Endapo huo ujao utafanyika bila magumashi na ufeshuli kama huu wa mitaa, na chini ya tume yauchaguzi isokuwa na bosi wake ambaye ni mgombea, hakika upinzani utatikisa kuliko chaguzi zote zilizopita. Huu uchafuzi ulopita umewaudhi wengi hata wanaccm wwnyewe.Ulitaka wajitokeze kwenda wapi wakati 98% wagombea walipita bila kupingwa?? Waambie wasithubutu kuugomea huo ujao labda wa kuziba pengo tu au dirisha dogo litakapofunguliwa January kwa wale mnaotaka kurudi kundini kabla ya uchaguzi mkuu
Mpinzani mbona ni huyo mmpja tu tena kanatabasamu kuuubwa na kanatamani kujitosa barabarani??Hapo ni kijiji cha mdega,wilaya ya masasi mtwara wakishangilia ushindi wa mwenyekiti wa mtaa alipita bila kupingwa, yaani mpaka wanaccm wamewaunga mkono wapinzani wamesusa kushangilia,View attachment 1273459
Hii imetokea pia Iringa na Rukwa,KURA 3kuna kituo kimoja huko Songea waliojiandikisha walikuwa 166 , waliojitokeza kupiga kura walikuwa watatu tu , yaani mgombea wa ccm alishinda kwa kupata kura 3 , TLP 0
Sisi tunaangalia ushindi hizo idadi za wapiga kura wawe wachache au wengi sio ishu ya chama ,chama ishu yake ushindi
State agent
Ulitaka wajitokeze kwenda wapi wakati 98% wagombea walipita bila kupingwa?? Waambie wasithubutu kuugomea huo ujao labda wa kuziba pengo tu au dirisha dogo litakapofunguliwa January kwa wale mnaotaka kurudi kundini kabla ya uchaguzi mkuu
Kama wanadhani wanaungwa mkono wajîtoe na 2020..Mnalazimisha hii issue iendane na hisia zenu tu lakini mambo ni tofauti.
Kama wagombea wao wana uhakika ya ushindi,wakapige kura ya nini sasa?
Kama unadhani wanaugwa mkono to that extent waambie waitishe maandamano tuone!
Nakuona unavyoshangilia ushindiMnalazimisha hii issue iendane na hisia zenu tu lakini mambo ni tofauti.
Kama wagombea wao wana uhakika ya ushindi,wakapige kura ya nini sasa?
Kama unadhani wanaungwa mkono to that extent waambie waitishe maandamano tuone idadi ya hao wanaowaunga mkono barabarani!
Hivi wewe unadhani ungekuwa kitimoto ungekuwa wa nyama au mayai?Sisi tunaangalia ushindi hizo idadi za wapiga kura wawe wachache au wengi sio ishu ya chama ,chama ishu yake ushindi
State agent
Endeleeni kujidanganya.NA AKILI ZENU ZA KENGE...KUKIMBIA MVUA NA KUJITUPA MTONI....Ulitaka wajitokeze kwenda wapi wakati 98% wagombea walipita bila kupingwa?? Waambie wasithubutu kuugomea huo ujao labda wa kuziba pengo tu au dirisha dogo litakapofunguliwa January kwa wale mnaotaka kurudi kundini kabla ya uchaguzi mkuu
Vichaa watatu wanashangilia kusimikwa bila ridhaa kuwa viongozi wa serikali za mitaaHapo ni kijiji cha mdega,wilaya ya masasi mtwara wakishangilia ushindi wa mwenyekiti wa mtaa alipita bila kupingwa, yaani mpaka wanaccm wamewaunga mkono wapinzani wamesusa kushangilia,View attachment 1273459
kuna kituo kimoja huko Songea waliojiandikisha walikuwa 166 , waliojitokeza kupiga kura walikuwa watatu tu , yaani mgombea wa ccm alishinda kwa kupata kura 3 , TLP 0
Mnalazimisha hii issue iendane na hisia zenu tu lakini mambo ni tofauti.
Kama wagombea wao wana uhakika ya ushindi,wakapige kura ya nini sasa?
Kama unadhani wanaungwa mkono to that extent waambie waitishe maandamano tuone idadi ya hao wanaowaunga mkono barabarani!
Uyo Dada apo pembeni Ana washangaa anasema wana akili kweli!?Mpaka wanaccm wenyewe wamekataa kushangilia uchafuzi hebu ona kijiji kizima wanajitokeza watu sita kushangilia ushindi mpaka aibu ccm. View attachment 1273451
Yaani hapo ni sawa na kusema kwamba,: mtu kakuvizia umelala kakupiga bao halafu unamka unasema japo kanipiga bao lakini hana hata furaha. Sasa atakosaje furaha wakati alikusudia kukupiga bao ukiwa umelalaata wao ccm hawana furaha na huo ushindi feki wao....japo hawanaga haya ila nafsi zinawasuta
Its very niceSisi tunaangalia ushindi hizo idadi za wapiga kura wawe wachache au wengi sio ishu ya chama ,chama ishu yake ushindi
State agent
Sa hapo ni nani kenge?? Ni nani kakimbia mvua na kujitupa mtoni?? Mliokimbia kura nadhani ndo makenge haoEndeleeni kujidanganya.NA AKILI ZENU ZA KENGE...KUKIMBIA MVUA NA KUJITUPA MTONI....