Uchaguzi 2020 Vyama tisa vya upinzani vyatoa tamko kuhusu Uchaguzi Mkuu 2020

Uchaguzi 2020 Vyama tisa vya upinzani vyatoa tamko kuhusu Uchaguzi Mkuu 2020

jingalao

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2011
Posts
36,197
Reaction score
29,717
Vyama tisa vya upinzani vimetoa tamko la kukubali matokeo ya uchaguzi mkuu wa Tanzania uliofanyika Oktoba 28, 2020 na mgombea wa CCM, Dkt. John Magufuli kuibuka mshindi baada ya kupata 84.4% ya kura zote.

Katika tamko lao, vyama hivyo vimempongeza mgombea huyo kwa kushinda na kusema kwamba mambo aliyoyafanya ndani ya miaka mitano iliyopita yamechangia kwa kiasi kikubwa ushindi wake.

Vyama hivyo pia vimeipongeza Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kwa kuratibu uchaguzi huo uliohusisha vyama 15.

MY TAKE:
Tamko la vyama zaidi tisa ni tamko kubwa
 
Hivi hawa nao ni wapinzani kweli.
images (22).jpeg
 
Hivi CHADEMA ina wajumbe wao Wa nyumba kumikumi?!!!

Hivi ni rahisi Kushinda uchaguzi ilihali huna WENYEVITI WA SERIKALI YA MTAA?!!

Hivi unashindaje uchaguzi mkuu bila ya TUME HURU?!!

Hivi si mh.Mbowe aliyewahadaa nguli wa upinzani kwa kuibadilisha GIA angani na kumchukua mh.Lowassa ule mwaka 2015?!!!

Hivi kutaka Kuheshimu katiba ya nchi hakuanzi na Kuheshimu taratibu zilizoko ndani ya vyama vya upinzani na pia katiba zao?!!!!
Sikumbuki kama mh.Mbowe alifuata taratibu za kumteua mgombea wa urais wa CHADEMA ule mwaka 2015.....

Taifa Letu....
Amani Yetu....
 
Hawa ndio wapinzani wanaopendwa na CCM na ni wapinzani wa kwelikweli.# tukutane tarehe 2 na kuendelea novemba
 
Hivyo vyama ni vya Tanzania au kwengine. Ndio wale kina Njano! Kweli mmenunuliwa na kijani.
Aibu hamna watu wanauwawa demokrasia ina bakwa
 
Wewe kweli jinga. Ingekuwa na ukweli hiyo NECCM wangepigia kura majumbani kwao na kuzileta vituoni kwenye mabegi na vikapu kwa nguvu ya polisi?
Nina pata shida na akili zako kama unaweza kuamini uongo wa kipuuzi kuwa kura zilipigwa nyumbani. Are you really a great thinker?
 
Kwenye hivyo vyama, mama Tanzania yuko?

Vipi Spunda au hata Lipumba tu, nao wamo?

Hawatakuwa wale vyama mapandikizi wa lile chama la majizi kweli katika ubora wao wa kusaka vijiutezi uchwara kwa gharama yoyote?
 
Back
Top Bottom