao?

Hao wanaosema hivyo wengi wao ni wanaume wenye upwiru tu wanataka wanawake wajirahisishe kwao, katika mfumo unaolazimisha uwe na hela ili kuwa na mwanamke.

This is not an entirely altruistic argument.

Ni kama hoja ya Waislamu kutaka wanaume waoe wake wengi ili wawasaidie wanawake.

It is a thinly disguised self serving passive aggressive reverse psychology trick.
Point
 
Ujumbe mzuri sana.
Sasa hao WA standard bila kuwa wa status ya juu pochi nene utawapataje.
Lazima uwe na kitu cha ku offer, kama huna hela lazima uwe na akili sana kiasi chabkujua saikolojia ya mwanamke kwa haraka sana na kujua mqneno mengi mazuri ya kutongoza, uwe handyman unayejua kufanya na kutengeneza vitu vingi, uwe unajua mambo mengi kiasi mwanamke aone anakuhitaji kwa sababu fulani.

You must have something useful to offer.
 
Mwanaume kavutiwa na wewe, karusha ndoano, umekubali. Usiku huo huo unaanza mizinga, naomba 150,000/- mama mdogo ana fibroid anatakiwa upasuaji. Kwa shingo upande unampa.

Baada ya siku mbili, mzinga mwingine tena, mdogo wangu kakamatwa na bodaboda ya wizi yuko Oysterbay inatakiwa laki 7 tu.

Jamani mizinga inauma, hata ukiombwa 10,000 tu!

Mtasugua sana bench hadi muolewe.
Mkuu Karibu mjini..,,,
Hela umetoa mwenyewe na umefikiri baada ya kutenda!
Siku nyingine usipeleke komwe kiboya kila mlio utautoa usipokuwa makini
Hahahahaha
 
Sasa kama mwenyewe unajiita TAJIRI MKUU WA MATAJIRI ulitegemea nini mkuu
Hahahaha kwa hiyo timu imeangalia jina ikala kichwa….. bagoshaaaaaaaaaaaaa iiiiiiiiiiiiiiii
😂😂😂😂😂
 
Ndicho
Acha wasugue bench maana akili hawana maana saiv wanaangalia pesa na mwanaume anakupa hela akishakuweka tu anaona bora aachane nae maana ni mpenda pesa
Hicho ndio kimenikimbiza kwa mtu niliyekua nimeshaweka nia ya kumuoa mwisho wa mwaka huu. Nikavumilia vizinga huku nikitamani aione nia yangu nzuri kwake, lakini wapi. Alivyo hana akili akitaka kunipiga kizinga ananiita majina romantic mno.

Mwisho nikamtafutia sababu ya kijinga tu, buzi likakata kamba. Amebaki kulia lia tu status. Wanawake wana ujinga sana wazito kufikiri
 
Mwanaume kavutiwa na wewe, karusha ndoano, umekubali. Usiku huo huo unaanza mizinga, naomba 150,000/- mama mdogo ana fibroid anatakiwa upasuaji. Kwa shingo upande unampa.

Baada ya siku mbili, mzinga mwingine tena, mdogo wangu kakamatwa na bodaboda ya wizi yuko Oysterbay inatakiwa laki 7 tu.

Jamani mizinga inauma, hata ukiombwa 10,000 tu!

Mtasugua sana bench hadi muolewe.
Chief umeopoa pisi toka uswazi ama nn
 
Jamani sio kwamba tukipiga story za kina kajala na wema hatuwezi kuongelea business au kufanya hizo business. Ni entertainment tu ambayo wengine tumechagua kama nyie mnavyozungumzia mpira.
Nimeongelea suala la utashi pia. Mimi sina tatizo na stories za kina Kajala pia, hatuwezi kuongea mambo serious muda wote.

Kwa hivyo mtu kama wewe sina tatizo nawe, kwa sababu najua tutaongea mambo mengi, mpaka hayo ya Kajala.

Kuna bibie mmoja nesi alikuwa ananikosha sana, yani mambo ya medicine anayajua sana, ukimpeleka kwenye current events anafuatilia, ukimpeleka kwenye umbea yumoo, michezo yumo, investment yumo, psychology yumo. Mambo ya gym yumoo.Very good conversationalist.

Sasa mtu kama huyo siwezi kuchoka kuongea baye.

Tatizo kuna watu hawawezi kuongea chochote nje ya hizo habari za kina Kajala.
 
Kuna demu mmoja nilikua na mfukuzia kwa nje na kimaongezi anaonekana hajielewi kabisa kabisa, kumbe ni msomi tuu mtu na harakati zake. Nikajisemea tuu moyoni huyu kwa ujinga wake na mlaghai naloweka alafu na sepa ila baada ya kukaakaa nae sana na kuforce sana niwe nae maana aliweka ugumu mkali mpaka nikajisemea tena huyu mjinga sasa anakaza nini.

Baadae kama mwaka na miezi miwili kupita na force tuu ndio akaja nikubalia na baadae nikaja gundua kwa upande mwingine alikua ni pisi moja matata sana ina IQ kubwa mpaka unaona hapa nitazidiwa ujanja, pole pole alikua anaanza kunionyesha yeye ni nani na yupoje.

Kufupisha Nilikujaga muuliza kwanini uko bright hivi ila unajifanya mjinga huoni ni dhambi alicho nijibu ni short and clear aliniambia anajilinda zidi ya walaghai.

Nikamuuliza tena kwanini ulinikubali mimi baada ya kunisumbua sana je ningesepa mapema akanijibu alikua ananipima tu kama naweza kukubaliana nae kwa hali kama ile pia alikua ananichunguza kama na manisha au ni mpitaji na akagundua nipo serious sana.

Mpaka sasa ni demu na tumia na ananipa mbinu sana za kusaka shilingi na ushirikiano hasa hasa shida ni moja tuu kwa ndugu zake baada ya kunijua ni kama wana wivu na mimi nimempataje binti yao ila yeye kama ataweza kuwadhibiti ndugu zake wasiwe wana nifokeafokea naweza nikafikiria kumuoa hapo baadae.
 
Sasaaaa kama wao ndo wanakosa pontential husbands mbona mnaolalamika ni nyie? Wao hawalalamiki...whats wrong?
Ni kwamba wanawake wanakosa potential husbands na wanaume wanakosa potential wives

So ni lose-lose situation shem😊👆
 
Back
Top Bottom