Vyama vya upinzani mjifunze kutokana na makosa

 
Moja ya mbinu mnazotakiwa kutumia wapinzani ni kudeal na shida za watanzania
 

Attachments

  • IMG_20191126_194430.jpg
    375.2 KB · Views: 1
CCM haina hata mshipa wa aibu, wamejiweka madarakani serikali za mitaa. Hawana mshipa wa aibu na hawaoni kinyaa whatsoever kutawala peke yao. Sasa upinzani, what next? Mkinyamaza kweli wanatawala wao bila mshipa wa aibu!

CCM wenye akili hawashangilii ujinga huu wa kinachoitwa ushindi, malofa na wapumbavu wanashangilia. Wanadai mihuri kwa nguvu waanze kazi.

Upinzani what next?
 
UPINZANI WHAT NEXT?
Next ni uchaguzi mkuu 2020, CCM inakamilisha kazi, kwa Tanzania kurudi kuwa nchi ya chama kimoja, kazi sasa itakuwa ni moja tuu, maendeleo kwa kwenda mbele, kama ilivyo China. Hizi kelele za upinzani ni so distractive ndio zimekwamisha maendeleo, baada ya 2020, Tanzania kupata maendeleo kama China.

P
 
ndungu unataka kutushawishi kua upinzani unazuia au nikikwazo cha maendeleo Tanzania? How? and why?
 
Unaweza ukawa hutanii, lakini kwa uwekezaji upi kuleta maendeleo hayo unayoyasema? China kuna uwekezaji mkubwa wa Western countries na USA. Ndio wanabeba uchumi wa China! ( is this true?).... Sasa kwa uwekezaji upi kupaa kimaendeleo kama say Scandinavia countries zilivyochupa kimaendeleo?
By the way, upinzani unakwamishaje? Mbona ndege zinanunuliwa, na kila kitu anachokitaka kinafanyika, sasa upinzani unacheleweshaje maendeleo? Nielimishe
 
Or Zimbabwe
 
Kelele za upinzani ni distractive. Ukiwa hype sensitive, any distraction zina diverts attention na kupunguza kasi ya development
P
 
Ni kweli kabisa mkuu P, maana mpaka mwaka 1992 Tanzania na China ilikua sawa kimaendeleo tulipoanzisha mfumo wa vyama vingi Tanzania ikaanza kurudi nyuma kimaendeleo.
 
Kelele ni upinzani ni distractive.
P

Distractive def: unable to concentrate because one is preoccupied by something worrying or unpleasant
najarbu kuleta maana halisi ya distractive, wakipiga kelele unaoacha kwenda kulima, unaacha kwenda shule! unaacha kuteua mawaziri, unaacha kununua ndege.................
 
Mtu hype sensitive akiwa distracted anakuwa disturbed ana loose concentration na kupoteza focus.
P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…