PostGE2025 Vurugu za 29.10.2025, hakuna Msiba ulisafirishwa kwenda Zanzibar

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Wiki moja kabla ya uchaguzi ule wazanzibar walitangaziwa misikitini na majumbani kuwa waondoke bara waelekee zanzibar na usafiri ulikuwa bure hadi ijumaa jioni kabla ya 29oct.

Sijasimuliwa bali nilishuhudia kwa macho kwani shule zilizopo mwambao wa bahari ya hindi waliombewa ruhusa ya wiki moja.

Na wakati polisi wanawaswaga waandamanaji hawakufika ununio wala kunduchi kabisa na hata hawakuwekewa lockdown kwa waliobaki bara.

Hivyo ni dhahiri kuwa hakuna msiba uliovuka maji kwenda kisiwani 29oct.
 
Mngekuja kwa amani angalau mngeweza kusikilizwa, kitendo cha kuja kwa shari kilikuwa kibaya sana kwa watanzania wote.
Hao criminals hawawezi kusikiliza mtu yoyote, opposition ikiwa soft that's when they squeeze it to the maximum. Opposition parties soft zote zimeshazimwa so people have learnt a lesson, ukitaka chama kife just be soft to the ruling party na chama kitapotezwa mazima. Chama ni watu(members, supporters, fans and sympathisers), if a party do what it's people want then it'll survive all sorts of storms.
 
CCM wakiamuaga kukomalia hoja za hovyo hata kama zikionekana za hovyo wanashikilia pale pale maana hawajali so long as masikioni mwao zina sound vizuri.

Kuna mtu aliwahi kuja na hoja kama hii ya mleta mada kwamba MO29 hakukuwa na mauaji kisa baada ya pale hakukuwa na maturubai yoyote ya misiba kule maeneo ya Kinondoni wala misafara ya kusafirisha maiti mikoani. Wanasahau walitokomea na miili ya marehemu.
 
Niliwahi kusema maneno hayo hayo. Waliotekeleza mauaji ya 2001 na 2025 ni watu wale wale.
 
Kutokuwa soft haina maana uwe chanzo cha vurugu, pinga yale yasiyostahili kufanyika lakini ukivuka mstari unatafuta taabu kutoka kwa wenye mamlaka.
 
Usilazimishe, mkapa alinogewa tu na damu za waislam,alipowapiga risasi na kuwaua msikitini mwembechai 1998 hakutosheka,akaua tena 2001,wala hapakua na kitisho cha kupinduliwa
Oktoba hazikua riots bali mapinduzi
 
Kutokuwa soft haina maana uwe chanzo cha vurugu, pinga yale yasiyostahili kufanyika lakini ukivuka mstari unatafuta taabu kutoka kwa wenye mamlaka.
Chanzo cha vurugu ni wakiukaji wa sheria za nchi, polisi badala ya kukamata suspects kwa taratibu za kisheria wanateka suspects na kwenda kuwalawiti na kuwaua hivi sasa hapo mahakama kazi yao ni ipi.

Bila uharamia huo wala kusingewahi kutokea vurugu za aina yoyote, hizihizi cangaroo courts lakini kama watu wangekuwa wanachukuluwa kwa utaratibu wa kisheria, mtu anafuatwa, mjumbe anashirikishwa ili hata ndugu wafahamu kituo alichopo waweze kumpelekea misaada ambayo ni haki ya mtuhumiwa kama lawyers, vyakuka na nguo za kubadilisha.

Sio mtu anachukuliwa na polisi kihuni then inakuja kuokotwa maiti au mtu anakutwa amejeruhiwa kwa kupigwa sana, sometimes anakuwa na makovu ya risasi na wengine wanakuwa wamenajisiwa then unajifanya haujui kama polisi na dola yote kwa ujumla wake ndiyo chanzo cha vurugu kwa kukiuka sheria za nchi.
 
Usilazimishe, mkapa alinogewa tu na damu za waislam,alipowapiga risasi na kuwaua msikitini mwembechai 1998 hakutosheka,akaua tena 2001,wala hapakua na kitisho cha kupinduliwa
Oktoba hazikua riots bali mapinduzi
Mkapa hawezi kufika hata theluthi ya uuaji wa Samia, kwa kifupi hatujawahi kuwa rais aliyefanya mauaji mpaka dunia ikashangaa. Sasa hatuwezi kuzisema nchi zenye machafuko kwani nasi tumetumbukia kwenye shimo hilohilo and for that degradation thanks to Samia.
 
Sahihi kabisa,
Si ajabu kuwa waziri wa fedha sasa ni shemeji wa Samia, maana yake wamejimilikisha Hazina.
Nadhani mlisikia ile taarifa ya mzanzibari akiongea kwenye simu akitamba kuwa yeye pekee yake ana uhakika ameua watanganyika siyo chini ya 300.
Cha ajabu muuaji Haji Omar Kheir aliyeua Watanganyika wengi na kusimamia mauaji ya maelfu, sasa yupo ikulu kama mshauri wa Samuya
 
Nikiwa Rais cha kwanza kabisa ni kuitisha kura ya maoni kuhusu muungano
 
mkuu ni kweli tuliumizwa na kilicho tokea, ila nasihi tutumie fikra zetu na sio mihemuko mibovu.

Tuki ingia mtego wa kuanza kuwindana sisi raia kwa raia bado ni hasara kwetu, na ndio kwanza watazidi kutengeneza mazingira ya kutukandamiza.
Tanganyika lazima irejeshwe mikononi mwa WaTanganyika!
Hamkupata uhuru ili mporwe na Unguja!
 
MLM Nyerere ndo mastermind wa muungano tulionao Leo. Sababu za yy kutuletea muungano alizieleza na akaeleweka vyema. Sasa mpuuzi mmoja amechoshwa na kwarezma anataka uvunjwe hatar sana aisee
Ni suala la muda tu muungano utaangukia pua mtake msitake. Inasemwa muungano ni wa wananchi, na wananchi ndo hawautaki, mtaulinda na kuudumisha vipi?

Kipindi cha G55 awamu ile ya Mwinyi kama siyo Nyerere kusimama kidete muungano ungefutwa rasmi.

Kwa sasa Muungano umebaki kuwa kichaka cha majizi na mafisadi kufanyia maovu yao sawa sawa na ule moto mnaoita mwenge. Haya mambo mnalazimisha tu ila yalipitwa na wakati kitambo
 
Duh,
Sasa mbona huwa mnayaita Mapinduzi matukufu?

Na kwa kweli inajulikana kuwa yaliongozwa na Mganda John Gideon Okello
 
Nashindwa kuelewa unalenga kitu gani hasa.

Unasemaje wewe, Fikra zako ni zipi hasa, tumwache Samia aendelee kutuburuza? Hilo sahau kabisa.

Samia ndiyo sumu inayotakiwa kuondolewa ili taifa hili lisimame tena.
Kumuondoa Samia bila kuondoa mfumo uliomuweka alipo ni upofu.
Ni sawa na kulipasua jibu alafu usilikamue!
 
MLM Nyerere ndo mastermind wa muungano tulionao Leo. Sababu za yy kutuletea muungano alizieleza na akaeleweka vyema. Sasa mpuuzi mmoja amechoshwa na kwarezma anataka uvunjwe hatar sana aisee
Wapuuzi ni wengi! Na wanaongezeka! Sidhani kwamba Tanganyika ilipata uhuru ili mporwe na Unguja!
 
Kumuondoa Samia bila kuondoa mfumo uliomuweka alipo ni upofu.
Ni sawa na kulipasua jibu alafu usilikamue!
Ni nani kasema kuondolewa Samia siyo kuondoa na hizo taka nyingine zote unazozifikiria wewe; au mpaka kitajwe kitu kimoja kimoja ndio uelewe maana na lengo linalokusudiwa!

Samia ndiye mkuu wa majambazi; anapozungumziwa yeye, maana yake ni majambazi wote waliochini yake.

Mnapenda sana kuzungumzia "mifumo", sijui ndiyo ionyeshe kuwa mnayajuwa haya mambo, hata haieleweki kwa nini kila mara mnakimbilia "mifumo".

Mifumo ni hayo hayo majambazi yote yanayoendesha serikali haramu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…