Voices From Within: Nimeambiwa Watanzania wote Wazalendo wa kweli kwa Taifa, Tumuombee Rais Samia Afya njema

Amen.
Amen.
Amen.
 
Utaota ndoto mbaya jamaa. Amka ulale upya
 
Naunga mkono hoja, kwasababu baada yake ni yeye ndie anafuata!
P
 
Umemombea ili aendelee kuua watu wengine? Paskali kuna shida gani umepata?
 
Kwa jinsi anavochukiwa huyu kijana sijui alikosea watu wapi
Ni wivu tuu dhidi ya mafanikio yake!, Kumbe ni Uongo, Uzushi, Fitna, Majungu, Wivu na Kijicho dhidi ya mafanikio yake! Makonda wapuuze,

Mafanikio yenyewe yanayoonewa wivu ni haya Mafanikio ya Makonda ni Uthibitisho Wa Jiwe walilolikataa Waashi litafanywa kuwa Jiwe Kuu la Pembeni, na jinsi Mungu alivyo wa ajabu!, inaweza ikotokea, 2030, Mungu akamleta usiompenda!, na ikitokea akawa!, kiukweli atawanyoosha kama JPM alivyo wanyoosha!, kwasababu kwa hapa tuu alipo, Nikimwangalia Makonda, mambo anayoyafanya namuona kama Magufuli, na nikajiuluza
Bado kuna ubishi kuwa hiki ni chuma? Je, chuma hiki ni chuma kingine ila ni kama kile au chuma hiki ni kile kile kimerejea kivingine?, hivyo nimewaandaa kabisa watu kisaikolojia kuhusu 2030

Huyu Ndiye Makonda Ninaye Mjua na Niliye Mzungumza Humu!. Hapapasi, Hamung'unyi, Hakopeshi, ni Ananyoosha Tuu Kama Rula!. Kama ni YEYE, na Iwe! .l​

P
 
Kwa jinsi anavochukiwa huyu kijana sijui alikosea watu wapi
Unajua Kuna watu kwenye jamii wanachukiwa coz walipewa script inayochukiza waicheze yaani wawe kama majambazi wakuu makatili kwenye movie!!!

Mfano hili la October 29,Kuna chuki na lawama kibao,lakini ukute huo mchoro alichorewa MTU Fulani utokee kwa kujua Wala kuto kujua mradi chama kishike dola!!

Nilishaacha mihemko ya chuki za watu hasa viongozi coz maisha wanayoishi ya script walizochorewa na sio uhalisia wa maisha yao!!!inawezekana wakiwa huko sirini Huwa wanalia na kujuta sana lakini hawana namna wameingizwa kwenye mfumo huo na hawana namna ya kufanya kuepuka reputation Yao ya kiroho isianguke na kuwaumiza!
Makonda ni mmoja kati ya wengi kwenye hayo!!
 
Huyo Makonda ndiye aliyesema kuwa watu wanalalamika kwa sababu hawapo jikoni? Au ni mwingine? Huyu ndiye Makonda anayeleta wachezaji wa stars wa nje, kwa pesa zake (Kwa kadiri ya maelezo ya Gerson Msigwa). Huyu ndiye Makonda ambaye anateka, kuua na kupiga risasi wananchi wasio na hatia (Ujue kuna nchi amekataliwa kwenda na moja ya makosa yake ni kutesa, kupoteza na kuua), Wewe unamtetea......Hivi una shida gani wewe? Wakati mwingine punguza utani kwenye mambo muhimu yanayohusu taifa letu. Acha uchawa na kujipendekeza, sijui una shida gani? Makonda anayeendesha magari ya zaidi ya Mabilioni ya shilingi, anapata wapi hizo pesa?
 
Ataombewa na masheikh ubwabwa kama Mwaipopo inatosha
 
Wanyekumuombea Afya njema Rais Dkt Samia Suluhu Hassan ni Wasafi mbele za MUNGU

RAIS DKT SAMIA SULUHU HASSAN kafanya mengi makubwa kuling.amua taifa kwenye Afya Barabara Nishati Maji
Wakinamama wengi wameshtuka nasasa wanatembea kufua mbele kwa mafanikio ya Mwanamke mwenzao mbele ya jinsi ya kiume

Mapenzi makubwa ya watanzania kwasasa yapo kwake Rais wetu weenye kumuombea Rais Dkt Samia ni wengi na wa imani zote kwa Unyenyekevu mkubwa 🀲 πŸ™

Wapinzani hata rip JPM walidanganyana kiyumbu!!!
kwamba Watanzania wanamchukia sana !! Lkn kifo chake walikuja kushtuka kumbe wao ni Debe tupu mikelele yao yote wanawafikia satu wachache sana

Watanzania tulikuwa tunampenda sana rip JPM πŸ™ πŸͺ¦
Kifo chake kimefanya wangine wamekufa kwa mkanyagano tumeuzunika kupita maelezo alikuwa shujaa ndani ya Ubongo wangu mwenye kujiamini mwenye mawazo mapya kwenye kuipendelea nchi yetu aligoma kusafiri kwenda kushangaa kwa wengine lkn alitaka kuijenga Tanzania sasa wale kule ndio waje kushangazwa na kwetu!


Wapinzani bado kujifunza kitu lkn
Kwasasa Mwenye kupendwa ni Dkt Samia Suluhu Hassan na Watanzania wote kaweza kuzibadilisha ndoto kuwa kweli

Leo Sekta ya Utalii inakuwa kwa kasi kubwa sana.

Mungu wetu hakutunyang,anya vyote katufuta machozi na kutwachia RAIS Dkt Samia Suluhu Hassan kutimiza ndoto za JPM ndoto za Watanzania wote!! Kwasasa kapitiliza ndoto za rip JPM πŸ™

Viwanja vi3 vikubwa vya kisasa nk na nk na nk


ni mwenye uruma nyingi kwetu wananchi wake mwenye kupenda furaha za Wananchi wake

Rais Dkt Samia Suluhu Hassan utamani kusikia kwetu tukijivunia nchi yetu

Ndiomana kwa alaka kunajengwa miundombinu muhimu yenye kutoa tumaini kwa wanyonge kujipigania kiuchumi!!!

Ni wazi CCM tangu kipindi Mzee mwinyi kumekuwa na utendaji mzuri wa kuwafikia moja kwa moja Wananchi

japo kwasasa utekelezaji wa ILani ya CCM unafanyika kwa kasi kubwa kila miaka inavyo songa ndivo pia utekelezaji unakuwa kwa juu zaidi

mungu mkuu mungu wawanyonge yupo kusikia maombi na sala za wanyonge popote walipo mpaka mikoani waliofikiwa na Uduma mpyaa chini ya Dkt Samia Suluhu Hassan ✍️
 
Na wapinzani wa Chadema mlifanya fujo kugomea kupambana nayeye kwenye Uchaguzi

Tunajua mlijue mtaanyooshwa tu!!

Kumbukumbu kwa wale wasiojua kulitokea nini siku za nyuma

Kwaka 2015 mgombea wa CCM alikuwa Rip JPM

Upande wa Upinzani Chadema alikuwepo Rip Edward Lowassa ACT alikuwa mwana Mama nayeye ni Rip kafariki Anna Mgwira

Walikuwepo na wagombea wengine lkn wenye nguvu ni wa3

Edward Lowassa alikuwa anapigiwa kampeni na Tundu Lissu huyu leo yupo Lupango
kafanya kampeni nchi nzima
Siongezi maneno,

Weka kumbukumbu zenu vizuri nyinyi watoto wa 2007 mlikuwa wadogo sana

Mwaka 2000 Uchaguzi CCM Rip JPM

Chadema sasa ni Tundu Lissu ndio mgombea wao Urais

ACT ni rip Bernard Membe lkn mshangao Membe kapiga kampeni siku moja tu pale KIBITI

Walikuwapo pia wagombea wengine lkn wenye nguvu ni3

Haya Vijana ficheni kumbukumbu yenu hiyo ✍️
 
Ndo maana Kiranga alikwambia live ni either mnafiki sana au mjinga (yote si matusi ni kama husema mtu huyu mfupi au mrefu) mtu ambae ndie mtuhumiwa mkuu wa utekaji ,ulawiti,lissu kamtaja live ndie alitufanyia baba yetu wa taifa (Tundu lissu) awe kilema hadi leo,ndiye anaongoza kwa kuwa na mali zisizoshabihiana na hata angekuwa waziri mika 30 ,uahahidi upo alitumia ukuu wa mkoa kunyanganya nyumba ya GSM na kesi alishindwa,marekani haruhusiwi kuonekana kwa kile walichojithibitishia "KUWANYIMA WATU HAKI YA KUISHI " Na barua iliandikwa grobally nchi nyingi ananuka damu hawamtaki,hapo sijaweka kutekwa kwa mo ,kifo cha ruge etc

Mtu wa level ile wenzio tumechagua kutomuongelea .
 
Ukisha cheza scriprt ya kuua wadogozetu na sisi tuache tucheze script yetu ya kukuchukia
 
Mtu wa level ile wenzio tumechagua kutomuongelea .
JF ni user generated forum, ikiongozwa na freedom of opinion, kila mtu humu yuko free kutoa mawazo yake yoyote, hatupangiani, kama wengine mnachagua watu wa kuwaongelea, huo ni uhuru wenu, hamna mamlaka ya kupangia wengine, nani wamuongelee, na nani wasimuongelee, tusipangiane!,
Ndio maana kuna viongozi wanaonekana kama malaika, lakini ni mashetani, na kuna viongozi wanaonekana kama ni mashetani, kumbe ndio malaika.
Hivyo wanaomuona ni shetani, wako right kutokana na vigezo vyao vya ushetani, na sisi tunaomuona kama malaika, tuko right kutokana na vigezo vya umalaika wake.
Ila mimi kwasababu ni mwandishi wa habari, pia nina wajibu kwa jamii, kuisaidia kuwabaini malaika na shetani ili kufanya an informed decision. Jukumu hilo nililitimiza kikamilifu Je, wajua japo Mungu huweka Serikali za Mataifa kuna Serikali/Viongozi wa Mungu na Shetani? Tusiruhusu Ushetani kwa kuchagua mashetani

P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…