Vurugu ya middle east imekuwa kubwa sana

k

Mbona kama sasa waasi wa Houth wamecharuka wanataka kuichukua Yemen yote! Aisee! Wakati ukuta! Saud Arabia amezidiwa nguvu za kuisaidia serikali ya Yemen



kumbuka yemen ndio jirani wa Saudia mwenye naye mrefu kuliko majirani wengine
 
US navy ipo bize Iran..

Kumbe Aircraft carrier 10 ni michache mno kudhibiti Usalama kwenye bahari KUU na milango bahari muhimu?...

Ni vyema US wajenge nyingine 10.

T14 Armata
Aircraft carriers zote hazipo deployed maana US haiko kwenye state of war na nchi yoyote. Ili US iwe kwenye vita ni lazima Congress ifanye declaration of war. Hivyo, it's unnecessary kuwa na deployments za kujimaliza kama kutoa nuclear subs zote, carriers, destroyers, cruisers.

Vile vile, kuna rotation zinafanyika. Kwahiyo carriers kadhaa ziko deployed, nyingine kwenye replenishment, nyingine ziko naval base kusubiri mapungufu yakitokea.

Ni kweli carriers 10 hazitoshi hata kama kuna super carriers humo. Ila sidhani kama kuna uhitaji wa kuwa nazo 20. Expensive to maintain and procure.
 
Pakistan, Turkey na Saudia ndio kwanza wameanza hivyo hawawezi kurupukia hili suala zito.

NATO haiwezi ingilia sana vita ambayo sio yao na haina maslahi kivile. Na haikuwa na ulazima wowote.

Kikatiba US haiko vitani kwahiyo NATO hailazimiki kushiriki. US wenyewe kuna watu wengi tu serikalini na jeshini ambao hawaoni sababu ya vita. US haijavamiwa sasa nani ajihangaishe na mihemko ya Trump.
 
Hivi Kuna bahari yoyote kubwa ambapo hamna aircraft carrier au Navy fleet ya Marekani?.... nadhani hiyo ni kiashiria za Superpower ..

Sasa ikitokea yupo kwenye mzozo na nchi kubwa Ina maana carrier zilizopo maeneo mingine itabidi ziwe deployed kwenye eneo karibu na mzozo...yaani huyu polisi ataacha maeneo mengine bila ulinzi..
 
Kama Saudia atazidiwa na njia za kusafirisha mafuta yake kuzuiwa na mashambulizi ya Houthi unadhani Uturuki,Misri, Pakistan zitabaki kimya?

kumbuka hizi nchi ukitoa kidogo Uturuki kuna wakati zinategemea pesa za Saud Arabia kuendesha baadhi ya mambo.
 

Ukweli Wanajeshi unaowasema wale kiakili wanajua Houthi wamesimama na Palestina✅️

Kupigananao wanakosa nguvu Morali yoyote wanajiona ni wasaliti mbele ya Palestine ❌️

icho ndicho kidonda kigumu kwa Saudi Arabia kukitegua kwa%90 Askari wa kiarabu au Waislamu ✅️

Ndiomana Saudi Arabia mara kwa mara imetakaa kujiunga kwenye Mkataba Abraham na Israel

Sababu inajua kufanya ivyo
Atajichimbia kaburi
Wanajeshi wake kwenye Vita wanakimbia kama sasaivi tunavyonoa✍️
 
👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️
Point noted
 
US navy ipo bize Iran..

Kumbe Aircraft carrier 10 ni michache mno kudhibiti Usalama kwenye bahari KUU na milango bahari muhimu?...

Ni vyema US wajenge nyingine 10.

T14 Armata
😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😀😃😃😄😄😄😄😃😃😃😄😄😁😁😁😄🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Pipeline ya mafuta ya Saudi Arabia jamaa wa Houthi wmeishambulia na drone. Marekebisho yakichelewa bei zitapaa sana

Kipigo sio kwenye iyo pipeline kuelekea
Yanbu upenda wa Bahari ya Red Sea
Lkn maeneo mengi uko Saudi Arabia kwenye Viwanda vya Aramco vinachakazwa
Kimya kimya

Saudi Arabia kabaki njia panda
Mikataba yake haiwezi kumsaidia mpaka avamiwe
kupitia Ardhini✅️

Kuna wkt tuliwai sema ktk ile Vita ya
Armenian Vs Azerbaijan

Kwamba Russia mkataba wake na Armenian ulikuwa
Ikiwa Ardhi ya Armenian inavamia
Ndipo Russia Federation
itaingia kati kuisaidia ✅️

Lkn pale vita ilipo
kweli Armenian ilitandikwa lkn wao Armenian ndio Wavamizi kwenye Ardhi ya Azerbaijan👈

iyo Ardhi Armenian waliiteka miaka ya 90 kabla ya
Vita ya juzi kati 👈

Russia wanasimamia Sheria za Mkataba

Lkn wajuba wengine
Wakabisha na kuibeza Jeshi la Russia
Mana Russia kwakuwa anajeshi ndani ya Ardhi ya Armenian ivyo ni sababu ya kumsaidia
Armenian ‼️
Msingi ni Mkataka unasemaje✅️

Ktk Dunia hakuna mkataba wa kwamba wewe nitakusaidia ukivamia mwengine yani ukivamia Ardhi ya mwengine❌️

Mkataba kama huo hakuna labda mfanye Makubaliano mengine ya kujua Faida na hasara tutagawana Vipi na uyo Mwenzio kwake kukosekane kizingiti✅️
 
Aramco wanapitia wakati mgumu na hasara kubwa kutokea.

Aramco ukicheki shareholders wengi ni Americans
 
😁😁😁
Hivi simu yako imeibwa ama 🤔🤔 manaa haya madini
Haya ngoja tuone ulowatag watasemaje
 
Kwakusasambua tu haujambo haupo ulipo usikute na kibwebwe umevaa😁
 
Ni kweli. Vita havitumii silaha tu bali hata Mbinu za Medani. Ebu fikiri jinsi MKWAWA alivyowatandika Wajerumani akafanikiwa kuwaua askari wengi wa kijerumani pamoja na Kamanda wao Emil Von Zelewisk na kuteka mizinga na bunduki nyingi jeshi lake likiwa linatumia tu mishale na mawe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…