Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 20,877
- 43,633
A heart-breaking response.
Masikitiko makubwa ndugu yangu 😌A heart-breaking response.
Kaka Pasco naomba utupe yaliyo jili Sumbawanga.Wanabodi
Saa hizi ni usiku mkubwa, wengine wanaita ni usiku wa manane, nilikuwa nasoma bandiko hili humu JF:
Wanabodi,
Hii ni safu yangu mpya inayoitwa PNA, kirefu chake ni PPR News Analysis. Tamka (P.N.A)
Hapa nitakuwa nawawekea News Analysis ya habari kubwa yoyote yenye maslahi kwa taifa.
PNA ni kufuatia kuwepo kwa gaps za kutokuwepo kabisa uchambuzi wa habari kwenye media zetu,hukuna any serious or critical analysis ya news kwenye media zetu, kuanzia magazeti, radio, TV na online media, hakuna uchambuzi wowote wa kina wa habari on serious issues zinazolikabili taifa letu.
Kufuatia my long experience ya uzoefu wa muda mrefu,wa zaidi ya miaka 30 newsroom, nina uwezo wa kufanya News...
- Pascal Mayalla
- Replies: 49
- Forum: Jukwaa la Siasa
Mara ghafla nikaisikia ile Sauti, The Voices from Within
ikiniambia, niwaambie Watanzania wote Wazalendo wa ukweli wa taifa letu, tumuombee Rais Samia afya njema!.
Sauti hiyo imeishia hapo!
Japo hii hoja ya kumuombea Rais Samia, aombewe, sijaianza leo, https://www.jamiiforums.com/threads...ombe-rais-samia-tuliombee-taifa-letu.2420340/ lakini leo ndio nimeambiwa na The Voices From Within!.
Tunamuombea Rais Samia Afya Njema!
Mzee Pasco.
Duh !!!! Tumia akili Uzi wake uibuliweNimekubali ukimwi unauwa kwa kasi sana!
Wanabodi

Fungua zaidi nifungue shampeni. Wanasema tayari tusherehekee?Dah wanazi wanasema eti jamani tayari, ila hili taifa la ajabu sana. Dkt Kikwete is the only president aliyetuletea umoja na Dkt Magufuli alileta umoja wenye mgawanyiko na Dkt Samia ndiyo aliharibu kabisa umoja wa kitaifa kwa kuamini kwenye kikundi ambacho 24/7 kilitaka aanguke kipate sababu
Hapana!Huyu asife , maana akifa anatuachia zigo jingine asee ! Amalize tu 2030 aingie mwingine ! Yaan me naona kabisa Vice na Prez wote wameendana kila kitu
Mzee Pasco (Pascal Mayalla),Wanabodi
Saa hizi ni usiku mkubwa, wengine wanaita ni usiku wa manane, nilikuwa nasoma bandiko hili humu JF:
Wanabodi,
Hii ni safu yangu mpya inayoitwa PNA, kirefu chake ni PPR News Analysis. Tamka (P.N.A)
Hapa nitakuwa nawawekea News Analysis ya habari kubwa yoyote yenye maslahi kwa taifa.
PNA ni kufuatia kuwepo kwa gaps za kutokuwepo kabisa uchambuzi wa habari kwenye media zetu,hukuna any serious or critical analysis ya news kwenye media zetu, kuanzia magazeti, radio, TV na online media, hakuna uchambuzi wowote wa kina wa habari on serious issues zinazolikabili taifa letu.
Kufuatia my long experience ya uzoefu wa muda mrefu,wa zaidi ya miaka 30 newsroom, nina uwezo wa kufanya News...
- Pascal Mayalla
- Replies: 49
- Forum: Jukwaa la Siasa
Mara ghafla nikaisikia ile Sauti, The Voices from Within
ikiniambia, niwaambie Watanzania wote Wazalendo wa ukweli wa taifa letu, tumuombee Rais Samia afya njema!.
Sauti hiyo imeishia hapo!
Japo hii hoja ya kumuombea Rais Samia, aombewe, sijaianza leo, https://www.jamiiforums.com/threads...ombe-rais-samia-tuliombee-taifa-letu.2420340/ lakini leo ndio nimeambiwa na The Voices From Within!.
Tunamuombea Rais Samia Afya Njema!
Mzee Pasco.
Very much under eighteen yeah, Samia anajibu kwa kuchamba kwamba kifo ni kifo tu na eti wazazi wao wametaka kwa makusudi watoto wao wauawe otherwise wangewafungia vyumbani.hawa si under 18 kweli?
Kkumanina zake Samia.Very much under eighteen yeah, Samia anajibu kwa kuchamba kwamba kifo ni kifo tu na eti wazazi wao wametaka kwa makusudi watoto wao wauawe otherwise wangewafungia vyumbani.
View attachment 3693760
I wish ungekuwa umetokea from a point of privilege kama akina Abduli na Ridhiwani, Last time i checked your comment ulikuwa unalalamika kufikisha miaka 40 huna muelekeo wa maisha (Bisha)Madogo wanatakiwa kuwa shule na si kuosha magari mitaani na kulala nje ya nyumbani
Huyo mbona huwa anapost yeye ni mkulima wa mpunga tena na mashine za kuvuniaI wish ungekuwa umetokea from a point of privilege kama akina Abduli na Ridhiwani, Last time i checked your comment ulikuwa unalalamika kufikisha miaka 40 huna muelekeo wa maisha (Bisha)
Kuna watu wametokea kwenye all kind of privilege lakini hawafurahishwi na kilichotokea.
So pamoja na maisha yako magumu hujui kuwa mjini Dar na miji mingine mikubwa kuna watu/watoto hawana pa kuishi wanalala mitaani vibarazani.
October was mishandled, ilitosha tukiri hili kama taifa, Ila wewe na akili zako mbovu za kipolisi uko hapa kuandika ujinga.
Pathetic!!
Hakika, apambane na hali yake!.Kifo ni kifo tu
Hakika kabisaKwa hawa hiyo dini inatumika tu kama mapambo. Hawana dini yoyote ndani yao.